Angalia Picha za Samaki Mtu Aliyekutwa Pembeni ya Bahari..Nilikuwa Siamini Kama kuna Viumbe Hawa


Habari zilizotufikia, Samaki Mtu ama Nguva ni Samaki adimu kabisa duniani kumtia machoni ameonekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko BENIN, Ujerumani. Kama ulidhani ni hadithi za kuhadithiwa tu ujue hivi vitu vipo na vinaishi!!

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eeeiiiissshh....acheni kutudanganya,eti benini,ujerumani!!!!!!!!!hakuna benin germany

    ReplyDelete
  2. wanatuona sisi midoli kutudanganya kila cku,

    ReplyDelete
  3. Labda anamaanisha BERLIN. Mi mwenyewe naishi ujerumani sijawahi sikia kuna mji wa BENIN huku Asitudanganye.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa ni kitu gani Admin anachotudanganya ni kuhusu kuwepo kwa Benin huko Ujerumani au kuonekana kwa huyo aina ya samaki huko Ujerumani???? Tunaomba jibu lako tafadhali!!

      Delete
  4. Hahahaaaaaaaaaaa benin ya ujerumani majanga siyo benin ya africa kwi kwi kwi

    ReplyDelete
  5. Acheni uongo nyinyi mnatafuta Comment tu Lol!

    ReplyDelete
  6. Inawezekana ipo Benin ya Germany !!

    ReplyDelete
  7. Labda huko jamani huyo km yale majini tunayoonaga kwenye moves

    ReplyDelete
  8. Issue hapa sio Benin. Issue ni je samaki mtu wa aina hiyo ameonekana huko Ujerumani. Wadau hapo juu ni lazima mjue ni kitu gani kinachozungumziwa na sio kuropokaropoka tu. Na wewe unayeishi huko Ujerumani sijui unaweza kutusaidia kivipi kudhibitisha au kukanusha habari hii. Vinginevyo kuishi kwako Ujerumani hakukusaidii kitu zaidi ya kukuangamiza na kubakia mburulazzz hovyooooooo

    ReplyDelete
  9. admin unatombwa kifalme msenge wewe. kuma unafikiri watu hatujasoma. samaki mtu afanani hivyo. kenge wa nchi kavu.

    ReplyDelete
  10. Mpnzi wa 9:47mp mi sikusema najua na kuishi kwangu Ujeruni siyo tiketi ya kukusaidia wewe shida yako.jibu ni kwamba hakuna mji wa benin ujeruman, Naona mapovu yanakutoka ulikimbia shule nini? au we kuishi kwako TZkumekusaidia nini kama hata jiografia auijui. ndio nyinyi mkiulizwa ziwa victoria liko nchi gani mnasema msoma.Mburulazz mwenyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hutusaidii lolote kuishi kwako ujeruman, ungemwelewa vizuri aliyeleta mada, kinachotakiwa ni kuujua ukweli kama kweli huyo samaki amepatikana huko Germany. kama unaishi ujerumani basi ni vizuri uka-dig out ukweli wa mambo sio kututangazia kuishi kwako ughaibuni na sio kutukana watu. Unaweza ukawa unaishi Germany na ukawa mburula tu hilo halina ubishi.

      Delete
  11. Mshenzi sana we ndio unaropoka ropoka utaeleweshwaje kama huyo samaki yupo ujerumani wakati we mwenyewe umeshaamini kuna mji wa benin ujerumani kamuulize baba yako kuma wewe

    ReplyDelete
  12. ss matusi ya nn? iv kuongea kistaarab hamuwez? muogopen mungu jamani.. dhambi zngne znaepukika..

    ReplyDelete
  13. Uzushi mtupu na blog zote za bongo zitakopi hii habari kesho gazeti va udaku waburuzeni

    ReplyDelete
  14. Wasenge waziwanda benin ujerumani yawap kaz usenge usenge2 na kutudanganya

    ReplyDelete
  15. UJINGA MTUPU HUU. AU MNAZANI WATANZANIA NI NAIV KIASI KWAMBA HATA HII TUAMINI SIO? HII MUIPELEKESHULE YA VIDUDU BWANA SIO KWENYE UKUMBI HUU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Benin ipo kat ya lagos na Nigeria ba kuhusu hii stori Haina ukwel wowote guys

      Delete
  16. Sidhani kama kutukana kunasaidia saaan kwenye hii globu.Kwa upande mimi nafikiri muandishi alifanya makosa kwenye keyboard akachapa benin ambayo ni nchi ya west Africa badala ya Berlin ambao ni mji wa Ujerumani.
    Lakini kama hiyo habari ya nguva (Mermaid) siyo ya kweli maana hamna chombo chochote cha habari kulichoichapisha zaidi ya hii blog ya mwenyekiti.Kwa upande wangu mimi naona ni photoshop tu.

    ReplyDelete
  17. KAMA HAO SAMAKI WAPO MBONA SIJAWAHI KUONA DUME YOTE MAJIKE? ACHENI KUBUNI VITU VYA AJABU

    ReplyDelete
  18. Mjerumani usibishane na mateja ya Tandale yote yana midomo michafu na hayapigagi mswaki! Chezeya dhiki ya Bongo weye! Kila mtu joto hasira!

    ReplyDelete
  19. Jamani hii picha ipo kwenye movie ya pirates of carribean mpya na artist alotengeneza anaitwa joel harlow nenda you tube andika joel harlow design mermaid utaiona.wacha kutuona maboya ww bwege mtozeni admin

    ReplyDelete
  20. Hii picha ya kweli asee. Berlin.ni typing error.

    ReplyDelete
  21. Haina haja ya kugombana, cha msingi ni kujua ukweli km huyo ni nguva au la. kuishi bongo au ujeruman sio kutakufanya kujua mambo bali ni katika kutafuta kwako kujua mambo. PAMOJA SANA

    ReplyDelete
  22. hahahahahah napita tu jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad