Staa wa kike wa filamu bongo, Aunt ezekiel, ambaye ni shoga mkubwa wa miss tanzania 2006 wema sepetu ameibuka na kutamka bayana yeye si mpambe wa mrembo huyo, wala sio mbeba mikoba wake na wala haishi kwa kusubiri pesa zake anazohongwa na Diamond.
Staa huyo alifunguka kuwa yeye hausiki na kumpeleka mwenzake kwenye starehe kwani wote huenda kwa matamanio yao binafsi, Aunt aliwaponda wote waliokuwa wakimuhusisha na kauli ambayo ilitolewa na Diamond kwamba wema anapotezwa na mashoga zake wapenda starehe.
" wajinga wakubwa, watu wananihusisha mimi na masuala ya wema na Diamond. Mimi ni staa mkubwa na wema ni staa , nimeanza kuhangaika na maisha mda mrefu sio mpambe wa wema , kwanza ana nini cha ziada cha kunipa hadi niwe mpambe wake?
Nina maisha yangu na miradi yangu toka kitambo, kama kwenda kwenye starehe wema anaenda kwa matamanio yake na mimi na matamanio yangu, siishi kwa sababu ya pesa za diamond wala wema, masuala yao ya mapenzi hayanihusu kabisa, wayaongee wayamalize kama kuchukua hatua wachukue sio kuongelea pembeni, mimi sibembelezi urafiki kwa sababu ninayamudu maisha na ni STAA.
Tena ole wao wanaonijua aunt na mihangaiko yangu siwezi kufikiria ujinga huo, sitegemei hela ya wema wala diamond wake, wakome kabisa tena wanikome na iwe mwisho" Alisema staa huyo aliyefanya vizuri kwenye movie ya Young billionaire.
wema sawa gari la bia lililopata ajali katika kijiji na watu wanajisevia tu
ReplyDeleteAunt huna lolote wewe unasubiria chochote kitu toka,kwa Wema, yna mini wewe mwenyewe Una gundu la kweli ndio maana huwa unadanganya umeolewa nani aoe kicheche wewe, uko km tango huna mbele WA nyuma! Shut up ur big mouth! Huna lolote, huna tofaiti na mbwa koko hapo Tandale kwa Tumbo
ReplyDeleteMmh mdau umeua
DeleteMuacheni aunt kasema yake.we endelea kupambania maishayako aunt umetoka mbali nabado hujafika safari yako.uzuri umepinda namaisha unaburuzananayo endelea kukomaa na maisha kusemwa kupo tu.mradi hujapinduka toka waanze kukusema.
ReplyDeleteAnti ni mnafiki tena mkubwa wew cndo ulikuwa unasema unakesha kuombea ndoa ya wema na diamond leo hii unasema ayakuhusu wew ni shonga mnafiki kicheche uenda hata ukawa unamuinda diamondi ili utembee nae.hiyo miradi unayosema ikowapi kigrosali chako umekifunga kwa sababu ushafululia labda kama sas umewekeza kwenye miradi ya kuongwa na kujiuza wew una lolote tena katika mashoga wanafiki kwa wema wew ndo number moja boya wew
ReplyDeleteAnti ni mnafiki tena mkubwa wew cndo ulikuwa unasema unakesha kuombea ndoa ya wema na diamond leo hii unasema ayakuhusu wew ni shonga mnafiki kicheche uenda hata ukawa unamuinda diamondi ili utembee nae.hiyo miradi unayosema ikowapi kigrosali chako umekifunga kwa sababu ushafululia labda kama sas umewekeza kwenye miradi ya kuongwa na kujiuza wew una lolote tena katika mashoga wanafiki kwa wema wew ndo number moja boya wew
ReplyDeleteJamani wema ni mtu mzima anajua baya na zuri , kama ant ni mbaya kwake atajua na atamuacha hamna binadam mwenye akili timam abaechaguliwa rafiki , ant achana nao
ReplyDeleteJamani wema ni mtu mzima anajua baya na zuri , kama ant ni mbaya kwake atajua na atamuacha hamna binadam mwenye akili timam abaechaguliwa rafiki , ant achana nao
ReplyDeleteAunt kauli zako sio na tata vile vile
ReplyDeleteWanasagana hao,. Domo achana na msagaji atakuja kumsaga Ata mtoto wwenu WA kumzaa. Wema Ni mjinga msilaumu watu na kusagana alifundishwa na marafiki??
ReplyDeleteanti hukupaswa kujibu hivyo kama Wema ni rafiki yako....hufai kuwa rafiki wa mtu....badala ya kumsimamia..ndo umekuwa wa kuharibu.....eti wema ana nn cha kunipa.....ni dharau...
ReplyDeletekajala ndo alimwanzishia mtindo huo wa kusagana na ndo mana dai akampiga stop kajala kua na mke wake..na akaachana na mambo hayo wala aunt hajamsaga maneno yanu tuu aunt sio msagaj aisee mwachen yy na wema ni marafiki tuu.na wema alikataa tena kusagwa mana kajala alimuletea usenge na mme wake hataki
ReplyDeleteanti wala wasikuumize kichwa, wewe huwajui wabongo, hata kama unakula pesa zake we kula tu, nyie siwashikaji na wema anapenda kampani yako vilevile, labda wewe ndiyo unamsaidia kuondoa stress zake, wabongo ni kuongea tu ndiyo wanalolijua, pumbaf
ReplyDeletesasa ant,kama ni kweli umejibu hivyo umekosea,kwa jinsi ulivyojibu umejibu kama vile wema ndio anakulaumu wewe,umesahau mashabiki ndio wanasema,na siyo wema,lkn majibu yako,umepanic sana ni kama unamwambia wema direct,sasa kwa majibu hayo unadhani huyo shost wako,akisoma ulichoongea,atajisikiaje,yaani nyinyi bongo muvi wkt mwingine uwa mnagombana kwa mambo madogo tu,yaani mnashindwa kuchuja mambo
ReplyDelete