Akizungumza na paparazi hivi karibuni, Wastara alisema kama mwanamke amekuwa akitamani kumpata mwanaume wa kumfariji lakini kinachomchanganya ni sampuli ya wanaume wanaotuma maombi kwake.
“Mpaka sasa wameshanitokea wanaume zaidi ya kumi lakini wengi wao nawaona wananitaka ili kujua nini nilichonacho na wengine wananifuata wakidhani watapata mali na si mapenzi ya dhati.
“Kimsingi wanataka tu kujua Sajuki alidata na nini kwangu, mimi siko hivyo. Siwezi kumruhusu mtu aingie kwenye maisha yangu kwa masilahi yake. Ninayemhitaji namjua moyoni na ipo siku nitampata kwani siangalii mfuko wa mtu, naangalia tabia,” alisema Wastara
Quote of the Day
You are always a student, never a master. You have to keep moving forward.
Mmmmh,umewapimaje kumi wote?Promo?
ReplyDeleteKuwa makin wabongo kwa longo longo wanaongoza
ReplyDeleteHayo ni mambo yako ya moyoni au ndiyo staili ya kujinadi!!!
ReplyDeleteHuyu demu kwa kweli ni so miserable. Mpaka anatia na huruma.
ReplyDeleteKichefuchefu ptuuuu,kwendraaaaa. Toka afiwe mume ni hekaheka magazetini lol!
ReplyDeleteImekaa wima wakubali tu hawana tatizo, hivi ungekataa kuliongelea hili waandishi wangekupiga? Haya waambie kilichomdatisha sajuki basi
ReplyDeleteudaku ondoa huu mfumo wko unatuchanganya
ReplyDeleteNa kweli huyu mburulazzz kila siku Wanaume wananitaka sijui yukoje. Hana jipya katika hizi zama za Science and Technology. Ni mpuuzi kweli.
ReplyDeleteHalafu Oh Sajuki alidata kwangu. Alidata nini bwana. Kama angekuwa amedata kivile wala kijana wa watu asingepoteza maisha kwa style ile.
ReplyDeletesielewiiiiii....... mara NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA, mara NIMEPATA MCHUMBA UGHAIBUNI, mara SIJUI NANI ANATAKA KUNIOA na leo unasema UNAYEMHITAJI UNAMJUA MOYONI IPO SIKU UTAMPATA.....
ReplyDeletemademu wa bongo movie kila siku jipya.
ReplyDeleteanatafuta kiki huyu nae embu atulie alee watoto wake
ReplyDeleteHi wewe dada mzima au umelogwa nyege mbaya kweli, ina maana toka sajuki afariki hujatombwa, unachosha bwana kila siku wewe tu, kama hujapata bwana wa kukutomba jichue upungeze minyege maana unakaribia kuwa chizi
ReplyDeleteMi huwa nashangazwa na tabia za hawa wadada wanaojiita star, hivi star unapanga hadi leo, wastra umeshaolewa mara ngapi hapo ulipo una watoto wawili cjui watatu, bado unawaza kuolewa tu kwanini usitulie ulee watoto wako, hivi kuoelwa deal, una kera we mwanamke kwani yule bwana bilionea uliyempata aliishia wapi baada ya kumpa papuchi kasepa kukaa kimya huwa inasaidia sana heshima yako yote uliojijengea imeshuka kila mtu anakudharau
ReplyDelete