Wanaume Mnao Jisifia Mnajua Mambo Sita kwa Sita Mnaboa Wengi Si lolote..One Minute Man


Umekutana na Jamaa very Handsome...Very Smart..Kajazia misuli UKAMTAMANI...Yaani kila ukimwangalia Pichu inajaa udambwidambwi...Unampatia Picha Ukimpa Mzigo jinsi atakavyoimanua vizuri...SIKU YA SIKU UMEJIANDAA UMEMPA SHOO....Jamaa yuko bize anapiga mikelele ya shangwe kuita wazungu wakati wewe wala huoni anachofanya and ur wondering,"WHAT IS THIS NIGGA DOING ON TOP OF ME"
Imewahi kukutokea???
Halafu MBAYA ZAIDI baada ya kukuru kakara zisizo na faida yoyote kwako na kupakwa shombo la maana na kuwa disappointed jamaa linashuka na kukuuliza
"BABE HOW WAS IT"..Teh teh,Hapa wanaume tunapewaga jibu la kisiasa tu IT WAS FINE...halafu ananyanyua gagulo lake anaenda bafuni akirudi utasikia
"I think we should go,Nimekuta Missed call za Mum"
HUPEWI TENAAAAAA....Wanaume ukiona umepewa mara 1 ukiomba tena unazungushwa kama unafuatilia TIN NUMBER ofisi ya TRA ujue ULIFELI DAY 1...Akupe tena ili iweje??
UKIPEWA PAKUA HASWA..Ukishuka mtu alale kama masaa2 hivi ndo akumbuke kuna mama home...Sio mtu unashuka nae anabeba taulo..HUJAFANYA KITU BLOO!
poooooooo imejipost
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MBAVU ZANGU MIMI JAMANI, MTOA MADA UNAUGOMVI NA WATU HA HA HAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  2. True bro! Wengi ni chipsi mayai! Wamelendemka utadhani gays! Wanakipamba saana kama mademu! Kitandani zerooo! Mnatupaka shombo tu!

    ReplyDelete
  3. Mmoja wa dizaini hiyo nilikutana naye Sinza alinisaidia kwenye ajali! Lol mwanaume handsome huyo! Caring kibao nilimpenda lol kufika 6*6 urojo wa pemba! nilimdis
    Mpaka leo ananitafuta nimempotezea mazima!

    ReplyDelete
  4. Wapi PHD???? mtoto mlaini mpaka kitandani

    ReplyDelete
  5. Dah aiseeeeee........that's really unfare!!! What happens in Vegas lets stay in Vegas.......mambo ya kuleta maujinga yenu hapa acheni.

    ReplyDelete
  6. jaman me si tii neno napta tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad