Ali Kiba Atoa ya Moyoni 'Lulu Michael Anafaa Kuwa Mke'

Stori: Erick Evarist na Sifael Paul
HII ni exclusive! Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anafaa kuwa mke (wife material) huku akiweka wazi sifa kibao alizonazo, Wikienda liko bize kukujuza.

Kiba ambaye hivi karibuni ameibua mijadala mingi katika mitandao ya kijamii, usafiri wa umma na kwenye baa juu ya ujio wake mpya akisemekana kurudia kiti chake ambacho alikikalia Mbongo Fleva, Abdul Nasibu ‘Diamond’ kwa muda, mwaka 2010 aliwahi kuripotiwa katika magazeti pendwa kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Lulu ambaye wakati huo alikuwa na umri chini ya miaka 18!

LULU ANAFAA KUWA MKE
Akizungumza mbele ya kinasa sauti cha Globa TV Online, Bamaga-Mwenge jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Kiba ambaye anatarajia kuangusha shoo ya kihistoria Agosti 8, mwaka huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, alisema Lulu anafaa kuwa mke kwa vile ni mchapakazi sifa ambayo mke mwema anapaswa kuwa nayo.

AMMWAGIA SIFA
Kiba alisema Lulu anajua kuhangaika, anajua kupambana kusaka pato lake kihalali kupitia mauzo ya sinema zake anazozizalisha kitu ambacho kinawashinda mabinti wengi na kuangukia katika biashara ya kuuza miili (ukahaba).

Licha ya kummwagia sifa hizo, kipindi hicho alichokuwa akitajwa kuwa naye, Lulu alikuwa na matukio ambayo hayakuwa na maadili lakini Kiba hayo hakuyatilia maanani. 
Mwandishi: Unafikiri Lulu ni ‘wife material’ (mke mwema) ambaye unaweza kumweka ndani akalea watoto na kuijenga familia bora?

Kiba: Yeah! Anafaa kuwa mke, ni binti anayejituma, mchapakazi, mtafutaji. Kwangu mimi mtu wa namna hiyo ndiyo anafaa kuwa mke.
Mwandishi: So, unataka kutuambia kwamba unaweza kumuoa?
Kiba: Sijasema hivyo mimi, nimesema anafaa kuwa mke.

ACHOMOA KUBANWA KISHERIA
Licha ya kuchomoa ishu hiyo ya uhusiano, mapaparazi wetu walimbana zaidi staa huyo afafanue kwa nini alitajwa yeye na si msanii mwingine huku ikidaiwa kuwa, Lulu hakuwa ametimiza miaka 18 hivyo kubanwa kisheria (ya watoto na kujamiiana).
“Sijatembea naye ndiyo maana unaona hata sheria haijanihukumu, endapo ningekuwa nimetembea naye, basi sheria ingeweza kunitia hatiani na ningefungwa jela,” alifafanua Kiba.

AWASHANGAA WANAOMSHANGAA 
Kiba aliongeza kuwa, anashangaa sana kuona watu wanamsema vibaya yeye kupendwa na Lulu.
“Lulu ni msanii mwenzangu, anapenda kazi zangu na mimi napenda za kwake. Ni rafiki wa kawaida, hakuna kitu kingine cha ziada. Nawashangaa wanaozusha ya kuzusha, hivi kwani kuna tatizo Lulu akinipenda? Sidhani kama ni kosa, ana haki ya kunipenda kutokana na muziki wangu.

“Unajua muziki mzuri huwa unapenya automatically, huwezi kuzuia hisia za muziki, mtu unaweza ukawa humpendi msanii f’lani lakini ukapenda muziki wake, unajikuta tu unampenda, unaanza kuimba nyimbo zake,” alisema Kiba.

KUMBUKUMBU MBICHI
Juzikati wakati Kiba anatambulisha nyimbo zake mbili kwa mpigo (Mwana na Kimasomaso), Lulu, kupitia mtandao wa Instagram alitupia maneno ya kummwagia sifa staa huyo, liliibuka kundi ambalo linatajwa kuwa ni wafuasi wa mwigizaji Wema Sepetu ‘Team Wema’ na kuanza kumshambulia kwa maneno machafu.

KIBA AFUNGUKA
Akizungumzia ishu hiyo, Kiba alisema waliofanya hivyo hawakumtendea haki Lulu kwani ana haki ya kueleza hisia zake pale anapoguswa na muziki mzuri.
“Hawajatenda haki kwa sababu Lulu ni binadamu kama walivyo wengine, ana haki ya kupenda kitu kizuri,” alisema Kiba.

KUHUSU KIFO CHA KANUMBA
Kiba akizungumzia juu ya kuhusishwa na kifo cha aliyekuwa nyota wa sinema Bongo, marehemu Steven Kanumba ambapo alidaiwa kunaswa kwa meseji za mapenzi alizozituma kwa Lulu ndiyo zilizosababisha mtifuano ambao ulisababisha kifo cha Kanumba, alikana madai hayo.

“Si kweli, sikuwa nimewasiliana na Lulu siku hiyo kabla ya tukio. Nakumbuka nilikuwa safarini, baada ya tukio nilimpigia Lulu kutaka kujua ukweli wa taarifa za kifo kwa sababu marehemu alikuwa mtu wangu  wa karibu kama alivyo Lulu,” alisema Kiba.

AMGUSIA WOLPER
Kwenye mahojiano hayo, mkali huyo alizungumzia ishu ya mwigizaji, Jacqueline Wolper kukiri kwamba Kiba ndiye mwanaume aliyemtoa usichana wake kwenye simulizi iliyochapishwa katika Gazeti la Championi hivi karibuni.

“Mh! Aliwahi kukiri? Daah! Sijui bwana… Wolper ni mtu wangu wa karibu kama alivyo Lulu,” alisema kwa mkato Kiba.Juzi, Lulu alitafutwa na mapaparazi wetu ili  azungumzie ukaribu wake na Kiba, lakini simu yake muda mwingi iliita bila kupokelewa (tunaamini atasoma hapa, tunaendelea kumtafuta ili afunguke).

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Subiri kuarisha na homa za Mara kwa Mara .Ali kiba pimbi kweli wanaume wenzie wanamghalimikia lulu wewe sasa Hivi ndo unajidai kumsifiasifia,ulishatembea nae kibali kataa,na siku kanumba anaanguka,gari ya kwanza kuipanda lulu usiku ule Ni yako,kubali kataa,Acha kudanganya sisi watu Wa karibu Na lulu atudanganyiki,sheria ikuchukulie hatua gani?Mbona kanumba (r.I.p) alikuwa Ana mahusiano na lulu akiwa bs miaka 15 sheria aikuchukua mkondo wake?Acha hadithi za uongo fala wewe.Kingine unapoteza muda unategemea utamfikia diamond sahau kwasasa,maybe after 5 years,

    ReplyDelete
  2. Lulu Ana shine,Ana gari,amepangishiwa nyumba nzima na fanicha,Acha mazagazaga mengine yooote Ni Gharama za Mr Lukaza,Leo unajitia ohooo lulu nyokonyoko lulu vyokovyoko,ndo maana wanaume wengiiii waimbaji mnafilwa na Chief K.Ali kiba toa huruma kwa lulu sio maneno matupuuuu,nyoooooo

    ReplyDelete
  3. Error,Ali kiba toa HUDUMA na sio huruma,marekebisho ya hiyo msg hapo juu

    ReplyDelete
  4. ALI KIBA TAKATAKA NAE ANAONGEA NINI SASA HUYO LULU NAE KAONA MWANAMKE MTOTO KATIWA TOKA ANA UMRI WA 9YRS...NA BADO AMESHAFILWA SANA AU MNATAKA KUFA WENGI HAYA KAZ KWENU

    ReplyDelete
  5. unawaza kumfikia diamond labda kaloge kabisa hivi hivi sahau yan alipoikia ww hata ukibinuka kucha hakuna kituu wala hujiwez huna mashabi km diamond na bado hujakubarika dunian mana mwenzako sasa anapiga mziki wa dunia nzima nan atakujua weweee poolee wewe nenda bills tuu kahangaike na kina lulu

    ReplyDelete
  6. Kabisa kaangaike na kina lulu bilicanas,kuwa star Wa kueleweka Kama diamond Wa sepetunga sahau Ali Kiba utapiteza muda,Hela na wakati.

    ReplyDelete
  7. Mambo engine msiwe mnampamba mtu kwa ujinga shoo za nje anazopiga domo, Nazi Ni shoo za maana zile, watu anaowaburudisha uwa wachafuu wamechokaa wamevaa vibayaa, wachache. Nahic uwa Ni kwenye madanguro ya ngozi nyeuc.

    ReplyDelete
  8. Ali kiba 4 reallllllllll big up bro, lov you mingi mingi!we ni handsome

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwi Kwi Kwi handsome bila mavumba mfukoni,bora nispewe Huo u handsome

      Delete
  9. Ni mziki gani daimond anaoimba wa dunia?acheni kupamba ujinga huyo daimond skendo ndio zinambeba kiukweli ila wapo wasanii wengi sn wanaimba vizuri kuliko yeye hawana skendo ndio maana hawasikiki

    ReplyDelete
  10. alikiba ana uzuri gani kakondeana utafikir anakula ganja kila kukicha afya mbovu hata vyakula vyake vya magegeni huko sinza vichochoron na kwenye vigrocerly hana mpya hawez kukaa meza moja na diamond kamwe..anagalia hata anavyoishi diamond kwake ..kiba kimavu hana mpayaa

    ReplyDelete
  11. wewe unaesema anabebwa na skendo na wewe fanya skendo uone kama unabebeka au kiba afanye skendo aone kama atabebeka yn anaanza kujiweka kwa lulu muuza kuma mpaka aonekane na aandikwe kwenye magazeti nyoo kuma kweli kiba..

    ReplyDelete
  12. kwanza kuma mamaaaezaoo wote wanaosema diamond anafanya shoo nyingi nje kuliko ally k. hawajuw kwamb mpaka sasaiv domo hajafikia show alizofanya nje ya nchi. domo msenge 2 kwanza msanii wa kawaida2. acheni usenge

    ReplyDelete
  13. Unafirwa wote unaosema ally hana jipya! kuma mamaezenu nyie kweli hamjuw ki2. show alizofanya alli k nje ya nchi mpaka leo domo hajazifikia. ali kafanya show nyingi sana. halafu acheni ushamba hapa hakuna anaechukia domo kufanikiwa. kwanza ni heshima kimuzi hapa bongo. mbona jd comando nae kachukuwa 2zo! yote hyo heshima. mm namsifu sana ally kb hajafulia anaish maish madhur2 mana wengne alioanza nao game wamechoka hata kwa kulala hawana. Halaf kama show za nje mbona ambwene hajisifii! kaitwa ikulu ya obama kwan domo hawajamuona

    ReplyDelete
  14. Unafirwa wote unaosema ally hana jipya! kuma mamaezenu nyie kweli hamjuw ki2. show alizofanya alli k nje ya nchi mpaka leo domo hajazifikia. ali kafanya show nyingi sana. halafu acheni ushamba hapa hakuna anaechukia domo kufanikiwa. kwanza ni heshima kimuzi hapa bongo. mbona jd comando nae kachukuwa 2zo! yote hyo heshima. mm namsifu sana ally kb hajafulia anaish maish madhur2 mana wengne alioanza nao game wamechoka hata kwa kulala hawana. Halaf kama show za nje mbona ambwene hajisifii! kaitwa ikulu ya obama kwan domo hawajamuona

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad