Baby Madaha Amwagana Kimapenzi na Manager Wake Mkenya Joe Kairuki

STAA wa filamu Bongo, Baby Joseph Madaha amemwagana na aliyekuwa mwandani wake ambaye pia ni meneja wake, Joe Kairuki pasipokuwa na sababu za wazi.

Chanzo chetu cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina lake kimetutonya kuwa, Madaha na Joe wamebaki kuwa mtu na bosi wake ila msanii huyo sasa amejiweka kwa mwanaume mwingine.

Katika kujua ukweli wa ishu hiyo, mwandishi wetu alimpigia simu Madaha ambaye alisema: “Hee unaniuliza kuhusu Joe, mbona umechelewa kujua? Nimeachana naye, sasa nimejipatia mpenzi wangu mwingine na tunapendana kupita maelezo.”

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chezea bongo movie full kujiuza.

    ReplyDelete
  2. sasa kwa style hio tutoe wp wife material

    ReplyDelete
  3. Hao ni jumla ya machangudoa kwani hujui

    ReplyDelete
  4. Unajua kuna machangu doa wa aina nyingi!hata hawa wa bongo muvie ni machangu doa pia sema ni stail tuu ya jinsi ya kujiuza!kuna watu huwa wanawapigia simu na kwenda kwenye hotel then wamteja anaambiwa dau kama wafanyavyo malaya wengine tofauti ya hawa wa bongo muvie hawakai
    bara barani ila wote ni malaya wakodisha uchi!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad