Leo Diamond Aliamua Kuwajibu Mashabiki wa Wema Sepetu walio mshutumu anamtumia Wema Kwa Faida yake
Bahati mbaya, majibu ya Diamond kupitia Instagram yamekuwa makali kiasi cha kuwashtua wengi na kuona kama kamkosea heshima mpenzi wake. Kwakuwa sitaki kuonekana kama namhukumu Diamond kwa kile alichoandika, ningependa kuongea kwa lugha ya busara kadri iwezekanavyo, na isitoshe nimegusia suala la ‘udhaifu’ na ‘ubinadamu’ katika aya zangu za mwanzo.
Diamond ametumia kauli nzito na ya hasira kidogo katika kuwajibu vinara wa kampeni hiyo. Si jambo la busara kumuita mtu umpendaye kwa kuandika ‘msanii wenu’ baada ya jina lake, pale alipoanza kwa kuandika: Nafikiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa ‘Msanii wenu’. Ingekuwa vyema kama angeandika; Nafikiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa ‘Wema Sepetu’. Again, hizo ni hasira tu na ndio maana aliamua kuifuta post hiyo.
Kwa maelezo aliyoyatoa staa huyo, imebainika wazi kuwa ni Wema ndiye aliyeamua kuishi hivyo na pengine ameridhika na hatua aliyofikia. Inavyoonekana Diamond hapendwezi na muenendo na maisha ya mpenzi wake hasa kwa kudai anaendekeza urafiki na watu wanaopenda anasa na kula bata.
“Mngemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na apunguze starehe zisizo na faida, wenda ingemsaidia pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe,” yanaendelea kusomeka majibu ya Diamond. Maelezo hayo yanaeleweka wazi kuwa Wema amekuwa ni mtu wa starehe na kula raha na marafiki zake (Aunty Ezekiel haikwepi hii sentensi, inamhusu). Kwa kauli ya Diamond, Wema anaonekana kuendekeza ulevi kwa kutumia fedha anayopewa na mchumba wake.
“Mimi kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumwezesha mtaji wa kufanyia kazi.”
Sentesi hiyo inamaanisha kuwa, Diamond anatimiza wajibu wake na tayari amempa mtaji mpenzi wake. Kuna taarifa pia kuwa hata filamu yake ya Family aliyoigiza na Aunty Ezekiel ilidhaminiwa na Diamond.
“Waswahili wanasema mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka ng’ombe wake kwenye maji safi, ila yeye ng’ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji,” anaendelea Diamond. “Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ? Nisiende studio nikae dukani nimuuzie mie? Ni juhudi zako kwanza.”
Maneno ya Diamond yanajielezea yenyewe kuwa Wema amejisahau. Maswali ya wengi ni kuwa wao kama wapenzi hawajawahi kuzungumza haya na kushauriana? Diamond hajawahi kumkanya mpenzi wake kuwa mwenendo wake sio? Au ameshamuambia hadi amechoka na ndio maana ameamua kuuambia umma kile kinachoendelea?
Kwa lawama na matusi ambayo Diamond ameyapata kutokana na kampeni hiyo, ilikuwa inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kukaa kimya. Nahisi uvumilivu ulimshinda na ndio maana aliamua kuandika alichokiandika ambacho bahati mbaya kinaweza kutia tena doa uhusiano wao. Sijui Wema atasemaje!!
Mzee wa kukopy na kupest, umeitoa Bongo5 hiyo (umeipakua kama ilivyo) by the way diamond alitoa majibu hayo jana na sio leo kama ulivyoanza hapo juu
ReplyDeleteMdaku, siku nyingine ukikopi kitu sehemu ni lazima uwape credit yao, sema source / credit Bongo5. Siyo unakopy halafu unakaa kimya wakati mwenzako amesugua kichwa kuichambua
Deletemwezangu kweli uyu ni mdaku dakua habari za watu
ReplyDeleteUkitaka kuujua ukweli toka kwa mtu msiklize akiwa na hasira pale ndo atatoa ukweli toka moyoni yani haigiz! Kwa hiyo kauli ya Dai inaonyesha dhahir anamchukuliaje Wema.ss ni akili ya Wema tu inaonekana Dai kachoshwa na tabia ya wema ameamua kuishi nae hivyo hivyo anavyoyaka ila Dai keshachambua km anafaa kua mke au wakuzugia.MAHABA NIPOTEZE KM NDEGE YA MALESIA.
ReplyDeleteKweli kabisa mdau ukitaka kujua mtu anakuchukuliaje sikiliza kwa makini yale anayoyasema juu yako wakati amekasirika dah. Team Wema hawayasikii tu bado wamelala usingizi hahahahahahahaha
DeleteWabongooooooo mbona mna mudaaaaa duuuuu amna kazi???????wema wema wemaaaaa kila siku duuuuuuu,magolikipa wakubwa,kazi amna kula kulala
ReplyDeleteBibi yako ndio kula kulala ss ww mwenyekazi unatafuta nn humu????
Deletedomo yani unaakili wewe hahahahahahahahaaaaaa ng'ombe anapelekwa mtoni anashindwa kunywa maji,wema si mke bora
ReplyDeleteWw uliecopy na huyo aliendika wote wapumbavu.nyinyi mulitaka diamond atoe jibu gani?.wabongo bwana mnapewa reality mna anza Leta zenu.hayawani wakubwa
ReplyDeleteAaaaaaahhhhh Domo katumbua jipu. Sasa kazi kwenu. Sukeni au Munyoe.
ReplyDeletejipu pwaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteHahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa nimeamua kucheka
ReplyDeletetumechoka na mambo yenu domomond na wema kuma nyie.;
ReplyDeletenanyie mnao dc ana humu mnatombwa na domomond kuma ya kuku wa kukaanga; nyie,mbwa,wakutelekezwa na mwenye mbwa........
ReplyDeleteMatuc ya nini kama umelewa c ukalale au pita kimya kimya km wengine
ReplyDeleteChibu hajapanic wala nini ameongea kweli tupu tatizo Wema kichwa imejaa kamasi hata aambiwe vp hackii umri nao unampa mkono yeye kutwa kujirudisha utoto ana miaka 28 lakini ukimuuliza atakwambia 25 mweeee.... Akili ni nywele..... Diamond jipigie ukichoka tupa kule km walivyofanya waliokutangulia then tafuta katoto kako kenye adabu weka ndani tuone atakavyohangaika maana hackii km kiziwi mfyuuuuu
ReplyDeleteJamaa kachoka inaongesha... wema hana akili ya maisha.. angekua mbali sana coz kawapa kuma watu weny hela zao but til nw hana lolote.. yani ukiondoa kanumba ndo kidoooooogo akimfatisha na kamuachia hako ka title kanakomtambulisha ka actress.. ila vinginevyo, ni dem wa kumnunulia bia na chipsi kuku na kukodi chumba kumtomba weeeeeeeee asubuhi kumnunulia supu kurudi kwenye familia yako huku unawaachia wenzio wengine.. hv unadhan dai mjinga kutomuoa??? Ana akili... huyu mwanamke kashindikana, na ana laana ya kutembea na waume za watu mfano mkewe crement... so atubu sana maishani!!
ReplyDelete