Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja na familia yangu yote 

1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University . 

2. Ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda shinyanga, Tabora na Singida, 

3. Kuvunja mkataba wa City water services bila kuogopa wa kuhofia chochote. 

4. Kuzuia Uuzwaji wa shirika la Nyumba NHC, 

5.Kuwaachia UVCCM kitega uchumi cha Jengo la maana 

6. Alidhubutu kuchukua maamuzi magumu kwa masilai ya Tanzania na kulinda heshima ya CCM 

7.Kuwafukuza wakurugenzi na wafanyakazi wa dhaifu serikali bila kuogopa chochote 

8.Kuruhusu Bodaboda kuingia Nchini na kutengeneza Ajira za Kutosha kwa Vijana 

9. Kuheshimu kanuni na taratibu zote za CCM 

10. Kutekeleza ILANI ya chama chake na Kutimiza ahadi kwa asilimia 100% Jimboni kwake Monduli hivyo Nampendekeza Kuwa Rais wangu 2015.

Quote of the Day
You are always a student, never a master. You have to keep moving forward.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Babo ajanishawish,elezea na wingi wa mabaya yake ili tupime uzani,tokea awe ktk uongozi hayo tu ndio kayafanya mh,mbona hayo ni mambo ya miaka mitano tu na yeye yuko madarakani miaka kibao

    ReplyDelete
  2. Alikubali kujiuzuru uwazir mkuu......iii kulinda chamana serikar baada baada ya Maadui kutaka kumdharirisha Jk..........wanaompinga ndo hao hao wanaompinga jk

    ReplyDelete
  3. Lowassa President of republic of Tanzania 2015-2025 Piga makofi Hallaaaa

    ReplyDelete
  4. anonymous 8:47 una akili sana chukua kinywaji chochote kwa mangi hapo jirani nakuja kulipa!

    ReplyDelete
  5. tuelezeni kuhusu richmond,mnataja mazuri na mabaya muweke tupime mizani,lowassa ni mbinafsi kweli kajilimbikizia mimali kibao alivyokuwa waziri mkuu,na mke wake anavyolinga utafikiri ana mkataba na Mungu.

    ReplyDelete
  6. jamani huyu akipewa urais najinyongaaaaaaaaa,siipendi hamilia yake,ni watu wenye majivunoooooooooooooooo kupitiliza,mbona watoto wa Rais Mwinyi awako hivyo?baba yao akiwa rais tutakomaaaaaaaa.yani wanalinga utafikiri awataonja kifo.jishusheni jamani dunia hii tunapita tuuuuuu,mnakufa mnaacha mali zoteeeeee,kama Ballali.

    ReplyDelete
  7. nasikia ballali kafa kaacha gunia la madola uvunguni.watu wakaanza kunyanganyana(watoto)

    ReplyDelete
  8. Hutu ndo raisi anayefaa kwani kiutendaji alimfunika jk. Kunywa kinywaji chochote hapo nakuja kulipa mangi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad