Wanawake wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo ni negotiable).
Wengi wao huwatongozi ila watakutongoza wenyewe! Kundi risky zaidi ni la wamama wa nyumbani au wanawake ambao hawajasoma (I am sorry to say this)!
Unaweza kukuta mme wake ana fedha na kila kitu, lakini kwa sababu jamaa hajaajiriwa serikalini au kwenye taasisi au kampuni (kumbuka tulio wengi tunatamani kujiajiri!), mke wake anamchukulia kama mtu fulani ambaye hana hadhi nzuri ya kuwa mme.
Sumaku kali zaidi ambazo huwavuta wamama wa aina hiyo, ni wale vijana au watu wazima walioajiriwa, wanaotoka asubuhi, wamepiga tai, kiatu kiwi full time, wengine suti, halafu ni watu wa misheni town (wenye magari sijui inakuwaje, mtatuambia), (haata kama kazi zao ni kufagia au kuzunguka na mafile maofisini)!
Wanawake wa aina hiyo huanza kwanza kwa kutafuta ukaribu na mazoea na watu wa aina hiyo kwa udi na uvumba katika harakati za kufanikisha azma zao.
Licha ya uzoefu nilioushuhudia juu ya wamama hapo juu, hivi karibuni nimekumbana na majanga kadhaa yakihusisha wanawake walioolewa kwa ujumla, wengi wao wanaoonekana ni sex hungry moms au gold diggers. Nawapa tu mifano michache kuthibitisha haya ninayoyasema:
1. Mie nakaa mwenyewe mmama from no where akaanza kuniletea chakula (niliogopa sana), akaniambia naona unapata shida unakaa mwenyewe na wewe ni mwanaume huwezi kujipikia.
Siku ya kwanza sikukila (nilikiweka kwenye chombo changu nikampa sahani, baadaye nilikimwaga), maana niliona kama labda kaweka kitu. Siku nyingine akaleta na kuniambia tule wote! Hooooooooo, nikamwambia tutakula wapi?
Akasema kwako, usiogope mme wangu amesafiri! Sasa tukiwa tumekaa, alikuwa amejifunga kanga moja, anatawanya miguu na kuirudisha, nilijikaza sikufanya chochote, vituko anavyonifanyia mpaka sasa ni siri yangu.
2. Mwingine alipata namba yangu kupitia simu ya mmewe ambaye ni rafiki yangu, kila mara hasa usiku ana msgs kama hizi: "shem habari, nahisi wewe ni mcheshi, huna kiburi wala makuu, tena unachat na mimi bila shida, nina hamu siku moja nije Dar nikufahamu, au sio shem?"
Mara nyingi sijibu, akiona hivyo "shem nijibu basi, usiogope maana mme wangu hayupo sasa hivi". Vituko vyake siku hizi havisimuliki!
3. Mwingine, kutwa kulalamika kuhusu maisha yake na ndoa "Yaani shem, we acha tu, maisha magumu, rafiki yako naye kipato hakieleweki na mie sikusoma wala kubahatika kuajiriwa, maisha yanaenda tu kwa nguvu za Mungu, ningekuwa sio mvumilivu sidhani kama hii ndoa ingekwepo, shem unakaa wapi nije kukusalimia au una mke?" Mie najiuliza hivi wakati wa kufunga ndoa hakuapa kuwa na mmewe kwa shida na raha?
4. Mwingine ni mama jirani yangu, tena ni mtu anayejiweza, siku moja akaniita anaomba nimsaidie kurudishia taa imeungua, nilivyopanda juu ya meza alinipa taa - tube light mbovu, kuiweka haiwaki, akaniambia naomba simu yako nimpigie kijana fulani wa mtaani aniletee taa nyingine, nilivyompa kumbe alijipigia, halafiu akaniambia hapatikani, acha.
Tangu awe na namba yangu, utaona mida ya saa 4 usiku anatuma msgs kama vile "Mambo, Jumamosi hii twende tukatembee" au "Nina kitu nataka kukuambia ila tunahitaji faragha", Huwa namjibu, nina mambo mengi, labda siku nyingine.
Ni majanga mengi sana nakutana nayo yanayohusisha akina mama walioolewa. Mliooa kuweni makini na wake zenu, wengi ni washenzi sana na wana sophisticated means za kuwaengage wanaume wengine kwenye mahusaiano na wao! Pia najiuliza tatizo lao la kuzoeana na wanaume wengine na kujifanya wana hamu ya kuchat au kuwa karibu nao na sio waume zao ni nini?
NB: Nawaasa vijana kukaa mbali na mke wa mtu, maana mke wa mtu ni zigo la madawa ya kulevya.
Quote of The Day:
“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”
Aisee hiyo stori ukweli tupu. Nafikiri kabla ya ndoa ni vyema umfahamu mwenzako vizuri ili unaposema "Nakubali" ile siku ya ndoa iwe ni ahadi ya dhati. lakini pia kuna changamoto ambazo zinatokea mkiwa kwenye ndoa, ni vyema wanandoa wakajifunza kuvumiliana, kusaidiana na kuridhika. Ni lazima kuzuia tamaa ambazo mwisho wake zinaweza kusababisha magonjwa, kuvunjika kwa ndoa au mauaji. Sasa mfano mwanamke anasema haridhishwi na mmewe ndio maana anatoka nje, mpaka lini ataendelea kutoka? ni vyema akamsaidia mmewe. Kuhusu tamaa ya fedha, kuna msemo unasema hata ukiolewa na nani, kuna mtu atakuwa na pesa kuliko mmeo. Kwa wanaume, hata ukioa mwanamke mzuri kiasi gani, huko nje kuna mwanamke mzuriii na mkeo haoni ndani hata kwa nusu. Wanandoa wasitafute sababu ya kuchepuka. Amua, chukua hatua.
ReplyDeletendugu ni wakati wako wa kuoa hautasumbukliwa tena
ReplyDeleteWee nae huna kazi ndio mnaoshinda hm na mashemeji miaka yote mkitoka nje shemeji ananitega ananitaka anavaa kanga moja unapenda kuona ndio maana unaona jitume ukirudi hm ucku pumzika weekend kma una mchumba tumia nae muda wako saa muda unaobakia mshukuru mungu kukupa uhai na vyote ulivyonavyo...tuone kma utatongozwa ovyo...
ReplyDeleteMimi ni meolewa miaka 10 iliyopita cjawahi chepuka hata cku moja na mume wangu aliwahi kaa nje ya nchi miaka 3 na sikuguswa miaka yote hiyo nyie ndio mabigwa wakuchepuka mnatusingizia mpaka mwanamke achepuke kuna tatizo kubwa sana ktk ndoa na chanzo ni mumewe..kuna wale sitaki kuolewa sina shida na ndoa hao ndio hujitongozesha na kuforce mahusiano baadae na kuvuruga ndoa za watu au kutoka na viserengeti boy...
ReplyDeleteMm mwenyewe nimeolewa,lakin nachepuka kama kawa kwan ata mwenzangu ni mchepukaji mzuri,soo ni ngoma droooo. Tena mchepuko una raha zoote za dunia na unajua kubembeleza na kuhandle ile mbaya k inanyooooonywa mpka unalia,mkimaliza unaogeshwa na baadae unalishwa chakula,weweeeeee chezea mchepuko weye,ni noumaaaa
DeleteUko sahihi kabisa mkuu,wanawake majanga.
ReplyDeleteWanaume co majanga? Y mwanamke akichepuka ndio huonekana? Vp kuhusu wanaume wanachepuka kila saa hata kama ana mke anatongoza kila binti tena haendi ata mbali mtaan apoapo,shenzi zenu ninyi wote mnaowasema wanawake,cku hzi co ka zaman dawa ya moto ni moto weee,ninyi mkichepuka mnaona poa tu kwan wanawake wana mioyo ya chumaaaaa,wee cri ya ndoa ipo kwao wanandoa tu ninyi majiran na wapitanjia hamwez jua lolote. Na ukiona mpaka mke anachepuka jua amevumilia saaana matukio.mengi ya mchepuko wa mumewe,lkn akishaamua kufanya hvo kumrudisha nyuma utasugua gaga......
DeleteTumia critical thinking.Huo ni uelewa wako binafsi na wengi mnaoshabikia hili wala hamuijui ndoa inafananaje zaidi ya kuchezea watoto wa watu..Usiusemee moyo
ReplyDeleteKweli mkuu hapo umenena neno.
DeleteHao wooote wenyewe tu ndio majanga,na uyo aloleta mada ni nyoko saaana. Ana uzuri gani mpka kila mwanamke mtaan kwake amtamani kama sio uongo tuu,apo keshatendwa anatafuta kujifariji tuuu,kaa ukijua we mleta mada za uongo kua ukipita mlango wa mbele,mwenzio atapita mlango wa nyuma cku hzi hakuna kulia ooooh kachepuka, nooooo akichepuka na ww tafuta mnyonge ummegeee. Looooh
We kaka nawe Malaya tu wake za watu ndo wanakuona wewe tu una nini cha ajabu mfyuuu zako .kama vp oa basi
ReplyDeleteNi nyooooko sana uyo mleta mada,ndio ushangae eti anatamaniwa na wake za watu tuu,uckute sura mbayaaa na ata kaxi hawezi anatafuta faraja humu ndani,mme bwege uyo.
DeleteHivi hadi inafika hatu mnakubaliana kuoana na kufunga ndoa inamaana unakubali hali hiyo kuwa mm sitaki tena mwanaume mwingine zaidi ya mume wangu au sitaki tena mwanamke mwingine zaidi ya mke wangu. Sasa inapofika siku unamsaliti mke/mme wako unamaana gani.? Wakati ulishaahidi mbele ya wazazi/walezi na mbele ya mwenyezi mungu wako au unajitafutia laana usiyoyajua madhara yake. Hebu tumwogope mungu bwana, tuheshimu ndoa zetu na familia zetu na tumwombe mungu atukinge na tamaa na vishawishi, kila mara uwe unatamani uwe na mme au mke wako sio kusalitiana au kuchepukiana hovyo.
ReplyDeletehuyu jamaa msenge hana lolote ingekuwa kweli asingesema kuma la mamaaake mkundu huyu. tena atakuwa shoga hawa wanawake wa wa2 ni marafik zake. anakuwa anawachunguza. mana mwanaume lijali asingeweza kusema.
ReplyDeleteSafi sana kiongozi. Uyo jamaa mleta mada ni boyaaaaaaa,ata shule ajaenda msenge mkubwa.
Deleteushushi huo...labda ni situation ulioko sahizi ambapo unazungukwa na wanawake aina hio
ReplyDeleteushushi huo...labda ni situation ulioko sahizi ambapo unazungukwa na wanawake aina hio
ReplyDeleteAnagawa 0712> mkund huyuu 100% kuma mamae zako ww. kama ndio hivyo hata mamaako alikuwaga malaya, au mpaka sasaivi mamaako atakuwa malaya. au unamtomba mamaako? kaka angalia vi2 vya kuandika. kuma la mamaaako:
ReplyDeleteww nawe kweli huna kazi ya kufanya mavi yako kla mwanamke akupende ww ndo nani?
ReplyDeleteww nawe kweli huna kazi ya kufanya mavi yako kla mwanamke akupende ww ndo nani?
ReplyDeleteyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees asitanie umma
DeleteWewe unayejifanya mke wa mtu eti unaponda wanawake wenzio wanaiba waume za watu!
ReplyDeleteHao waume zenu mngekuwa mnawapa nyuchi kitaalam wasingetamani hata kuona dudu ...
Wanatubembeleza wenyewe na kutushawishi na anasa chungu mzima!
Guess what wanatunyonya K kuliko masingle men!
Wanajali wanagharamika na hata kutujengea!
sasa matusi ya nini ?nyienyie mliozaliwa kwa kutanguliza midomo ,wewe kama una point hacha kaakimya kuliko kutukana
ReplyDeletewe hufai unashindwa kutumia fursa wape namba zangu niwashughulikie 0762623612 wambie wanitafute niwape mambo pia hukupaswa kusema kama ni kweli wanitafute
ReplyDelete