Wasichana 63 waliotekwa na kundi la Boko Haram mwezi mmoja uliopita wamefanikiwa kutoroka kutoka kwenye kambi waliyokuwa wamefichwa na kurejea makwao.
Kwa mujibu wa maafisa wa Nigeria, idadi hiyo inawajumuisha wanawake waliotekwa na Boko Haram kutoka kwenye kijiji cha Kummabza, Borno wiki mbili zilizopita.
Ingawa serikali kuu haikutoa taarifa rasmi juu ya tukio hilo, Gavana wa Borno, Alhaji Kashim Shittima alitoa maelezo juu ya taarifa hizo.
Vyanzo vya ulinzi, wakazi wa maeneo hayo na watu waliowashuhudia wanawake hao wamewaambia waandishi wa habari kuwa waliwashuhudia wanawake zaidi ya 60 waliorejea makwao Jumamosi.
Inaelezwa kuwa wanawake hao walitoroka Ijumaa usiku, wakati ambapo wanajeshi wa Boko Haram walienda kushambulia kambi za jeshi la Nigeria ambapo maafisa wanadai waliwauwa wanajeshi wa Boko Haram zaidi ya 50 katika mashambulizi hayo.
Hata hivyo, bado Boko Haram wanawashikilia wasichana wengine zaidi ya 200 waliowateka kati ya April na July mwaka huu..
Funny Quote of the Day
If you can't convince them, confuse them.
Allah ana nguvu za ajabu hizo ni kudura zk .
ReplyDeleteAllah huyo muuaji anayekula damu za watu. Hatukuwaona waislam wakiandamana kuwapinga Boko Haram. Mnajua kwamba wanafanya kazi halisi ya uislamu. Uislamu uliendeshwa kwa ubabe wa upanga. Mecca ilitekwa kwa upanga huku wakidai wanamtetea Allah huyo. So hata Boko Haram wanafanya hivyo hivyo.
DeleteAllah huyo muuaji anayekula damu za watu. Hatukuwaona waislam wakiandamana kuwapinga Boko Haram. Mnajua kwamba wanafanya kazi halisi ya uislamu. Uislamu uliendeshwa kwa ubabe wa upanga. Mecca ilitekwa kwa upanga huku wakidai wanamtetea Allah huyo. So hata Boko Haram wanafanya hivyo hivyo.
DeleteWw mdau hapo acha kuropoka na ilihali ujui historia yoyote kuhusu makka, kitu kama hujui funga hilo domo lako chafu, hivi ww unaujua uislamu wa kweli au?Aliekwambia kuwa waislamu hawakuandamana kuwapinga boko haramu ni nani? Acha kuropoka ropoka na ilihali huna hakika, mwehu ww
ReplyDelete