Baada ya hivi karibuni mwanamitindo Jokate Mwegelo kutangaza kutafuta mchumba, idadi kubwa ya wanaume wamekuwa wakihaha kusaka mawasiliano naye huku kila mmoja akijinadi kivyake.
Mara baada ya habari ya Jokate ya kutafuta mchumba kutoka kwenye gazeti hili wiki iliyopita, namba ya simu ya chumba chetu cha habari imekuwa bize kupokea simu za wanaume mbalimbali wakiomba kuunganishwa na mrembo huyo.
Hata hivyo, jitihada za kumuunganisha mmoja mmoja kwa mrembo huyo hazikufanyika ila kwa yoyote anayehisi ana vigezo na ana nia ya dhati ya kumuoa na si kumchezea afike katika ofisi zetu nasi tutamuelekeza njia sahihi ya kumpata.
Ni mdada mzuri lakini kwanini ajitangaze, hajiamini, au mwanamke anayejiamini hajitangazi kizuri chajitangaza chenyewe
ReplyDeletemimi jokate nampenda sana aje kwangu nitamuoa mke wa tatu
ReplyDeleteVipi kuhusiana na sifa zake yeye???? Atuwekeee wazi. Je ni mpishi mzuri? Je ni mwanamke ambaye ni msafi? Ninaposema usafi ni kuanzia wa mwili wake mpaka usafi wa Nyumba mpaka na vitu vingine. Huwa anaoga mara ngapi kwa siku? Je huwa anabadilisha nguo yake ya ndani/chupi mara ngapi kwa siku? Kuna habari ya kuwa ni msomi. Je ni mtu anayejua kuunganisha usomi wake vizuri katika mahusiano ya mapenzi? Au ni yule aina ya msichana atakayekuwa mjuaaajiii kwa jamaa yake. Je ni mtu anayejiheshimu kuanzia yeye mwenyewe na kuheshimu watu wengine? Kwa sababu asije likoroga mbele ya wazazi wa watu wengine. Je ni yule mwanamke mvumilivu? Je Yuko tayari kumvumilia mwanaume atakayempata kwa shida na raha pamoja na matatizo mengine? Ikitokea huyo mwanaume wake mambo yake hayajakaa vizuri kama vile labda kafukuzwa kazi ama biashara zake hazijaenda vizuri kwa wakati huo, je atakuwa tayari kumvumilia na kutoa usaidizi pale inapohitajika.........Jamani ndugu zangu. Mwanamke haishiii kwa uzuri wa sura na umbo pekee. Ni pamoja na mambo mengine. Kuweni waangalifu na hao wauza sura. Kwani sio wote ni watu wazuri na wa maana. Msije ishia kujitundika kwenye miti bure.......Ni hayo tu admini.
ReplyDeleteNyumba tunatumia madalali, hata watu? Dunia kwisah kabisa
ReplyDeleteJe ni msichana aliyekamilika katika Idara ya tendo la ndoa/mahaba? Analijua tendo la Ndoa vizuri? Je anautundu wa kulifanya lile tendo la ndoa limfikishe kileleni mwanaume wake? Isijekuwa ni aina ya wale wasichana ukiwaweka hapo ndio wanalala kama magogo na kila kukicha kusingizia uchovu wa kazi na ugonjwa. Je ni msichana yuko romantic? Au ni mbabaishaji mswazi fulani hivi. Je anajua usafi wa pale chini? Huwa ananyoa at least mara moja kila baada ya wiki mbili ili ku maintain ule usafi?? Ama ndio anaachia uwe msitu?......Huyu msichana inabidi atuwekeee sifa zake pia ili tuweze kujua pumba ni zipi na mchele ni upi.
ReplyDeleteNa kama ni kweli ni msichana anayejiamini na pia anayo hiyo total package je ni kwa nini Hashim Thabeet aliingia mitini mpaka akarudi Marekani kuzaa na Mnugu?????? Na pia mbona Domo pia aliingia mitini???? Kwa kweli maswali ni mengi kuliko majibu dah
ReplyDeleteNa actually Domo aliingia mitini akarudi kwa Wema. Kwa hiyo inawezekana kabisa Wema ana vigezo kadhaa vya kumzidi na ndio kwa maana Domo ilibidi arudishe majembe.
ReplyDeleteNa mzee Wa crdb?na mzee machache wote wamem DO jokate.
ReplyDeletemambo mawili. kwanza inawezekana hii ishu imewekwa ili kuvuta wasomi wa hii blog ama inawezekana kweli mtoto kaona bora aweke mambo hadharani. inawezekana kweli baada ya hao jamaa wote mliowataja hapo (domo/mzee wa crdb/mzee machache) wamepiga wakaacha ndio maana akaona bora ajisalimishe atafute wa kufa na kuzikana. ushauri wangu ni kwamba hata kule mbele (nchi zilizoendelea) huwa kuna hizi zinaitwa "marriage bureau" yaani maajenti wa ndoa. wamesajiliwa kabisa. wanachokifanya ni kuwaunganisha watu wawili wambao hawajuani lakini wana tabia na hobbies zinazofanana au zinazoendana. wakishaonana katika mitoko "dates" iliyopangwa na hizi bureau na wakisharidhika wao kwa wao ndipo huchukuana. wasiporidhika wanapigana chini na msako unaendelea. ni kawaida. sio kwamba huyu mtoto hajiamini kama wadau wanavyosema hapo juu. kinyume chake ni kwamba anajiamini sana ndio maana kajitangaza. anajitendea haki.
ReplyDeleteWewe anonymous 2:34 PM unachekesha. Sasa hapa marriage agent ni nani? ni UDAKU SPECIALLY au nani. Halafu unasahau hii ni Afrika babaa na sio Ulaya. By the way hata huko Nchi za Ulaya huwa hawa ma agent wanahakikisha wame wa scrutinise vya kutosha kabla hawajawaweka kwa public. Huwa wanawaangalia Credit history zao, Criminal records na Social status zao ili kuona kama at some point wamewahi kuwa abuse watoto ama watu wazima. Kimsingi wanawaangalia kama wamewahi ku exhibit any sort of anti social behaviours. Nchi za Ulaya hawakurupuki katika mambo yao na hii yote ni kuji protect dhidi ya scandals mbalimbali zinazoweza kujitokeza dhidi yao kwa ku mnadi mtu ambaye hafai mbele ya jamii. Sasa tukirudi kwa hii issue ya Jokate ni lazima tu scrutinise yeye ili tujue kama na yeye anazo sifa stahili za kuolewa kabla hajaishia kumuumiza kijana wa watu. Kwa haraka haraka ukijaribu kuzipitia hizo rumors dhidi yake ambazo by the way ameshindwa kuzikanusha mpaka saa hii kitu kinachoashiria ni tuhuma za kweli bado zinamuweka kuwa ni mtu scandalous. Kwa ndugu zangu muwe makini na hawa wauza sura, jaribuni kuchukua muda wenu kuwapima na kuwajua kabla hamjaumizwa. Hiki kinachoitwa kuwa ni kitu cha kijasiri alichokifanya sio kweli. Kuna wasichana wengi tu wenye wasifa kuliko yeye ambao hawaendi wakijitangaza kama yeye anavyofanya kwa sababu kwanza sio utamaduni wetu sisi WaTanzania. Ndugu zangu kuweni makini na hawa wanaoenda kuuza hizo sura pale kwa INSTAGRAM, WHATSAPP na kwenye FACEBOOK kwani wengi wao sio watu wa maana na hasa hawa Wasichana ni wababaishaji na pia ni waongo. Wanaubabaishaji mwingi sana. Huwezi pata msichana wa maana akiuza sura huko kwenye hiyo mitandao. Kwanza hawana muda. Wako busy sana na shughuli zao za maana.
DeleteHuyu Jokate pamoja na mambo mengine ni lazima atuelezee anatoka katika familia ya aina gani. Kama ni Wachawi au Washirikina. Kama ni wacha Mungu ama ni zile familia zenye Drama kila kukicha. Ndugu zangu kwa tabia za pale uswahilini ukichukua msichana ujue umechukua familia nzima. Ukiwa na bahati ya kupata familia inayomuogopa Mungu hiyo itakuwa ni bahati ambayo ni lazima ukeshe ukiomba isije chomoka. Nyingi ya familia za uswahilini ni either Wachawi ama ni Full of Drama. The minute unaoa ndio inakuwa imekula kwako. Muwe makini Ndugu zangu. Hawa wasichana hawaji peke yao bali wanakuja na misururu ya watu chungu mzima yaani ni kasheshe. Na wewe huwezi kuwakataza kwa sababu sio utamaduni wa waswahili kuwafukuza wakwe. Kama ni Wachawi ndio itabidi uwakumbatie hivyo hivyo na uchawi na ushirikina wao na kama ni Drama ndio itakubidi na wewe pia ujifunze kuwa mtu wa Drama. Kuweni makini jamani, hii Dunia imeharibika. Imagine unachukua msichana ambaye kwao ni Drama check utakavyokomeshwa. Siku ya kwanza tu maneno ndio hayo kila kukicha ni hili na lile visingizio chungu mzima ilimuradi wewe na huyo mkeo mkose ile raha ya mapenzi. Kwa kweli hizo ndoa za uswahili ni kasheshe. Vijana tulizeni jarabuni kumchunguza vizuri huyo Jokate na muangalie kwa makini ni familia ya aina gani anayotokea kabla haijala kwenu.
ReplyDeleteHalafu pia ni lazima muangalie kama familia yake ni ya watu tegemezi ama ni ya wale watu wanaojitegemea. Kama anatoka kwenye familia ya watu mafukara na masikini ujue hiyo ni kasheshe tayari. Hizo aina ya familia ni matatizo matupu. Hawataki kujishughulisha na kazi na wala vitu vingine vya maana kama elimu. Ni watu ombaomba mno. Kila kukicha hodi hodi mlangoni haziishi. Mara leo ni shida ya Sukari mara kesho chumvi. Na mara nyingi familia za aina hiyo ni maneno maneno mtindo mmoja yaani ni full of Drama. Kwa hiyo wale akina kaka mnaokurupukia hizo sura za mitandaoni jaribuni kuwa waangalifu na hivyo vitu msije juta huko baadae dah!
ReplyDeleteMxiuuuuuuuuuuuu wewe unayejifanya unaangalia vigezo lukuki vya jokate! Wewe nawe una vigezo vya kuwa mume? Umeenda shule? Mrefu au pimbi? Una kazi ya maana? Account yako benki inasoma ngapi? Unaishi masaki, Oysterbay, Mikocheni au Mbezi Beach? Au unaishi chumba kimoja Tabata au Sinza? Una tango mwitu au una kibamia?
ReplyDeleteAna gari ya maana au ki babe walker, passo, Ist, fun cargo, carina, premio na mark 2 na vingine vya dola 1500??? Ana Nyumba ngapi mjini hapa? Ana ndugu wangapi? tena madada wameolewa? na wakaka siyo mateja?
ReplyDeleteHahahaha mbavu zangu.
DeleteNyie anonymous 8:22 na 8:30 PM mnachekesha. Kuna tofauti ya Positive traits na Material things. Kwa taarifa yenu hata kama una material kiasi gani au pesa kiasi gani na hata ujaze mbingu na dunia kwa hivyo vijimali na pesa na as long as huna hizo positive traits au central morals ujue imekula kwako na ushahidi upo hapa hapa Duniani kuna watu wenye pesa na mali zao lakini walishindwa kufurukuta kwenye Ndoa. Kwa hiyo kuwa mali na kuwa pesa haimaanishi kitu chochote. Gharagabauni na ubwezi wenu. Nyie ndio aina ya wale wasichana wanaomwangalia mtu kwa mali na pesa zake matokeo yake mnatombwa halafu mnaachwa hapo hapo na majamaaa wanaendelea na wasichana wengine vile vile.
ReplyDeleteWewe ndiye unachekesha kutafuta mke atakayevumilia umasikini wako huku unataka akamilike 100% na wewe una kitu gani? Umekamilika?
ReplyDeleteDon't get twisted my friend. Mimi sio maskini kama unavyofiria. Mimi ni tajiri sana na utajiri wangu ni wa kipekeee wala usiwe na wasi wasi huwezi kulala njaaa hapa. Utakula na kusaza na pengine ukaishia hospitali kwa sababu ya wingi wa chakula ndani ya mwili wako. Hilo sio tatizo ila je unazo hizo Core values au ndio wale wale chips mayai hahaha hahaha
DeleteAliyekuambia kila tunayetombana naye ni lazima tuoane nani? Kwani wewe mbona umetomba kibao na hujawaoa? Tunaonja mbali mbali kutest tusijeolewa na vibamia!
ReplyDeleteAu sio wewe waenda uki test utafikiria unaonja chumvi kwenye mboga kama imekolea. Magonjwa kama vile UKIMWI na mengine ya zinaaa kwako sio tatizo. Eti kisa Usije olewa na kibamia. Huo mwili wako sijui ni mchafu kwa kiasi gani. Kwani kila kinachopita mbele yako ni halali yako hahaha. Kwa kweli unatia huruma kama mpango wenyewe ndio huo. Sijui umeisha vionja vingapi dah. Kwa kweli mwili wako ni mchafu na unatia kichefuchefu.
DeletePia wapo masikini kibao wameshindwa ndoa na tena kesi zao nyingi ustawi wa jamii na mabaraza ya kata! Ndoa haina tajiri wala masikini! Mjuzi wa ndoa ni mtegemea Mungu pekee
ReplyDeleteKweli kabisa mdau. Mungu ndio mwanzo na mwisho wa kila kitu katika maisha yetu sisi binadamu. Na sio hela au hivyo vitu vya hapa na pale. Kwa kweli nimeipenda hiyo comment yako.
DeleteInaelekea jamaa kibamia halafu andunje! Kazi ni Yahaya mjini ndiyo maana mchaguzi sana wa mwanamke! Wenye hela na waliokamilika hawana masharti kama witchdoctor!
ReplyDeleteNi lazima uchekeche. Wasichana wenyewe waswazi hawa ni nani wa kuwaamini????? Wewe jikombe kombe na vijisenti vyako ndio utashangaaa na hawa mademu waswazi.
DeleteHao unaowaona wenye hela zao na unaodhani wamekamilika wana masharti kuliko unavyofikiria. Sijui kama umewahi kuwajaribu. Fanya hivyo halafu utaniambia. Kwanza hutaweza kudumu na hata kwa sekunde. Madharau kwao ni mengiiiii na utabakia hapo umeshangaaa hahaha nakutakia kila kheri na baraka tele katika kuwasaka wale wenye nazo.
DeleteOyaaaa tafuta famba! utatombewa tu mjini hapa! Mwanamke gani na uzuri wote huo akusubiri na dagaa zako za uchungu?
ReplyDeleteSasa check majamaaa wasiokuwa na dagaaa. Domo na Hashim Thabeet wakagaragaza halafu wakatupilia mbali huko. Sasa mwenyewe amerudi kwenye mtandao kusaka wenye nazo au sio hahaha kweli maisha sio mchezo.
DeleteCentral morals my ass! Wewe nawe una hizo morals? Tafuta hela tuondolee nadharia zako za mchana haziko applicable kwenye real life!
ReplyDeleteCentral morals my ass! Wewe nawe una hizo morals? Tafuta hela tuondolee nadharia zako za mchana haziko applicable kwenye real life!
ReplyDeleteMy ass?????? Sawa sawa. Lakini kwa bahati nzuri sana maisha yangu hayaendeshwi kwa nguvu za giza. Maisha yangu hayaendeshwi na hiyo nadharia ya kujionyesha na vitu vya hapa Duniani. Namtegemea sana Mungu katika kunifanikishia Maendeleo yangu. Na kwa kweli si haba nafanikiwa. Kuna vitu naweza kuviogopa na kuvibabaikia kama Mungu na Biblia na Elimu pia ni vitu ninavyovizingatia lakini sio Hela ama wanawake. Ndio ni vizuri kuwa na hela na kuwa na mwanamke mwenye maono ya maisha. Lakini si hao viruka njia wenye mitizamo hasi na isiyokuwa na tija katika maisha. Kila kukicha ni kuuza sura kwenye INSTAGRAM, WHATSAPP na FACEBOOK. Na ushindwe hizo hela huwa na mwisho hapa Duniani na mwisho wake huwa ni machungu.Sijui niambie mwenzangu tangia umeanza kusaka hela hujamaliza tu kila siku ni hela hahaha
DeleteUwiiiiiiiiiii anony 10:33 umenichekesha mno! mwanaume muhogo wa jangombe! Kibamia peleka shule ya msingi!
ReplyDeleteHalafu nyie mnao comment hapo juu kama ni mademu sio mademu wa maana kiviiileee. Ni mademu fulani feki feki ambao akili zenu zinawaza Hela Hela Hela na mambo mengine ya zinaaa. Hakuna mambo mengine ya maana mnayoyawaza katika maisha yenu yani mpaka mnatia na huruma. Sasa kwa mpango huo ni kwa nini mtu asiwachekecheeee??????
ReplyDeleteNampenda jokate sana na kwa idadi ya wanaume aliopitia nahic nw kaamua kutulia... atanifaa.. ila maswali yangu nataka majibu aniwekee humu.. kwanza, ashawai piga picha za uchi?? Pili, ushawai tembea na marafiki yaani washkaji kuwachanganya kimapenzi?? Tatu ushawai pigwa mtungo?? Nne unatoa tigo au hutoi maana kabaang nayo ina raha yake, tano ushawai kua msagaji?? Mwisho ushawai m'baka mwanamume?? Coz mm nataka msichana mzuri wa kuoa ka wewe ila awe amemaliza laana zote.. ikiwezekana hata awe ashamuoa shoga (yani yy mschana ndo mume halafu mtoto wa kiume shoga ndo mke) i lov u soo much jokate!!
ReplyDeleteMambo ya maana yote tunayo ndiyo sababu tunachagua mume wa maana siyo mtunga hadithi za alinacha wakati ndoa ni responsibilities to both parties! mmoja azae na kulea mwingine alete mkate wa kila siku, na kuhakikisha provision ya basic need ya family iko constant!
ReplyDeletewewe unayejifanya kutest ni uchafu wewe mbona unatest nyuchi tofauti tofauti kabla ya kuoa? Unatafuta nini? Ndiyo hata mimi natafuta quality nzuri sio bora quality! Vibamia vimesambaratisha ndoa nyingi
ReplyDeleteWewe mbona uko hoi lakini una madharau kibao? ninyi makapuku mna sheedar! wivu ulopitiliza, kujifanya mnajuaaa gubu badala ya kutafuta hela
ReplyDeleteIt's better to cry on a BMW X6 than crying on a bicycle!
ReplyDeleteKuna kitu kingine duniani cha kuwaza zaidi ya hela???? hela itakupa almost everything hapa duniani sasa wewe unataka sisi wanawake tuwaze sinki la kuoshea vyombo na jiko la mkaa?
ReplyDeleteUnakwenda eti ng'ang'ang'a unasimamisha kichwa eti Hela. Na kakwambia Hela ndio itakupa Ndoa. Utasubiri sana kuolewa kumamaye kama Wema Kicheche.
DeleteBy the way nyie ndio aina ile ya wanawake mnaojifanya kufukuzia hela halafu mwisho wa siku mnatumia hela hizo hizo kuwahonga wanaume. Mnashindwa kuelewa wanaume wanachozingatia ni tabia na sio hayo majivuno ya vijisenti.......mtakesha sanaaaaa mkifukuzia hela kumamaye
DeleteUkiwa na Elimu na uzoefu kidogo katika maisha huwezi kushindwa kuandika mistari ya kutosha iliyosheheni agenda za uhakika na zenye mashiko katika mitizamo tofauti. Lakini kama huna Shule wala Elimu dunia unaishia kuwa na kigugumizi cha mikono. Unakuwa hujui uanzie na kumalizia wapi katika kuwasilisha hoja zako. Sasa kwa kigugumizi hicho hicho unabakia kuishia na oohh Hela oohh sijui Kibamia. Hiyo yote ni kwa sababu ya ukosefu wa Elimu na maadili ya maisha. Shule tamu bwana duh. Nendeni Shule mkapate Elimu watu mnatafuta hela mpaka mnasahau kama pia kuna Elimu duh hahaha
ReplyDeletenunga embe huyo baiskeli iliyotembelewa na wenye nazo mnapoteza muda hako bado kapokapo sanaaa labda baada ya miaka 60 hivi atatuliza kuuza uchi
ReplyDelete'Vizuri vyajiuza vibaya vyajitangaza',imekaaje hii wadau?
ReplyDeleteImekaa poa.
DeleteNinyi mabroke ass mtabaki kuita shemeji wanawake wazuri! Kaoeni Dada zenu watawapa nyuchi za bure! bila hela wala mipango mizuri ya future hakuna mwanamke anayejitambua atawakubali! Sanasana akikubali ujue atakua na mibuzi pembeni ya kum support! Hamjiulizi wanawake wengi kwenye ndoa ni vicheche! Ninyi vilaza mmelala usingizi mnadhani ukioa umemaliza! Baaaado kila siku tutaona vioja kwenye ndoa mpaka mpate akili you bogus men and broke ass!
ReplyDeleteWaambie hao vishoka! Huna pesa wala hujui kutomba nikubebe wa nini? pelekeni pumbu zenu chafu huko msituletee maradhi ebo! tutakula pumbu ee? tutasafiri na pumbu ee? tukiugua tutatibiwa na pumbu ee? makazi bora yanapatikana kwenye pumbu ee? Mmelogwa na nani?
ReplyDelete