Watangazaji wa Clouds FM Walio Pigana Live on Air Wasema Ule Haukua Ugomvi wa Kweli bali wa Kutengeneza

WATANGAZAJI wa Clouds FM wameweka wazi kuhusu tukio lililotokea juzi (Jumatano), Julai 2 mwaka huu wakati wa kipindi cha XXL likiwahusisha watangazaji B12, Adam Mchomvu na Fetty kudaiwa kupigana studio lilikuwa la kutengenezwa ili kupaza sauti na kufikisha ujumbe wa amani.

Dhamira ya tukio hilo ilikuwa kupaza sauti ili kudumisha amani ya Tanzania maana ukimya hausaidii.

Clouds FM is a broadcast radio station in Dar es Salaam, Tanzania, providing Community News, Information and Entertainment.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. zuga hizo mbona siwaelewiii uwiii acheni usanii au mmeamua kuungana mnaogopa kumwaga unga!!!

    ReplyDelete
  2. Ukweli utakuja kujulikana baadae.

    ReplyDelete
  3. hacheni kudanganya uma mmegombana kweli,mnajisafisha tu

    ReplyDelete
  4. hacheni kudanganya uma mmegombana kweli,mnajisafisha tu

    ReplyDelete
  5. Huo ni upuuzi,naamini haingii akilini kwa mtanzania yeyote aliyesikia ugomvi huo,hatujalelewa hivyo,msitake kutulazimisha. Na Huyo boss wenu kama anakubaliana na hilo ni wakati wa yeye kuambiwa radio yake ni ya wahuni,anahitaji kuifanyia mkakati wa kuiboresha.

    ReplyDelete
  6. zuga hizo mbona siwaelewiii uwiii acheni usanii au mmeamua kuungana mnaogopa kumwaga unga!!!

    ReplyDelete
  7. They are so yesterday!...kutafuta kick kishamba!

    ReplyDelete
  8. WASENGE HAO WANAZUGA TU HAWANA LOLOTE WANAUA SOO ILI WAJISAFISHE! HAKUNA CHA "PAZA SAUTI" WALA NN, WAMETWANGANA HALAFU WANAZUGA ETI PAZA SAUTI YAANI NLIVYOKUA NAWASKILIZA JANA IJUMAA YANI NI UPUUZI TU ETI WALIPANGA! ZPO NJIA NYINGI SANA ZA KUTAFUTA KIK NA WA2 WAKAWAKUBALI ILA IYO KIK YAO IMEBUMA NA WANA 2SHAWASHTUKIA! UTOTO UNAWASUMBUA WAKIKUA WATAACHA. NA UYO MCHOMVU NDO KABISAAA GANJA NYINGI NA VIROBA THATS WHY ANAONGEA UPUUZ TU!

    ReplyDelete
  9. ni MATAHIRA hao. rudini shule mkasome ili muelimike. yaani mnaharibu tasnia ya habari alafu kinachoshangaza wanahabari wenye elimu wanashindwa kuwakemea. yaani inauma zaidi kama kuna watu wenye akili timamu wanawasikiliza. nao watakuwa MATAHIRA TU.

    ReplyDelete
  10. Msitufanye sisi wote watoto wadogo wenzenu, au hatuna akili hiyo michezo ya kuigiza mwachieni JOTI, mlipigana na siku mmoja wenu akishindwa atatoa siri, uzuri Wake wote mnajua kuongea

    ReplyDelete
  11. Walipigana Jumatano,Alhamisi wakasuluhishwa,Ijumaa wakaja kuzuga eti ni story,Full ushuzi!

    ReplyDelete
  12. wapuuz sana nyie akil hakuna..,na boss wenu ni mpumbavu sana..,,rudin shule na usela wenu wa kidwanz...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad