Stori: Musa Mateja
Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema hakuna ukweli wowote zaidi ya kutaka kuchafuliwa.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Aunt ambaye gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko liliripoti tukio la kutaka kufanyiziwa na mke wa dansa huyo aitwaye Mwengi Ally, alisema anamshangaa mwanamke huyo lakini ili kumkomoa atahakikisha anafanya kweli ili kama ni kunuka, kinuke kihalali.
Alisema kwamba yeye ni mke wa mtu asiyeweza kujirahisi kwa kutembea na kijana huyo na kwamba kama ni kujuana ni kwa sababu ya Diamond ambaye ni shemeji yake kwa Wema.
“Amenichafulia sana, siwezi kutembea na Moze, najiheshimu. Lakini kwa kuwa ameamua kunipakazia, nitahakikisha namtega mumewe na nikimnasa nampa penzi ili kama ni hizo vurugu azifanye kihalali,” alisema Aunt na kusisitiza:
“Siwezi kuwa na uhusiano na Moze, yule mwanamke alikuwa na nia ya kuifanya jamii inifikirie vibaya lakini amenoa.” Hivi karibuni kundi la watu likiongozwa na Mwengi lilifika nyumbani kwa Wema Sepetu likimsaka Aunt ili kumshikisha adabu kutokana na madai ya kutoka na mume wa mtu huyo.
GPL
Asante anti yake wema!
ReplyDeleteeee mpe kidude hicho akugonge sawasawa, natamani ningekuwa mimi!!!
ReplyDeleteTena hata condom asitumie.
Deleteunatamani kumgonga ili uwe maarufu au upewe magonjwa?
DeleteHahahahaha Mhh Dunia ina sarakasi hii...sasa ndo unamkomoa nani km sio kikuma chako icho...lol
ReplyDeletemsimpakzie bwana aubty hana maradhi, aunty katukia huyu!!! cyo kama shoga yake!!!
ReplyDeleteshoga ake nae wewe kuma unamwongelea nani????????????????????angalia usije ropoka wewe kuma
ReplyDeleteMijitu Ina wivuuuuuuu,wawazi wazi.Embu wawawacheeee fanyeni yenu,Aunty na Wema,wana wivu kisa diamond .
ReplyDeletenakuongelea wewe shoga yake!! kwani ujijui?
ReplyDeleteHuyo dansa wa daimondi akutombe mala ngapi wakati alishakutomba mala kibao
ReplyDeleteUlikuwepo chumbani wakati waki naniliu...? au wewe ndio ulikuwa muhudumu wa hiyo gesti hausi walio'nanihii? Wacha uzushi........hovyooooo!!!!
DeleteAunt na me mke wangu kila siku ananiletea fujo anasema eti natembea na wewe... njoo tumkomoe!!!!
ReplyDeleteHahahahahaha ww umetisha
ReplyDelete