Katika wimbo huo, msichana huyo ameeleza kuwa alikuwa anamheshimu sana Beyonce na ndio sababu aliamua kutochepuka na mumewe, lakini anaona Bey amevuka msitari na ndio maana ameamua kumvaa.
Mrembo huyo anamkumbusha Beyonce kuwa mumewe anapenda sana wasichana wazuri wanamitindo kama yeye.
“You know what I was gonna respect you but since you crossed over into my lane it’s time to check you“The man? He likes model chicks. He likes all naturally flawless model chicks, like me.
You actin’ nonchalant for the audience / ‘Cause I ain’t just another shorty you put the naughty on.”
Katika interview aliyofanya muda mrefu uliopita, msichana huyo alieleza kuwa alikutana na Jay Z wakati wanafanya tangazo na ndipo alipopata mshituko na kudata kwake. Alieleza kuwa baadae Jay Z alimtuma mmoja kati ya walinzi wake na alimuomba amuandikie namba ya simu kwenye karatasi ili baadae jamaa akitulia ampigie.
Kwa lugha ya kujigamba, mrembo huyo anadai alionesha utofauti na kumkatalia kwa kuwa alimheshimu Beyonce.
jamani kama kuna mtu anaemjua vizuri E.Kiwali wa kawe naomba anipe data zake tafadhali,my friends anataka kuchepuka nae kwahiyo anataka kumfahamu kwanza asije ingia kichw kichwa
ReplyDeletehahahaaa wadau mnanifuraisha sana...u made my nanenane day
ReplyDeletekweli huyo dada hamzidi Beyonce kwa chochote sema wanaume bwana hawaridhiki duuuh.I'm sorry mrs Jay Z
ReplyDeleteYaani kakomaa mbaya maskini wee,bay atabaki kua yy tuu,Kumbe ndo maana jay z alipigwa na shemeji yake Kumbe mshenzi
ReplyDeleteloooo! mbona kakomaa.
ReplyDeleteBongo wangesema oooh hujui mapenzi hujui kukatika mmbaya wanaume hawa niwahivyohivyo hawariziki tamaa zimewajaa duniani kote nyie viumbe ni shidaa hata mpewe nini bado mtaendelea kutamani tabia yenu kuonja onja bella anawaita wasaliti..
ReplyDelete