Wema Sepetu:Diamond Platnumz Amenivalisha Pete ya Ndoa, Tukio Lafanyika Kwa Siri

SAPRAIZ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa siri kubwa, Ijumaa Wikienda lina stori exclusive.

Baada ya kuwepo kwa habari nyingi kuhusiana na ishu hiyo, Ijumaa Wikienda liliingia mzigoni kusaka ukweli wa ishu hiyo na kujua mbivu na mbichi.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa mkali huyo wa sinema za Kibongo, hata mashosti zake hawajui kinachoendelea zaidi ya kuulizana wao kwa wao kuhusu nini kinaendelea huku kukiwa na hisia kuwa huenda wawili hao wamefunga ndoa ya siri

HAJAFUNGA NDOA LAKINI…
Wema alisema si kweli kwamba amefunga ndoa ya siri ila Diamond alimvisha pete hiyo kama urembo akijua kabisa kwamba yeye ni wife material (anafaa kuwa mke).
“Sijafunga ndoa jamani. Hii pete alininunulia baby wangu Nasibu (Diamond) wakati tukiwa South Africa (Afrika Kusini).

WEMA AIONA PETE, YAMVUTIA
“Alininunulia na kunivisha tulipokwenda kwenye Tuzo za MTV Africa (MAMA). Nakumbuka tuliingia kwenye duka moja nikaiona hii pete ikanivutia sana, nikamwambia Nasibu ndipo akaninunulia na kunivisha palepale.

“Cha kushangaza ni kwamba imewatatiza wengi na kuhisi ndoa tayari.
“Hii pete ndogo niliinunua mwenyewe  hapahapa Bongo na kuivaa kama urembo tu, hakuna tofauti na hilo kuhusiana na hizi pete nilizovaa kidole husika,” alisema Wema ambaye kidoleni kwake kunaonekana pete mbili, kubwa na ndogo.

WEMA NI WIFE MATERIAL?
Alipoulizwa kwa nini Diamond aliamua kumvisha pete hiyo kabla ya ndoa, Wema alifunguka: “(kicheko) hilo sina uhakika nalo but amegundua mimi ni wife material hataki kunipoteza. Kanipa heshima anayostahili kupewa mwanamke...”

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Halo,wife material,Wema taratibuuuuu unasababisha asthma irudi kwa penny,hiyo movie aiishi Tu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wife material NO NDOA halooooooooo ndoto za asubuhi

      Delete
  2. Bila kumtaja peny maisha yenu haya songi, yuko busy na kazi kasha na ukumbuke hakuiomba hiyo pumu kuwa nayo hsta wewe unaweza kuwa nao, Wema bado hujatulia utavaaje pete ya ndoa kabla ya ndoa!tulia bibi ndoa inapangwa na mungu kana ipo ipo tu haina kulazimisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Et wife material kwakwakwaaaaaa mtizame aunt Ezekiel petezake zilivyo nzuri sishoga ako mwambie akuchagulie tutolee Pete za sonara wa magomeni hapa.msalimie dada ako mama mkomavu.

      Delete
  3. Wema yani wewe Ni zaidi ya mburura! Uoni aibu! Kwa nini ujui kuchanganua mambo? Domo awezi kabisa kuthubutu kukuoa wewe! Domo anawanyonya bure ili watoto waje nyonye mitindi!

    ReplyDelete
  4. Domo bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea Kuoa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndege wafananao huruka pamoja,daimond sharobaro na Wema sharobaro.sema watu roho zinawauma kwakuwa. Dai sasa Hivi Ana Hela ,kila sharobaro apindui kwa Domo ,duuu lakini Wema na dai wametoka mbaliiii duuu.

      Delete
  5. Duh kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  6. Hakuna lolote wazushi tu hao mastori ya kila siku hayo wacheni kutuboa kuma nyie!

    ReplyDelete
  7. Hivi wadau hiyo nyumba ndo ile wema alodai kanunua m400! Mbona kama mmmh?? Au keshahamia kwa babe? Kwani Ata martin alivyoibadilisha aikuwa hivyo??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiyo Nyumba ni kama Danguro

      Delete
  8. nawe mvishe like husband material fu ngoma droo km noma na iwe noma wote mdanganyane

    ReplyDelete
  9. Hiyo nyumba ya Wema aliyosema ameninua m400 Clement alimtimua

    ReplyDelete
  10. mmh kweli ayo jaman

    ReplyDelete
  11. Hivi we Wema kukaa kwenye mahekalu Kama Kim kadashian ndo waona raha?uwezo huna unajishaua,msonyo.

    ReplyDelete
  12. wewe wema hauoni haya Kila kukicha magazetini, unazani ndio sifa, tumekuchoka bwana wacha kutafuta umaarufu kwa Story zako za kijinga magazetini, jiheshimu umri wako

    ReplyDelete
  13. wema msenge xana, kuma lake, na wew domo, find mke mwaya, huyo hawez 2lia, hata akiwa ananyonyesha atakuwa front page udaku, mxuuuuuuu, fuck u al.

    ReplyDelete
  14. Love mama!dai ata akioa mke mwingine hato Acha kuchepuka kwa Wema hawa watu they have something in common.tuwaache.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I LOVE YOUR COMMENT. NICE............

      Delete
  15. Eeeeheee mbona aibu kumbe ile nyumba alikuwa amepangishiwa! Mungu wangu wema ndo nimemjua Leo, nilikuwa namsifu kwa kununua hile nyumba. Wema kweli wewe Ni mbwitwite.

    ReplyDelete
  16. Wema mbona hiyo miaka haisogei? Mara 26 now Ni 25 utajineba

    ReplyDelete
  17. Anakua kwa kurudi nyuma baada ya miaka mitano wataandika ana miaka 20 chezea udaku wewe?! Heheiyyya!

    ReplyDelete
  18. mwacheni na maisha yake pimbi nyie...mlitaka mvishwe nyie?...mnamchukia bila sababu matako yenu..wema mama tukomeshe vilaza tulizoea kuvishwa pete za vikapu ndo maana joto hasira

    ReplyDelete
  19. Ni mzee wema, apishe njia watoto tupite, nilianza kuckia Kuna Malaya duniani anaitwa wema nikiwa tumboni cjazaliwa, mpaka Leo yy anajiita mtoto! Nahic wema Ata akizaa mtoto wake atakuwa na umri mkubwa kuliko mama yake. Lakini sura yake inajieleza.

    ReplyDelete
  20. uyu dada kwa mujibu wake alivyosema kazaliwa 88 angetakiwa awe age27 kwa sas duu eti 25 now majanga

    ReplyDelete
  21. hana lolote wakudeka

    ReplyDelete
  22. Mmmh nyie kuma muachen wema. C maisha take wivu tu kuma zenu love we a.....

    ReplyDelete
  23. Naona kweli Wema sasahivi umekua mkubwa, hâta yale mavazi ya kunichora umechoma moto, sisi tunawatakia kila laheri vidudu mtu visiingie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad