Aunt Ezekiel: Sidhani Kama Wema Sepetu ni Mtu wa Kufundishwa...Ana Maisha Yake

Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao.

Akiongea na Bongo5, Aunt Ezekiele ameeleza kuwa anachofahamu Diamond aliongea kwa niaba ya watu walio karibu nae na hakumtaja yeye kwa jina. Lakini hata kama angemtaja yeye hadhani kama Wema ni mtu wa kufundishwa.

 “Wema ni mtu mzima anaishi mwenyewe na ana maisha yake sidhani kama ni mtu wa kufundishwa. Wema ni mtu ambaye ana maamuzi yake, watu hawajui kuna wakati wa kazi na kuna wakati wa kuspend maisha. Kwahiyo mimi na muda wangu wa kazi na nina muda wangu wakuspend.” Amesema.

Aunt Ezekiel hajali kinachosemwa na watu kuhusu ukaribu wake na Wema na kinachoendelea katika kazi zake.

“Sihitaji kuangalia kuna mtu anafuatilia maisha yangu kwamba eti nakuwaga na Wema. Hawanisaidii chochote. Nachotakiwa kuangalia nafanya kazi zangu na maisha yangu yanaenda mbele na sitaangalia watu wanasema nini. Mimi nina kazi zangu. Sijui kama Wema kama anahitajika kubadilika kwa sababu Diamond ndiyo anajua mapungufu ya Wema na Wema anajua ya Diamond.”

Chanzo: Bongo5

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukiona dalili hizi nenda Kamuone Daktari haraka.
    1.kukauka mate.
    2.kutokwa jasho sana hasa wakati wa usiku.
    3.kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa au kutotataka kabisa tendo la ndoa.
    4.Kupoteza hamu ya kula.
    5.kuvimba magoti.
    6.kunyonyoka nywele.
    4.

    ReplyDelete
  2. Unafanya kazi zako saangapi wakati kutwa uko na madam inaelekea hata nyumbani kwako hulali saazote kwa maadam. Jaribu kubadilika uone kama watu watakusema maana lisemwalo lipo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE MSENGE YUPO KUTWA KWA MADAM SASA WAKATI HUO WEWE UKO WAPI ?ACHA MAJUNGU.

      Delete
  3. Hee,dalili tano kati ya hizo ninazo,
    mpaka naogopa sijui ni ugonjwa gani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio maana umeambiwa ukamuone Daktari.

      Delete
  4. eti nina kazi....umalaya ndio kazi?badilikeni tumechoka na story zenu chafu chafu.kwanini hamjifunzi kwa wasanii wa nchi zingine?ghana na Nigeria ni mfano tosha.kukicha mnawaza pombe na mihogo ya waume za watu..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ujinga mdau hapo juu,kuma si za kwao wewe unaathirika nini? pia unaonyesha ulivyo fala wala hufuatilii habari,kwa taarifa yako hata nchi ulizozitaja celebrity wao wanaandikwa zaidi ya hawa.

      Delete
  5. yani ningekuwa mimi ni domo, wewe aunty lazima ningekugonga kisirisiri maanake unaonekana mtamu sana wewe!

    ReplyDelete
    Replies
    1. keshagongwa,ni kisirisiri baadae ndo tutasia.
      Domo atasema tu akishaachana na madame.

      Delete
  6. BREAKING NEWS,nauliza madam na domo wako bado wote au wameachana ?walio karibu na hawa watu mtutonye tuanze kulia au kucheka.

    ReplyDelete
  7. he maadam keshamkimbia wakati tunaambiwa ana make show za dolari alfu 15? vp tena zimekwisha?

    ReplyDelete
  8. Ulie nini mnafiki mkubwa wewe ungeanza kucheka.ndio wameachana.

    ReplyDelete
  9. Lakini kiukweli aunty anafanya kazi gani?? i think she is too old to be following wema kila sehemu. hebu ajipange she is a married woman!

    ReplyDelete
  10. aunt we ni mchafu unatiwa hadi vyooni!!!

    ReplyDelete
  11. makuma ninyi mnaoulizia habar za wema na diamond unauliza kama wameachana ili akakutombe wewe au akakufile kuma la mamaa ako kubwa kama kisima.weweeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad