Wakati sheria ikizidi kuwatia hatiani wale nguli wa kulawiti watoto, staa wa bongo movie, Jackline Wolper amesema kuwa hata kwa upande wake huwa anasikitishwa na vitendo hivyo kwani kufanya hivyo ni kuwatia doa katika maisha yao……
Staa huyo alisema kuwa kitendo cha kulawiti mtoto ni cha kinyama na kwamba haoni sababu ya kucheka na watuhumiwa bali wanatakiwa kufikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake…
“Kuna watoto wanalawitiwa na kubakwa huko vijijini na hata hapa mjini, lakini unakuta wazazi wanazungumza nyumbani na kuyamaliza bila kujua yule mtoto ameathirika kiasi gani, inauma sana, ni lazima wafikishwe mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake”,alisema Wolper
sema wolper waambie mama wanaudhi sana tena wanawake ndo wanaongoza kusema yazungumzwe nyumbani. wananikera basi tu.
ReplyDeleteKuna tofauti gani na mbasha kabaka na jamii yote ime muona flora ndio mkosaji angemalizia kesi nyumbani, jamii ibadilike mnalew wabakaji mnatesa watoto ki saikolojia.
ReplyDeleteUmeongea point
ReplyDeleteNi kweli kabisa watoto wengi wa kiume wanalawiwa uku uswahilini lakini utasikia mzazi tumeshazungumza na mkosaji yameisha kwa kupewa rushwa ndogo sana sawa umezungumza yameisha kakuonga rushwa kaa ukijua mwanao nae ataendelea kutumiwa na kuja kuwa kubwa la mashoga mbeleni ushoga hautaisha ndio kwanza unazidi kwa matukio kama hayo
ReplyDelete