Habari zenu ndugu ,wakubwa na wadogo
nataka niweke sawa kuhusu utata uliozuka kuwa diamond kashindatuzo ngapi,
kwenye AFRIMMA,ameshindatuzo mbili, mwanamziki bora East Afrika na Number 1 Remix ikishinda collabo bora ya Africa category iliyokuwa na ugumu kidogo kulingana na aliokuwa akishindanishwa nao:
2face ft Tpain- Rainbow ( Nigeria/ United
States)
Mafikizolo ft Uhuru-- Khona ( South Africa)
Dr Sid ft Don Jazzy /Phyno/Wizkid- Surulere
remix(Nigeria)
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko
Changu’ (Kenya/Uganda)
Jmartins ft DJ Arafat--- Touching body
( Nigeria/ Ivory Coast)
R2bees and Wizkid- Slow down ( Ghana/
Nigeria)
Kilichotokea ni makosa ya uandishi kwenye website ya Afrimma ambako ndiyo watu wamecopy ..
but wameahidi kulekebisha,kwa ufupi Diamond anarudi na tuzo mbili mkononi.
lakini nitumie nafas hii kuweka sawa kuwa,diamond kwa sasa,wasanii wakubwa wa nje wengi ndiyo wanoomba collabo yeye, sitosema mengi ila kwa uchache tu nimfano wa
Mafikizolo waliomwomba Diamond nakumlipia na nauri ili abaki South ili tu collabo ikamilike,piakuna iyanya ailiomba colabo (siyo bumbum) but haijatoka bado, kuna Waghana, kuna mwanadada Waje wa Nigeria, hilo liliandikwa sana tu kwa wanokumbuka, all in all time will tell, kazi zitajieleza zikitoka.
Ahsanteni
This is all what we need.....Diamond bro hatuhitaji bif na mtu,fanya kazi bro...u deserve this maana unajituma...MUNGU atazidi kukuinuaa....
ReplyDeleteTime will Tell.....its Diamond time to Shine like a star in the sky!
ReplyDeletebt uyu dogs nawasiwasi nae, sio Freemason kweli?
ReplyDeleteFREEMSON BABA AKO
DeleteAcha usenge wewe9.33 hiv wewe una akir kweli kila ck mnataka tuwe kichwa cha mwendawazim mpira tumeshindwa hata mzik mpe hongera zake kafanya kweli hongera zao daimond na lady jaydee
ReplyDeleteon
ReplyDeleteKufanya makosa ni tabia yetu ya ya kibongo tu, wenzeru huwa hawafanyi makosa ya kijinga kama hayo. Wameandika hivi:
ReplyDeleteDavido, Flavour, Diamond Win Big At African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA)
The highly anticipated African Muzik Magazine Awards held at the prestigious Eisemann Center with a galaxy of African stars gracing the city of Dallas. The biggest African Muzik Awards in Diaspora had the big African Stars like Flavour, Diamond Platnumz , Togar Howard , Stanley Enow, Wyre, Alaine, Khuli Chana, the African King of Pop and International superstar T-pain dazzle on the stage with electrifying performances. Other performances on the night include Kukere master Iyanya, Khuli Chana, Kcee and more.
Red hot HKN ganga honcho Davido who has been blazing the trail in the African music industry carted home the Artiste of the Year award with Flavour and Diamond also winning big. Here is the full list of winners.
AFRIMMA 2014 WINNERS
Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)
Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)
Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)
Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)
Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)
Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)
Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)
Best African Group 2014- P-square (Nigeria)
Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)
Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)
Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)
Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)
Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)
Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)
Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)
Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)
Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)
Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)
Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)
Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)
Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)
Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
Leadership in Music Award 2014- 2face Idibia
Legendary Award 2014- Yvonne Chaka Chaka
Transformational Leadership Award 2014- Chief Dr. Godswill Akpabio
It’s all about crossing boundaries with music.
mbona alivoshindwa mtv na bet hamkuandika?
ReplyDeleteafreeam ni tuzo.mdosho tu.hakuna lolote.mim angeshinda mtv ama bet hapo ndo ningemkubali.hana lolote kwanza
Kwaiyo kashinda mmoja nasio mbili km uongozi wake unavyosema?
ReplyDelete