Web

Vitu Vinavyofanya Wadada wa Kibongo Wapende Wanaume wa Kizungu

Kuna dada leo nilikuwa naongea naye ananiambia yeye anatamani sana aolewe na mzungu kwani ameshaona mambo yafuatayo ambayo a waname wengi wa kibongo hawana,

-Wanaume wengi wa kibongo anadai wanapenda sana michepuko

-Wanaume wengi wa kizungu wana real love japo wana ndoa za mikataba na nasema bora aishi kwa mkataba kuliko kuishi na mwanaume wa kibongo kwa muda mrefu ambaye kila siku hajui real love ikoje.

-Anadai ameona ndugu zake kibao ambao wameolewa na wazungu wanainjoi maisha kwa kuwa hakuna stree kwa maisha yao

-Anadai wazungu wengi wapo on time(wanaenda na muda)tofauti wa wanaume wengi wa kibongo hawana hata malengo kiufupi nikamuuliza lakini mbona wapo wanaume wa kibongo ambao wana real love akasema asilimia ndogo sana. Wengi wao ni wababaishaji na hawana future au hawana mbele au nyuma.

Haya sasa wanaume sikieni lawama hizo kutoka kwa baadhi ya mabinti wa kiafrika ambao wanashoboka na utandawazi.

Quote of The Day:

“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo ni kweli kabisa wabongo ni shidaaaaaaaaa kikubwa tamaa mwishowe shika tama

    ReplyDelete
  2. Huyu hajawai kupenda na kupendwa na mwanaume wa kibongo, ila wapo baadhi na sio wote wapo hvyo. Wazungu ndio kitu gan huo ni ushamba ngozi zao zenyewe hazina mvuto wa kuwa chumban, sijui wabongo mnamaoni gani yangu ndo hayo.

    ReplyDelete
  3. Wadada wanaanza mapenzi katika umri mdogo inawafanya wanaume wakose msisimko wa mapenzi wanapokuwa nao.Kwanza ametumia njia ipi ya kitaalamu kufikia jibu la utafiti wake.Kama ilivyo kwa wanaume wa ki bongo kote kuna mashetani na malaika.Kma yeye anamini ni msafi basi atapata msafi mwenzie pia

    ReplyDelete
  4. anafirwa huyu dada ndio maana anaona ni bora ashobokee wazungu. kwani wazungu hawachepuki? acha ushamba mkundu wewe. ukiona hivyo hapa bongo umechuja¤ ushatombwa xana ndio maana unaona huwezi kuolewa. na ulijuaje michepuko ya wanaume wa wenzio kama sio ww ndio unaetombwa na wanaume wa wa2.?

    ReplyDelete
  5. Hamna lolote Mnapenda Kfirwa tu wazungu hawpwndi k wao Mavi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ma black wote shuhuli wanaweza na michepuko no1
      Wewe mwenyewe akili kichwani kwako.

      Delete
  6. Wanaume black wote awe mbongo, nigeria, uganda, au cameroon shuhuli wanaiweza na michepuko no moja.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio maana na sisi wanawake tumeiga michepuko!! Akichepuka na wewe chepuka sio unalialia na kumaliza hela zako kwa waganga! Kuna siku watashika adabu!!

      Delete
  7. Kabisaa akichepuka nawe unachepuka tena kama anafanyakaz chepuka na boss wake.kama mfanyabiashara chepuka namfanyabiashara mkubwa zaidiyake usikosee lenga Hasa hataukifumwa aumie mpaka ang'ate nyaa manawanaumiagasana tu.akikuacha poa tu sishabaha umelenga.jeuri mwenzie kusudi.kwani nani anamoyo wa Chuma

    ReplyDelete
  8. Kabisa yaan,dawa ya moto ni moto,dawa ya kuchepuka ni kuchepuka,akipita mlango wa mbele pita mlango wa nyuma kama kawa. Uclie ndg yangu tafuta mnyinge ummegeeeee ndio dawa yao hawa wanaume wa kibongo yena utakuta mchepuko unakukuna kunako weeeeeee

    ReplyDelete
  9. huyu anaongea kama hakuna ukimwi duniani,hivi wadada wa kibongo kwanini hawafikirii ukimwi?yaani anavyoandika hii messeji kajisahauuuuu.poleni

    ReplyDelete

Top Post Ad