Wadada: Wanaume Warefu Wanajisikia na Wana Dharau Sana Kwenye Swala la Mahusiano


Wadada: Wanaume Warefu Wanajisikia na Wana Dharau Sana Kwenye Swala la Mahusiano

Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.

Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio ni Malaya sana na wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu Tujadili Kama Kuna Ukweli wowote wa Jambo Hili.....

Je  Kuna Ukweli ?

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawana lolote kwenye mapenzi hawawezi hawaingii wafupi chezea wafupi wee kwanza wafupi wanamaisha marefuuu warefu wazuri wakisimama tu si kivingine

    ReplyDelete
  2. tehe tehe teheeeee, mdau hapo juu umelonga, ila wangu ni mrefu ana tabia za twiga mtaratibu sana na anapenda mno

    ReplyDelete
  3. Haaaaaaaaaaaaaaa! wangu mrefu tena mrefu haswa ila ukimjua mtu wala! hakupishida nakushauri dada chukuliana naye kwan kila binadamu anakasoro zake.

    ReplyDelete
  4. Wafupi ni shidaaa wanajisikia wakorofi vimbelembele wanapenda kuonekana wapo ni shida kuwa na kamtu kafupi mf steve nyerere..warefu niwapole waelewa wanyenyekevu na hawapendi kutumia ubabe wanajiamini miili yao ni silaha tosha nilikua na kinyundo bora ckuelewa nako kwakuzira sasa hadi ukabebeleze hata kakikosa kenyewe..Mungu ndie muumba ila wabafilike wawe kma warefu

    ReplyDelete
    Replies
    1. umenena tena wanakera mno ila ukimjua mtu tu unaweza kuuishi nae hata kama utapata mume kikojozi ukishamjua unaweza kuishi nae

      Delete
  5. wangu ni mrefu tena mrefuiu hasa na me ni mfupi hasa ila ananipenda adi anaajionega wivu yeye mwenyewe so ukishampatia mtu tuu akusumbui pia tuache uvivu. ukiona mwanaume anakuringia ujue wewe ni mvivu kuanzia jikoni, sebuleni mpaka chumbani babu acha uvivu uone , pika, fua, muandalie maji ya kuoga muogeshe, shafisha nyumba yako nk usimwachie bekitatu kila kitu

    ReplyDelete
  6. Hatariiiiiii, asikwambie mtu bana, wanaume warefu ni top, kwanza anakubembeleza kwa kujiamini tena ndio ukute amejaliwa na sauti ya kiume! aaah mbona utaitika? mimi Mr wangu ni mrefu sana tena huwa na enjoy vituko vyake na kumchezea hadi basi, lakini mimi kifupifupi kwake na wakati mwingine nakuwa mwenye hasira kama ilivyoada kwa sisi wafupi

    ReplyDelete
  7. kweli umenena mdau hapo juu warefu ni the best sana hawana shida

    ReplyDelete
  8. huyo aliyetoa mada alikutana..na watu warefu magumashi..warefu ndo habari ya mujini..kwanza wengi ni smart ..na wanajiamini..kama wewe kanjanja utaona unadharauliwa..

    ReplyDelete
  9. Inategemeana,mie wangu mrefu ni mstaarabu san ana tena sana ndio ni kweli wafupi ni stress jamaniiiiiiiiiiii ni shidaaaaaaaaa,wangu mrefu nampenda tunapendana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli bwana wanaume warefu labda msichana mwenyewe amkorofishe lakini kiukweli hawana shida kabisa jamani,wanajua mapenzi,ni wa kweli,wa karimu,wazuri,wanaswags jaman wanabembeleza mno hadi unafurahi,dah wadau nahic mngezifahamu raha na mapenzi motomoto nayapewa na Mr wangu.

      Delete
  10. Mdau hapo juu naomba nimjaribu basi huyo mrefu wako na mie nitakupa wangu ili tujiridhishe na swaga za hawa watoto wa wanawake wenzetu

    ReplyDelete
  11. mbilikimo mm wa nn ?warefu kwangu nawakubali sana.kwanza akivaa anapendeza mtaratibu na wala sio wabish kama mbilikimo.kwa wastani mbilikimo pasua kichwa.

    ReplyDelete
  12. Duuuuu hiii mada kweli kiboko yaaan hizo comments tu ni vichekoooooooooo

    ReplyDelete
  13. Urefu na ufupi ni maumbile tu tabia kila mtu ana yake. Kila siku wanawake wanalia sijui mume wangu boyfriend kanitenda huwezi sema wote ni warefu au wafupi hadi webgine wakaishia kusema wanaume wote ni mbwa. So kila mtu na bahati yako. Haya wewe washing machine hapo juu usiye mvivu safi sana fanya yote ila usidhani ndo dawa relax usijiamini kivileeee yaani oh mi sio mvivu mama wenzio walikua ivo wakalia kama ng'ombe so ukae ukisoma alama za nyakati na usali anything can happen anytime.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad