Baada ya Alikiba kuunfollow watu aliokuwa akiwafollow kwenye akaunti yake ya Instagram ameeleza sababu za kufanya hivyo.
Kupitia mtandao huo, Alikiba ameandika:
Thank you for taking time to jot down your opinion . It would be good if you understood my point of view as well . The social platform that keeps me in touch with my fellow artists , fans and others across the world is twitter. Instagram is limited to pictures… hence more of a preference then an interaction platform . On twitter, I will continue to interact with my fellow artists and celebrities , entertainment and political shareholders , my dear fans and all others See you on twitter and thanks again for taking the time to share your opinion . Much appreciated
Haya ni baadhi ya maoni ya watu wanaomfollow.
Haulefadhili
Inakuwaje hakuna mtu unaye mfollow bro!! Ti me it doesn’t make sense and this means hakuna mtu yyte unaye mpenda au kumkubali or wat?? Wewe kwangu ni kama brother ila kwa hili la (( 0 follow)) silielewi.
Williamkiteleki
Even mi nimekua sana disapointed coz dunia now days imehamia kwenye social netwrk bro kiba..so kwa star kama wewe ukitaka ku coup na mastaa wenzako na hata watu mbalimbali na kujifunza mengine kutoka kwako lazma uwe nao karibu kwenye mitandao ya kijamii(follow them) coz dunian huwezi jua kila kitu kuna vingne lazma utajua kupitia wengne.. dats how life is.. so it will be gud sana kama ukizingatia hili kaka.. unaweza ukaona ni kitu kidgo bt am sure utajifunza vingi kupitia hilo bro
imebaki kujinyoga tu ally k ina maana akuna ata unaye mkubali na.mim mwenye nime Unfollow kwa kweli maana conagi hata uacho post
ReplyDeletesomething wrong in your mind.
Deleteakajiue huyo mshamba hana mana anajishangaa ambavyoo diamond anakuballika anaina bora akajinyongee hahaha
ReplyDeletehahaha,na bado huo ni mwanzo tu mwisho wa siku atajinyonga kabisa..
ReplyDeleteacha ushamba.
DeleteVEE sio ushamba,ndio ukweli huo,imebaki ajinyonge tu,kaanza kuwa dissapoint! akaze buty tu mziki umebadilika now....
Deleteeeeh imekuwa insh now why unafanya haya mambo wakt mashabiki wako tunakukubali
ReplyDeleteamepanic
ReplyDeletekweli jamaa umepaniki achana na ayo mambo utakufa bure na kinyogo chako
ReplyDeleteAma kweli game mgumu sasa kuwamua kuaunfollow mashabaiki wako ndio kusema unajiona superstar au angalia ww kijana ata mastaa wakubwa wanafollow wengine sembuse ww kibwengo chukua time zako km umevurugwa na gama kaa pembeni wapeshi wenzio......MSHAMBA MKUBWA
ReplyDeleteHahahaaaaa....!!!!! Panic at work....
ReplyDeletemdau hapo 5:16 PM yani umenichekesha mpaka nimelezwa eti ajitia superstat wakati usuperster wake mwisho airpot Acha ushamba ally k
ReplyDeleteAsipanic mchezo na Mambo ya Mdogo Mdogo na Bum Bum yamempagawisha.....wala badoooo....
ReplyDeleteNyie mliocomment ndio mmepanic.....kiba kafanya alichoamua yeye nyinyi mnabaki na mijineno yenu ya wivu tuu na mipumbu yenu yakiwa yamening'inea... nani kati yenu anaweza kufikia Kiba..nendeni zenu mkafilwe na uyo mdogo mdogo maana mikundu yenu inawawasha
ReplyDeletekweli wew mdau 2:28 AM ivi uyu ally k anajitia yey akubali wezio mbon mchizi anamiliki tuzo mbili tu afu anajitia anajua sana au hiyo sauti ndo inampaka kiburi afu mchizi anavyo jiweka kama.vijana wa mazese.ban
ReplyDelete