Msanii wa muziki na mbunge wa viti maalum wa jimbo la Geita kupitia CCM Vicky Kamata amejisalimisha kuombewa kanisa la EAGT kata ya Kalangalala wilaya ya Geita mkoani Geita ili kuondoa mikosi ya ndoa kuvurugika.
Jamani kusafisha nyota ya mapenzi si kwa waganga wa kienyeji tu bali kanisani ndo kwa uhakika zaidi kwingineko ni utapeli tu
POLE VICKY KAMA UMELIJUA HILO UTAFANIKIWA KAA CHINI TULIA ACHA MICHEPUKO
ReplyDeleteKama kweli Na unataka mungu akusamehe acha kutembea n waune za watu Na uwafate wake zao ukatubu hiyo yote Ni yale machozi waliyokuwa wanalia wanawake wenzako kutetea ndoa zap,
ReplyDeletehongera kwa uamzi huo sister achana na masharti ya baba paroko
ReplyDeleteSafi sana dadangu,kwa Mungu ndio kila kitu.
ReplyDeleteMAMBO KWA YESU
ReplyDeletehongera
ReplyDeleteMAMBO YT KWA YESUUU NDO MPANGO MZIMAA UTAPENDEZA ZAID MAMAA VICK
ReplyDeleteMungu wetu nimwema ilanawe achakujivinjari nawaume wawenzio.kama nimume muombe mungu akupewako.cheza na masingo tu uone kama hujapata mume.ilahku mume wamtu unataka hela zake.ukirudi kwamungu unaomba akupe mume.majanga hayataisha.
ReplyDeletemmmh jamani!
ReplyDeletejamaniameshakuwa mtu mzima huyo, huyo single atampatawapi kama hamjaanzakusema anatembea na watoto, umri ni tatizo sio yeye
ReplyDeletewaume za watu ndo wanamfaa umri ushaenda ila Vicky nakusihi kaombe msamaha kwa wake za waume uliozaa nao ,una watoto wawili sasa wote umezaa na wanaume tofauti,tena waliooa tayari,,omba msamaha,na utabarikiwa.asante.
ReplyDelete