Wahusika Waliotupa Vipande vya Miili ya Binadamu Bunju Wajulikana

Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzikumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya mukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum. 

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HIVI KUNA CHUO HAPO AU JINA LA CHUO NA KAMA NI CHUO BASI TUAMBIWE VIMETOKA WAPI HIVYO VIUNGO .PIA HAWA WASOMI WA WASASAIVI WANAELIMIKA KWELI KWA NINI WATUPE KIHOLELA.HATUNA UONGOZI KUNA ILI MRADI VIONGOZI

    ReplyDelete
  2. IMTU sio chuo kizuri na hata wanafunzi wanaoingia hapo chuoni hawana sifa za udaktari,mfano halisi upo kuna wanafunzi wame fell Medical Assistance leo wako IMTU wanachukua u Dr,ndio maana hata wali wa U Dr wanalipua tu kuwafundisha wanafunzi wao wako after money,chuo ni cha private na ada wanalipa kwa nini wakose pesa za kuhifadhia hizo Cadava,kumbuka nao walikua binadamu kama sisi,Wa wajibishwe wanao husika na tukio nzima.Ila Bongo ilivyo Tambarare kesi itaishia kimya kimya wala feedback hatutapewa wananchi.

    ReplyDelete
  3. SISI TUNACHOTAKA KUJUA WANANCHI MIHILI NI YA WATU GANI NA WALIKUWA WANAIPATA WAPI? HAO SIO N'GOMBE USEME WALIKUWA WANANUNUA VINGUNGUTI KWA AJILI YA MAZOEZI YAO YA VITENDO...TUNAOMBA SERIKALI MTUELEZE VINGINEVYO HATUWAELEWI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad