Wema, Mama Yake Kuwasomea ALBADILI Waliosambaza Picha Chafu

SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu, wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha Albadili wale wote waliohusika kwa namna yoyote ile kuitengeneza picha hiyo na kuitupia mitandaoni, Risasi Jumamosi linakumegea.

Picha hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwa na kichwa cha mama Wema, lakini sehemu ya kuanzia shingoni kwenda chini si yeye na mhusika alikuwa hana nguo, ilizua gumzo kwa wiki mbili sasa huku watu wanaojiita Timu Dengue wakitajwa kuhusika.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, mama Wema na mwanaye wameamua kusoma Albadili ili kuwaadabisha wale wote waliohusika na sakata hilo lenye kufedhehesha.
“Mama Wema na mwanaye walikasirishwa sana na watu waliotengeneza ile picha na kuitupia kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram.

“Wiki iliyopita baadhi ya wasamaria wema walikwenda nyumbani kwa mama Wema na kumtajia majina ya wahusika, lakini hawakuwa na ushahidi hivyo yeye na Wema wameamua kujiunga kiimani zaidi kwa kusoma Albadili.

“Wamesema kwanza kabla ya tukio hilo la Abdadili wametoa siku saba kwa yeyote anayejijua amehusika na picha zile za kutengeneza aende mwenyewe kwa mama Wema, nyumbani kwake, Sinza-Mori (Dar) ili kuomba msamaha.

Quote Of The Day:
Spread love everywhere you go. Let no one ever come to you without leaving happier.





Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wakwende zao huko wanamtisha nani. Wanafikiria idara za Serikali zitakaa zinashughulikia mambo yao ya kijinga wakati kuna mambo muhimu chungu mzima yanatakiwa kushughulikiwa. Wanaanza kutisha watu kwa Umalaya wao wenyewe. Kwanza huyo Mama angeanza na huyo mtoto wake kwa kumkanya na tabia zake za Ukicheche kabla hajawarukia watu wengine. Na hiyo albadili itawafuata wao wenyewe Kumanyoko zao.

    ReplyDelete
  2. Huyo Kicheche aache tabia zake za kishenzi na atubu dhambi zake ndio wataacha kumchoro. Amekuwa akiwadhalilisha watu mfano ni alipoenda pale Kawe Club na kuvunjavunja chupa na glasi za watu. Kwani ni nani aliyemsomea albadili?????? Sasa kiherehere chao hiyo albadili itawafuata wao kwa sababu na sisi tunaenda kusoma hiyo albadili ili tuone itaanza kumkamata nani. Waache Umalaya....Kicheche mkubwa huyo....

    ReplyDelete
  3. ila waliofanya hivyo wazaz wao wangefanyiwa hivyo wange furah

    ReplyDelete
  4. Labda wacheza vigodoro wenzake ndio watamsaidia kusoma hiyo Albadili hahaha

    ReplyDelete
  5. YEA WALIVOFANYA HAO WATU. IS NOT GUD,NA WEMA USALAMU ANAUJUWA KWELI VIZURI WW WAZINI KILA SIKU ALAFU ALBADIRI ?????? MAVAZI NDIO HAYO SIYA KISLAMU NA SIDHANI PIIA KAMA SWALA TANO ZINA PATIKANA IKIWA KWENYE KICHWA KUNA HAYO MAWIV UNATEMBEA NA MTU HAUNA NDOA NAE. MIMI LAMSINGI DADANGU RUDI KWA ALLAH NA WAOVU YEYE MWENYEWE ATAWA DHIHIRISHA INSHALLAH KHEIR

    ReplyDelete
  6. Sasa huyu Kicheche si tuliambiwa na yule Mtabiri ya kuwa yeye na Domo watafunga ndoa mwezi huu wa saba. Sasa hiyo Ndoa yenyewe iko wapi?? Tulitegemea kuona Headlines zinazosema Kicheche na Domo wanaenda msikitini kufunga ndoa na sasa badala yake tunaona hizi Headlines zinazozungumzia mpango wa Kicheche na Mama yake wa kwenda kuwasomea watu Albadili. Kha! Huyu Kicheche Mwishooo..

    ReplyDelete
  7. Hao watu ni kweli walifanya vibaya, pia hata kuwasomea hiyo albadili sio suluhisho, suluhisho ni kuwaombea wamjue Mungu waachane na hizo tabia, kwa sababu hata hao waliofanya hicho kitendo mkiwasomea na wakafa kuna wengine wengi tu wanatabia hizo wataendelea kufanya. cha msingi ni kuwaombea kwa Mungu ili waache matendo maovu.

    ReplyDelete
  8. Hebu usiniambie wale woooteee wanaokaaga humu na kutukanatukana ni Waislam.Duh kwa kweli. Sasa wako kwenye mfungo wa ramadhan huwasikiii. Wamefunga na mitusi yao.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad