Miss Tanzania 2006/2007 Wema Sepetu ameiomba Wizara ya Sayansi na Teknolojia kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA ) kumsaka mtu aliyetengeneza picha chafu ya mama yake mzazi, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii…
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema anaamini kuwa TCRA wanao uwezo wa kumbaini mtu huyo ambaye bado hajamfahamu ili sheria iweze kuchukua mkondo wake kwani amemdhalilisha mzazi wake bila sababu yoyote….
“Nafanya utaratibu wa kwenda TCRA ili wamsake aliyefanya kitendo hicho kwani uwezo huo wanao,” alisema Wema
Mrembo huyo alisema serikali isisubiri mpaka tukio hilo limkute kiongozi wa serikali ndo waanze kuhaha kwani tabia hiyo inaonekana kuota mizizi baada ya hivi karibuni kufanyiwa hivyo wabunge.
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a statutory regulatory body responsible for regulating the communications and broadcasting sectors in Tanzania.
Hakuna idara ya Serikali ambayo itahangaika na jambo lolote la Kicheche huyo. Kuna mambo mengi ya maana ya kuyashughulikia katika hii Nchi ya Tanzania. Asitake saaanaaa kujiona yuko so exceptional wakati ni Kicheche tu. Atutoleee ushuzi wake hapa.....hovyooooooo.
ReplyDeleteHakuna wa kushughulkia issue ya kipumbavu kama hiyo, mtu wenyewe changdoa hivyo, Lambda kama utawaridhisha kwa kuwapa hiyo DUDU kama ulivyo zoea
ReplyDeleteMtu mwenyewe ndio kama hivyo mcheza kigodoro lools
ReplyDeleteUmeyajenga mwenyewe haya wema!! Tena umetumia juhudi kubwa na miaka mingi kujiweka kwenye mazingira ya kutukaniwa mama yako kama hivi! Na Kwa lifestyle yako... expect more worst to come.. tz too late to change.
ReplyDeleteKwani iyo serekali kiongozi ni eema sepetu anakacho kitaka yeye serikali lazima ifanye la ilikuwa miss tanzania jee angilikuwa ni miss world ikulu ingilikuwa kwake hawana kazi amuamrishe baby wake wamsake aliye fanya kwani serikali inafanta kazi kwa wema .na mama wema alitegemeya nini kwa wema alifikiriya kila siku ataitwa miss taz kainuwa kichwa chake leo kamueeka kichwa chini mcheza kigodoro
ReplyDeleteIla jamani mchoreni wema vyovyote muwezavyo but mama wa watu aachwe hausiki na haya mamitandao na kufanya hivyo tunajitafutia laana kwa huyu mama . Me wazo langu achorwe wema kama wema mama yake aachwe hata mm mama yangu angechorwa kwa kweli ingeniuma sana
ReplyDeletePole mama!!
ReplyDelete