Kila Mtu anajua Kutendwa katika Mapenzi ni Jambo Linalouma Sana kupita maelezo yahitaji moyo wa ziada kuvumilia ..Je endapo ikakutokea ukamfumania mke ama mume akiwa katika hali hiyo hapo juu nini cha kwanza utafanya?
When your heart is broken it is the saddest thing in the world. All your energy leaves you and everything in your life seems to lose all meaning. You gave your heart and soul to this love, and now it is no more. How can your heart ever be whole again?
Acha usenge uliza maswali ya maana huna kazi nini?
ReplyDeletewanawaza mapenzi tu. uliza hata maswali yanayo husu KATIBA au PHYSICS.
ReplyDeletenyie wasenge nini mapenzi ndio yanarun dunia
ReplyDeletenyie wasenge nini mapenzi ndio yanarun dunia
ReplyDeletekama mnataka habari za siasa si muende kwenye mitandao mingine mmeitwa huku mapumbu yenu
ReplyDeleteNjia kuu yako ndo mchepuko wa mwenzio
ReplyDeleteSipigani wala situkani ntajishushia hadhi yangu hata kama kulia sitalia mbele yao ntalia mbele kwa mbele ili na yy uliyemfumania aumie kichwa kwa nini ajapigana wala kutukana
ReplyDeleteSikama naongea kwa sababu ayajanikuta yameshanikuta na ndicho nilichokifanya
ReplyDeleteNa maisha yanaendelea vizuri kuliko nilivyokua nae
ReplyDelete