Huyu ndio Secretary Mitego.......Anaitwa LINDA...anatafuta kazi, anauzoefu wakutosha katka kumuhudumia bosi kuanzia chai ya ofisi hadi kumbebea koti la suti....Mtunza siri, mwaminifu mwenye kujitoa hadi siku za weekend na siku kuu...Siku zote anaamini bosi wake ndio kazi yake hivyo yupo tayari kujitoa kwa namna yoyote ili BOSS wake aridhike!!!...Ameambatanisha na picha hizi katika kujazia CV yake....ANAOMBA KAZI JAMANI...wasiliana nasi kupitiaemail yetu au comment hapo chini.
Mimi nitamwajiri. Lakini ajue ni boss mwanamke. Je yupo tayari kunibebea pochi yangu ?.
ReplyDeleteNitumie#
ReplyDeleteyake kwanza nimfanyie interview ya cm