STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu
amesema baada ya kutokuwa na maelewano
kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu
Bongo, Peniel Mungilwa ‘ Penny’ , sasa
ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani .
Staa wa sinema za Kibongo , Wema Sepetu .
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema
alisema : “Kwa moyo mweupe , nasema
nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye
popote nitasalimiana naye kama kawaida .
Nimeamua kuachana na yote, mimi ni binti
wa Kiislam na nahitaji sana swaumu yangu
ipokelewe vyema kwa Mungu .
Kwa upande wa Penny alifunguka : “Siwezi
kusema nitamchukia Wema ila nimekubali
matokeo , sina tatizo naye tena ingawa najua
hatuwezi kuwa marafiki tena kama zamani,
lakini yaliyopita yameshapita .”
Wema na Penny walikuwa na bifu kwa muda
mrefu, chanzo kikiwa Penny kuingilia
uhusiano wa Wema kwa Mwanabongo Fleva ,
Nasibu Abdul ‘ Diamond ’
Quote of The Day:
Thousands of candles can be lighted from a single candle, and the life of the candle will not be shortened. Happiness never decreases by being shared.
Kamsamehe alimkosea nini kwani..tafuta chakufanya wema acha umaarufu bila kazi..aliekosa ni chibu kuwatia wote akijua ni marafiki na nyie ujinga wenu kutokujithamini mkitongozwa mnakubalii tu mwenzio busy kazini wewe unawaza muhogo tuu..msameheni anaewatia wote penny ni kma wewe tu wanawake tuwe na akili ya kutafakari mambo
ReplyDeleteMdau nimekupendaje!
DeleteNa bora wema angekuwa mke wa ndoa basi angekuwa na jeuri ya kuongea hivyo.Halafu mwezi mtukufu wa ramadhani,kama angekuwa kijana mwenye nia njema basi angefanya ndoa kusudi apikiwe ftari kihalali na wema,lakini hajafanya,wema na tatoo zinakubalika?
WELL SAID!!
Deleteumsamehe kwan daimond kakuoa ww? Alafu mbona unapenda kutafuta kiki kwenye vyombo vya habari?
ReplyDeletehawa ni bongo mavi bana kila kukicha vituko tu
ReplyDeleteKWANI ALMAS MUMEO?ETI NIMEMSAMEHE,FYUUUUUUUUUUUUU
ReplyDeletewe nawe everyday hukosi la kusema bora uwe kwa vyombo vya habari. usofanya kazi ya maana ungoje usifiwe ahhhhh uko tooo much. and if ur a muslim gal hizo tattoo za nini hakuna mwisilamu anayejua dini achora ma tattoo tym is money my dear fanya cha maana utazeeka ukiwa umetajirisha magazeti tuuu. hata huyo dai alisema kwa wimbo kila siku magazeti jamani change be sumthing ppl will rmb u off si ma scandles and rubbish stuff grow up. penny achapa kazi ww upo upo tu haya.
ReplyDeleteI totally agree with the above. Wema unamsamehe Penny kwani alikukosea nini? wewe uliachana na boy friend wako yeye akamchukua. Jinsi ulivyo mjinga wewe unaona kuwa kosa ni la penny. Ina maana huyo Diamond hakujua kuwa yule alikuwa rafiki yako? ina maana alikuwa anamtamani tangu zamani tu. So usijiaibishe kusema umemsamehe unaonekana mpumbavu na hata ukiangaia statement ya Penny ni much better kuwa amekubali matokeo but she would never be friends like it used to be ambacho ni kweli kwa sababu maji yameshamwagika and in all this iliyosababishwa na mwanaume yeye anaonekana sawa yu na bado unampapatikia.. mjinga sana wewe na huyo Penny alikuwa mjinga pia at least amejifunza na anakaa kimya. Ask yourself Wema kama wewe ungekuwa wa maana sana kiasi hicho.... kama angekuwa anakuenda kiasi hicho..... kwa nini hajakuoa wala kuzungumzia kukuoa???? hivi unakumbuka maneno ya mwisho aliyoyasemaga? although watu wangependa mimi nioe, sina mpango huo na wala sina mawazo ya kumuoa Wema. na kama ungekuwa unapendwa hivyo basi mama mkwe wako asingeshindwa kusema kuwa anawapenda wote wewe na penny kwa sababu mlikuwa au ni watu muhimu kwa mwanawe kwa nini alisema siri yake? Sijawahi kuona miss Tanzania/beauty queen ambaye ni mpumbavu kama wewe... wengine ni wapumbavu wa akili lakini wana hela .. wewe hela huna kazi huna akili huna pole sana..
ReplyDeletewaaaaapi team wemaaaa sihuwa mnacf hata upuuz kaZ Kwenu mnuniane kisa hawala angekuwa mume je! mfyiiuuuu kichefuchefu
ReplyDeletewaaaaapi team wemaaaa sihuwa mnacf hata upuuz kaZ Kwenu mnuniane kisa hawala angekuwa mume je! mfyiiuuuu kichefuchefu
ReplyDeletewaaaaapi team wemaaaa sihuwa mnacf hata upuuz kaZ Kwenu mnuniane kisa hawala angekuwa mume je! mfyiiuuuu kichefuchefu
ReplyDeleteHeheeeeeeeeee!kuna mdau kaniacha hoiii eti bongo mavi tena ujamalizia mdau uharooooo au sio?mana kila siku upumbavu kwenye media hasa uyu madam komweeee!
ReplyDeleteEti??amemsamehe penny huyu ni attention seeker
ReplyDeleteu dnt know wat ur speaking ur just blabbing rubbish ur mind is average dats why kwani shida ni penny ama diamond. coz dai ametembea na jokate na wengineo stupid fool grow up wacha kutafuta kick na ohhh ctumie mkorogo tena mhhhhhhh wewe be proud of ur self respect urself for adaz to respect u. na hizo team wangekua wansoma wasinge shabikia ujinga. yaani muhimu tu uwe gazetini nakusikitikia dats not life na kama diamond akupenda kweli angekuwa amekuowa c aenda mara kwa huyo kisha wamregelea wapenda ramba matapiko
ReplyDeleteattension seeker attension seeker hana jipya mbona unamsamehe kuchelewa hivo maanake ramadhani tushapita katikati . ungemsamehe kabla ramadhani haija anza. wamsamehe mwanzo daimond ni mumewako his just ur bf angekua ameku vunjia nyumba u have a right to say dat.
ReplyDeleteAlmas leo atapata shida ya kubembeleza,Baby unaona ninavyosimangwa,baby nioe,baby mi nanywa sumu,babyooooooooooo keso mtasikia ndoa.
ReplyDeleteKirahic hivyo ? Atakesha sana BSO
Deletehahaha with her broken english
ReplyDeleteam not a fun of any but according to me pennys english is much much better dan wema
ReplyDeleteNyie nyie nyie,mtasomewa albadili,oooooooooh shauri zenu.
ReplyDeleteAkili ya madame ushuzi kama dadake b mange kimavi wana laana za mamazao hao wasamehen bure hakun ladhi mbaya kama ya mama kimavi kagombana na mnigeria anaenda kumtukana chagabebi yeye kasahau aliingilia ugomvi wa chsga bebi na prezoo mpaka kwenye blog yake akapost loo we dada mange badilika bas
ReplyDeleteHaki ya nani mi sielewi Hivi diamond Ni mwanaume Wa kugombania kweli???????????wasichana kweli tuna taste tofauti,nitaipenda pesa Yake lakini aniweke kitandani anitie?NO Wema nakusikitikia why ulimuacha Clement ?aliyekuwa anakupa U Madame?diamond malayaaaaa hiyo movie aliyo act na Victoria unafikiri itaishia hapo?Naseeb Ni mtoto Wa uswahilini atoacha vizuri vimpite,haya Msg kwa DIAMond wasichana woooooooote Wa kishua uliobahatika kuwakojolea HAWKUPENDI ngooooo only pesa yako ndo inapendwa na umaarufu.Fulia Kama Mr nice uone.nyooooooo!!!!Naseeb naseeen my ass!!!bulshit.
ReplyDeleteUmeuaaaaaaaa,naseeb sura kama .........
DeleteUmbo ndio maaaaaaaaaaaawe,
Kuvaa hapendezi...............labda avae sketi au gauni sijui.mwee
Wasamehe kina wolper,uwoya,Hamisa mobeto,rehema,lulu kanumba(Huyu sina hakika Kama katembea na Domo au ajatembea),joketi mwegelo,na wengine kibaooo kidole kinauma kuandika.
ReplyDeleteVictoria kimani umemsahau kwenye orodha.
ReplyDeleteBora penny Mungu kakuepushia ungepata presha kwenye ndoa,diamond mwanamke mzuri ampitii mbali ataakikisha anamvua chupi,na sisi wanawake maisha magumu tumekuwa cheap cheap cheap,atupigiwi tunacheza.
ReplyDeleteWema unapotezewa muda wako my dear wake uppppppp!we binti Mbona uelewiiiii?????
ReplyDeleteEbu mwambie ukweli uyo mwanamke...mbona awi mwanamke wa kisasa....yaan kawa mtumwa wa mapenzi...utakuja kistuka muda umeshakwenda......na sisi tunaekupasha hivi siyo hatukupendi tunakupenda sna.......lkn hao wanakusifia ujinga ndio wanakupoteza na kabisa kwa misifa....Zinduka Wema aliyekuroga labda kafa maskini.....Wewe kuongea na Penny nimepinda tena sana ila usiwe mnafki kama kajala alivyosema...
ReplyDeleteSasa apoteze mda marangapi?huyo madam wao sahizi angekuwa nakitu chakumuingizia hela biashara yamaana.ila kakali ngololoo acheni yamkute mtu asiomsikia mama ake na nduguzake atatusikia sisi.potelea pote Dai mtumieee ukimaliza tupakule sakajiko oa mama anataka mjukuu.hivileo kunamtu na akilizake ataenda ampende wema kama ck vile.nasema atoe sadaka sana naipokelewe ILA kamfanya babawawatu kapata kashfa buree atachezewa na dizaini zakina naseeb sana.
DeleteStupid Wema tena sijaona mtu stupid wa kupindukia kama yeye. Hana akili hata kidogo yani bora hata angerithi akili kidogo tu aliyo nayo mama yake asingekuwa hivi. Halafu Diamond nasikia anacheka kweli akiona hivi media zinavyomsema wema kwa sababu ina maana yeye anazidi kusifika. Wema Diamond hakuoi ng'o!! kama unabisha tuonyeshe basi kabla mwaka huu haujaisha hata ndoa tu ya mkeka.. hajuoi na atapata msichana mwingine na hakuna kitu utamfanya.
ReplyDeleteUmenena hapo juu hakuna mapenzi hapo na kama ni kupenda basi Dimond alimpendaga Penny maana alikuwa anasema hata kwenye interview kuwa sijawahi kupenda hivi kama ninavyompenda huyu na ni mwanamke ambaye ndio ambaye ningependa kumuoa ila sijasikiaga akisema hivyo kuhusu Wema labda wengine kama mmewahi kusikia mi sijawahi.
ReplyDeleteWema ni Business partner bwana we hujui? yani wadhungu wanaitaga unin of convenience basi.. inawapa faida zao wenyewe lakini masikini wema kapenda ukweli wakati mwenzie ni uboyfriend tu ambao unaweza kwisha time yoyote. Halafu mbona team wema hatuwasikii mkimtetea tena jamani? au meshaamka kiakili na nyinyi?
ReplyDeleteNa dada yake mwingine mpendwa yule wa Mbao Takatifu naona yupo kimyaaa siku hizi hana mambo ya kumsifu.. au na yeye yupo bize na skendo ya wizi wa marketing material?
