Batuli Atoa ya Moyoni 'Nasaka Mwenye Pesa Atakaye Kuwa Tayari Kunilipia Ada ya Kusemea Uhudumu wa Ndani ya Ndege'

Haya Sasa Mrembo wa Haja Tuko Tasnia ya Bongo movies Hapa Tanzania Amejitokeza na Kusema anatafuta mtu Mwenye Pesa atakaye kuwa Tayari Kumsomesha Chuo cha Kujifunza Uhudumu wa Ndani ya Ndege ama Urubani Kwani Anatamani sana kazi Hizo mbili sema Gharama  za Ada ndio zina mtatiza kwani ni kubwa Mno....
Mpo wenye Pesaaa?

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna sera ww zamani ulikuwa unajiheshimu sn ila cku hizi huna adabu kabisa du!tangaza utawapata tu biashara matangazo

    ReplyDelete
  2. Kwani mtunisi ameishia wapi hawezi kukulipia ada, au we si unafanya kazi si ujilipie mwenyewe

    ReplyDelete
  3. mmh huyu nae naona siku hizi ameanza kuchoka, naona kama anajiletaleta sana kwenye media, choma mihogo jipeleke shule usimsubiri mtoto wa mwanamke mwenzio ndio aje kukusomesha binti, karne hii wenzio hawategemei ........... mabinti wajanja wanatafuta kwa njia halali

    ReplyDelete
  4. ULIONA WAPI WAHUDUMU WA NDEGE NI WAZEE?LABDA KASOMEE UNESI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo hiyokazi ya cabin crew ushachelewa hupati umezeeka kasomee urubani lbda km unakichwa

      Delete
  5. ninabwana mmoja mfilaji tena mtoa roho nikuunganishe nae.utapata kila kitu

    ReplyDelete
  6. Alijisemea Steven Nyerere bungeni kwamba bongo movie Ni omba omba hawana kitu,

    ReplyDelete
  7. Kweli Nimeamini mapenzi hakuna siku hizi ukiwa na pesa unatembea na wabongoo movie woteeeee,DIAMOND Naseeb Batuli ataka bwana,maana Naseeb kila mwanamke ataka amuonje.haya kazi kwako Batuli Huyo hapo ataka pesa za Kwenda skuli

    ReplyDelete
  8. Anonymous wa 4:26pm Umenvunja mbavu, na unesi wenyewe mpaka Uwe na wito

    ReplyDelete
  9. ushawahi panda ndege na ukawaona wahudumu wa ndege wewe? watoto wako bomba sio wewe unatamani kaza iliokuwa sio fani yako

    ReplyDelete
  10. Ndio matatizo ya kukimbia shule na kuwa Malaya. saivi umezeeka unataka usomeshwe uwe rubani hahahahaaaha

    ReplyDelete
  11. AWATAFUTA. MUME AU WATAFUTQ SPONSOR,NA KWA WEWE IS TOOOOOOO LET KUWA HAPO UNAPOTAKA KUWA WEWE KASHONESHE SERE ZAO UVAE ANGWLAO NDOTO YAKO ITAKUWA UMETIMU KIASI,YANI HUKUWEZA KUPATA KAZI LAKINI SERE ZAO UVAE ANGALAU USIENDE PATUPU

    ReplyDelete
  12. Hahahahahaha kweli kazi ipo jamani huku vimbwanga tu, mabwana wote walokula hilo mbwambwa hujapata wa kukusomesha tu, kauze unga utapata ada nje nje

    ReplyDelete
  13. Mmhhhhhhh namuonea hadi huruma

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad