Wema Sepetu: Ugonjwa wa Ngozi Umeniharibu

MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka.
Akizungumza kwa huzuni, Wema alisema hakutegemea kama tatizo hilo lingekuwa kubwa, kwani lilianza kama kipele kidogo ambacho baadaye sehemu kubwa ilivimba na kuharibu mwonekano wake.

“Ulianza muwasho, kikawa kipele kisha kikageuka kama kishilingi.
Nilipokwenda hospitali nilipewa dawa ya crime ya kupaka, mimi nikachua eneo lililoathirika, kumbe ndiyo nikawa nasababisha matatizo, kukavimba zaidi kama unavyoona,” alisema Wema ambaye alikataa kupigwa picha.

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mwanamke anapenda attention. Kama happiness magesse,mi wananiboaaaa,bila magazeti awaishi,kipindi kile kaenda blog publisher kupigana na kina Halima mdee kuuumbe Kesho Yake wako pamoja kwenye sherehe ya kigodoro

    ReplyDelete
    Replies
    1. Halima Mdee? dah...anony nawe mbona hivyo?

      Delete
  2. Ndo faida ya mikorogo kuna dada mmoja Wa kijaluo alikuwa mweusi tena weusi wake ulikuwa mzuri,sasa kajichumbuaaaaa kawa Kama mzungu,mtoto Wa kigogo Wa ccm

    ReplyDelete
  3. Mapenzi ya Diamond kwa bebi wake Wema.Mapenzi ya ccm kwa bebi wake ACT ya Zitto.Mapenzi ya mchungzji Gwajima kwa bebi wake Flora Mbasha.Ni mapenzi,mapenzi,mapenzi kwa kwenda mbele!

    ReplyDelete
  4. Mikorogo ya sikuhizi ni dijitali....wajipaka bila tatizo lolote

    ReplyDelete
  5. Samahani Jamani Naomba kuuliza Hivi mtu akiwa mweusiiiiii akajichumbua akawa mweupeeeee,akiacha kula hayo madonge ya kujichumbua atarudi kwenye ngozi Yake asilia ya unyororo?

    ReplyDelete
  6. Muulize huyo wema Unataka kutumia na ww ovyo

    ReplyDelete
  7. We mkundu nini soma msg uielewe,it's out of this mada,Kwani Wema Ni mweusiiiiii ?Wema Ni mweupe kama mama yake sema mwanzo alikuwa anauongezea weupe akawa ka nguruwe ila sasa Hivi kastop.

    ReplyDelete
  8. Mmmmh acha ukuma wewe Wema ana weupe gani? Wakati anashinda taji last miss Tz 2006 hakua hivi alikua na rangi nzr sana ya chocolate, ucjifanye kumjua mtu kumbe ushuzi mtupu au unataka tulete picha zake zake nyuma humu pumbu wewe kwendraaaaa

    ReplyDelete
  9. Post picha basi wema watu waone ulivo haribika ngozi yako wapate kukufanyiya kisomo ama wifi yako asma na mkwe wako bi sandra hawajakufanyiya maombi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ungemwambia apost picha ya uchi na diamond angepost,lakini ya kuonyesha ugonjwa hawezi kupost ng'o.Super star...........uchwara

      Delete
    2. Hahahahahahahahahahahahahah!

      Delete
  10. Mwishowake atakua kama Jackson

    ReplyDelete
  11. jacksoni yupiwa tandale ama

    ReplyDelete
  12. hehehe plastick suger imebuma

    ReplyDelete
  13. Plastick suger vilaza wengi umu,msomi sidhani Kama Ana muda Wa kufungua Udaku blog

    ReplyDelete
  14. Pov linawatooka mxiiu nyie wenyewe hamlali kutwa kutaka kujua wema kafanya nini

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad