Meneja wa Diamond, Babu Tale amezungumzia kile kile kinachoelezwa kuwa ni beef kali ama ushindani mkubwa kati ya Diamond na Ali Kiba, moja kati ya mada ambazo zinatengeneza mijadal mingi sana kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza kupitia kipindi cha Sunrise cha 100.5 Times Fm na Fadhili Haule, Babu Tale amejibu swali la msikilizaji aliyetaka kufahamu mtazamo wake kuhusu uwepo wa beef kati ya wasanii hao wawili.
“Mimi sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara…challenging. Sijawahi kuona wanagombana katika maisha yangu. Watu wanaoandika nyuma wanaandika kwa sababu wanaamua kuandika lakini mwisho wa siku Diamond na Ali Kiba wote ni wanamuziki. Without challenge Diamond hawezi kuendelea au Ali Kiba hawezi kuendelea.” Amesema Babu Tale.
Ameeleza kuwa hiyo kwake anaona challenge hiyo ni nzuri kibiashara na sio tatizo na kwamba likionekana ni tatizo watalitatua.
“Kama unamfollow Davido na Wizkid. Kila anapopost Wizkid kwamba hapa nafanya show hivi, Davido nae anamjibu kuwa angalia watu wamejaa huku hivi. Ni biashara. Ugomvi wanagombania nini? Ali Kiba anakula kwale ana maisha yake, Diamond anakula kwake na ana maisha yake.” Ameongeza Babu Tale.
Alipoulizwa kuhusu ujio wa Ali Kiba kuchukuliwa kama ndio sehemu ya mapinduzi dhidi ya utawala wa Diamond, Babu Tale aliipinga kauli hiyo.
“Huwezi kusema Ali Kiba anakuja, Ali Kiba yupo na alikuwepo. Huwezi kumuambia anakuja unamdhalilisha, Ali Kiba yupo alikuwepo na ana uwezo wake. Anafahamu base yake. Huwezi kumwambia anakuja, anakuja ni msanii mpya…Raymond wa Tip Top anakuja sio Ali Kiba. Usiwe na mind kuwa Ali Kiba hayupo kwenye Game, yupo.”
Ameongeza kuwa hajafirikia kuhusu suala la Ali Kiba kumpindua Diamond.
Babu Tale umejibu maswali Ki utaalamu hongera kwa hilo, always news media ndio wanao endeleza beef za wasanii na maswali yao ya kibwege.
ReplyDeleteBabu talle kuma la mamaaake na alikumuhoj nao kuma mamaake. kiba kaka kamua kamua twende hutumii skendo umaaruf wako ni wa kweli. sio kama wengne bila dem superstar wasingetoka. ila ww tangu enzi hizo mpaka leo! upo juu kaka. hongesa sana. huyu babu tale kuma la mamaake na domo wake. wanafirwa.
ReplyDeleteBabu talle kuma la mamaaake na aliEkuhoj nao kuma mamaake. kiba kaka kamua kamua twende hutumii skendo umaaruf wako ni wa kweli. sio kama wengne bila dem superstar wasingetoka. ila ww tangu enzi hizo mpaka leo! upo juu kaka. hongesa sana. huyu babu tale kuma la mamaake na domo wake. wanafirwa.
ReplyDeleteMbona povu linakutoka mpk unatukana huwex kukoment lugha ya kistarabu
ReplyDeleteUkiona jitu lina coment matusi hujue halina future katika maisha yake ndio maana linaropoka matusi kwenye vitu vya msingi sababu binadam anaejielewa hawezi ropoka matusi kwenye mambo ya maana. Babu Tale kaongea point but jitu lenye mtindio wa ubongo wa maisha linawaza matusi tu
ReplyDeletesasa hapa ndipo inapoonesha watanzania tulio wengi tunachukii duh .mimi nipo hapa canada kiukweli nimependa sana huyu anayejiita babu tale yaani kajibu kiproffessional sijawahi ona,ukigundua hapa mtangazaji au huyo interviewer alikuwa akichochea kitu ila babu tale kajibu vizuri sana.pia huyo hapo anayesema kuma la mama yake yeye alitotea wapi na aliingilia wapi?watu wanamatusi utazani wametumwa Mungu atakulaani kwa kumtukna mama yako hata kama mama yako alizaa kwa upasuaji lakini ulipatikana kutumia hiyo kuma.jirekenisheni na Mungu atawabariki,ninasoma sana comment za bongo ila sijawahi comment hata siku moja ila leo nimeona muhusika hapo juu hajaendana na topic kabisa inayoongelewa,
Deletekumbe hata kwenye.mablongu watu wenye utindio wa ubongo uwa wanatembelea uku yani mim uyo mdau wa 1:48AM kaniacha hoi cjui ni mtu aliejilea mitaani mwenyewe maan ctaki kuamini kama kweli umekulia kwenye mikono ya wazazi bac kam n kweli wew kiakili utakuwa aupo sawa mim alichoongea babu tele c kuzani kama mtu mwenye akili timamu angewaza kutukano hovyo hata kama ally k akitembelea huku atakuwa wondering na wew kiukweli
ReplyDeleteally k yupo juu. mdau wa juu na wa juu mwenzio wote maashoga mnagawa 0712>¤ kuma mamae zenu pamoja na domo, babu tale, na nyie wadau wawili hapo juu. kuma mamae nyie mnafirwa na firaun, unanuka mikunu nyie. kiba ndio habar ya mjini' kuma nyie. huyu babu tale mnafiki kuma mamaaake halafu anaongea ooh alli kiba alikuwepo sio anakuja! kiba alipumzika mzika kuma la mamaaako babu tale" kiba karudi kwenye game na ngoma yake ndio habari ya mjini. we babu tale" nukisha mkundu2 mpaka uoze ila kiba balaa.
ReplyDeletewell done babu tale
ReplyDeletewew mdau wa 10:35 AM wew ni kibaka na mvuta bagi mtu mwenye kitabu chako mwisho darasa la nne tu umetoka unajua kusoma na kuandika tu yani ndo maana una upeo wa kusoma habari na kujua mauthui yake ni nin maskini na kwa ushauri wangu n huu mda ambao uwa unapoteza uku kwenye mablog nenda kajiendeleze kielumu kutakusaidia kuwa na upeo mkumbwa na kuwa unatoa comment za maana c.huu ujinga.unaokuwa unaropokanga kila day
ReplyDelete