Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.
Hivi sasa Ray C ame post picha ya Doreen na kuonyesha jinsi alivyobadirika baada ya kupata matibabu. Hapo chini ni picha kabla hajapata matibabu na ya juu ni Doreen mpya. Caption ya chini aliandika Ray C baada ya kupost muonekano mpya wa Doreen
eeeeh
ReplyDeletebig up ray c dada yuetu wa ukweeeee....e.....we fanya kazi ya kusaidia jamii....ishallah m.mungu atakulipa
ReplyDeletejitahidi na ww kuwaambia wengine waache
ReplyDeleteWengine siwanamtukana asaidie ambaowako tayari kusaidiwa.kaza buti ray c usijali vitisho kusemwa dharau kebehi.wabongo ndiozetu
ReplyDeleteMungu akuzishie
ReplyDeleteBig up acha mateja wengine wakutukane iko siku watagonga ukuta tu, saidia walio tayari
ReplyDeleteAisee... ni miujiza!! Kwenye picha ya chini hata angenivulia nguo awe uchi nisingedinda... kwanza ningetapika ptuuuuu!! but kwa hiyo picha ya juu mpaka najiuliza mtoto ka huyu ntammwagia sera gani mm anikubali??? Ka m'porto rico!!! Ray C mungu akujaze afya, uwezo, maarifa na busara kwenye hili la kuokoa vijana wenzetu.. akujaalie upate mume na ww coz umri unaenda huo!!
ReplyDelete