ReplyDeleteJamani mweee! hilo gazeti huko U turn la kujielezea jamani yani sijui limetumia muda gani kujielezea yani unaona kabisa mtu ameumbuka na ana wasiwasi yani amejishusha ameanza kuongea kwa jazba na kutukana watu lol!! angekuwa hakijamshtua asingeandika vile yani tumecheka kweli leo jamani wacha ataje watu yani anatapatapa kichizi kagundulika.
ReplyDeleteMbona anajitetea eti ameorodhesha cost zote na kwamba sijui upeleke nywele zako mwenyewe mara faida ni dola 40? yani ye naona watu matahirakweli siyo? mbona hiyohiyo website imeweka wigi ambazo zimeshatengenezwa kabisa na inasema sld as is na ni dola 275? safari hii ngoma kali na hata akileta habari za private jeti wala hazinogi tena kujaribu kufunika mhhh tumekustukia dada umeshakwisha baki tu kama unavyosema ulee motto si mumeo ana hela ya kutosha? halafu analeta mambo ya kujibagua yeye mwenyewe mweusi hivi unaongelea color ya mtu kwenye media kweli na unasema umesomea sharia sijui ujinga gani?
ReplyDeleteSawa kabisa mdau wa kwanza na wapili hapo juu.
ReplyDeleteDomo,Kama wampenda Hamisa MobettuNi kabinti kalikuwaga kanapiga picha za utupu nchini Kenya)Au Kama wamtaka Victoria Kimani,au penny wee sema mapema,mama yako ataka mjukuu,sasa Hivi unahela Unaweza kuposa dada Wa aina yoyote hapo Dar hakuna atakae kukataa,mwache Wema Wa watu kistaarabu afanye Yake ,naona anapoteza muda Tu ,kwa mtazamo wangu lakini.
ReplyDeleteWEMA MOVIE ZIMEMSHINDA ATLEAST PIA AKIWA NA DAIMOND APATA KIKI NAWE. kwani naye wema kaanza penda kwa daimond?mr blue,tid,kanumba,mirror na wemgine kibao tu huruma za nn yy mwenyewe ajua afanyaje. yaani ajiamini kweli ati amemsamehe penny kwani huyo dai ni mumeoooooo? mcheeeeeeeeeeeeewwwwwwwwwwwww
ReplyDeleteWadau me uwa team wema ILA Leo ndo nimezijua vizuri akili za wema, yaani Ni mjinga bora na mtt wangu niliyejifungua Jana! Unamsamehe penny kwa kosa gani alokufanyia?? Eti kifungo mungu apokee?? Atapokea nini na wakati mambo unayoongelea ya kusameheana Ni ya uzinzi mtupu? Leo ndo unajua mwezi mtukufu! Umeenda kumpokea Dai ukiwa uchi miziwa yote iko nje yenyewe imelegea utafikiri unanyonyesha east Africa mzima! Yani ukijifungua watt cjui watanyonya nini kwani maziwa yalishachachuka yamekuwa mtindi! Umeisha wema tafuta Ata kibarua au bihashara c Una gari wewe lifanye duka tafuta sehem panga nguo, viatu, vipodozi n.k panga kwenye buti utauza, c unaona wadada wanauza. Kwani kwa sasa pesa ya frem cdhani kama utapata! Achana na sifa za ajabu cc tunaokupa cfa tunajishughulisha! Ona unavyoangaishwa na mapenzi feki Ni kwa sababu huna pesa, ukiwa na kazi mapenzi yatakuwa kama starehe. Kiukweli tumekuchoka na habari zako ziczokuwa na maana kila cku mapenzi, nimewasamehe tumechoka. Tangaza Ata bihashara za mifagio tutanunua tukasafishe nyumba zetu. Dai anafanya mambo yake na anamfurahisha mama yake ndo maana mambo yake yanasonga. Jifunze kupitia kwake domo. Ujitambui wema!
ReplyDeleteWe unaeandika gazeti wapoteza muda wako,asimsikilize mamae akusikilize weye?msonyo
ReplyDelete