CCM Waitisha Kikao Cha 'Dharura' Leo Dodoma ili Kuvunja Bunge la Katiba Bila Kuathiri Chama!

Nzi wetu aliye ndani ya sekretarieti ya ccm ametupasha kuwa CC ya CCM imeitisha kikao cha dharula leo pale Dodoma.

Pamoja na mambo mengine agenda ni

1) Kujadili aina ya uahirishaji/kuvunja bunge la Katiba bila kuathiri taasisi yao,

2). Mkakati mpya wakuizima CHADEMA na UKAWA baada ya huu wa akina Mchange na jeshi la polisi kufeli, (huu nitauweka peupe baada ya kumaliza kukusaji data)


Tusubiri mpaka jioni, kitendea kazi chetu kilichoshehen ndani ya ukumbi huo kitakapo funguka ipasavyo
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watahangaika sana ccm kujinasua kwenye huu mtego waliojiingiza kwa kutegwa na ukawa ila hawachomoki kwa hili.mengine wamezoea kutudanganya watanzania ila kwa hili la katiba wamebugi.miaka 50 waliowaibia watanzania inatosha wakae pembeni sasa tunahitaji mabadiliko ya fikra na uhuru wa kiuchumi na maendeleo chanya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad