Vanessa Mdee amesema aliachia wimbo wake ‘Hawajui’ ulioandikwa na Barnaba baada ya baadhi ya watu kudai hakustahili kushinda tuzo ya wimbo bora wa rnb (Closer) kwenye tuzo za Kili mwaka huu.
Vee Money amesema hayo kwenye mahojiano na gazeti la Daily Nation la Kenya.
“Hawajui unawahusu ‘wasema hovyo’. Hivi karibuni nilishinda tuzo za Kilimanjaro kwa wimbo bora wa R-n-B wa mwaka ambao ni wazi mashabiki wangu waliniwezesha na walifurahi sana. Lakini watu wengine wengi walisema “Oh hayuko tayari, hastahili’. Hilo lilinihuzunisha. Ulikuwa ukosoaji mkubwa wa kwanza kwangu kama mwanamuziki. Hivyo hiyo ilinisukuma kuandika kitu kuhusu watu wenye chuki lakini sio katika hali ya kawaida kwamba na wewe pia unawachukia wale wanaokuchukia,” alisema.
By Bongo5
Hiyo nyimbo yenyewe ukiisikiliza hata mchiriku una afadhali. Mchiriku sio mchiriku mdundiko sio mdundiko yaani basi tu. Huyu ni mmoja wapo wa wale wasanii wanao lazamisha career. Hii career sio ya kwake. Awapishe wenyewe.
ReplyDeletenenda katangaze Clouds FM Redio ya VILAZA.
ReplyDeleteBadala ya kuleta ushindani wa maana katika game. Anaanza kuleta nyimbo za majungu na fitina katika game. Huyu mtu hafai. Amefanya kudandia tu game za watu wengine.
ReplyDeleteUnakwenda kudandia talent za watu. Hivyo vitu vina wenyewe. Nenda katafute kazi nyingine. eehhh.
ReplyDeleteamwache baby j aimbe,,yule ni msanii...
ReplyDeleteMie simuoni anachokiimba naona naona tu!
ReplyDeletejamani lol,ila mrembo yupo sex..
Deletemh
ReplyDelete
ReplyDeletemm yangu macho mmmmm