Juzi nlikuwa nimeenda Mapinga Jirani na Bunju, Mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo kutizama viwanja japo nitafute pakuweka mgongo ila kuna sehemu nimeonyeshwa kiwanja kina ekari zinakaribia 44 naambiwa na madalali kuwa ni mali ya Yule msani wa wasafi. Tuacheni utani yule msanii ana hela tuweke chuki kando...Hongera Chibu
Safi sana wewe wekeza maana mziki utaucha watakuja wengine usiwe kama kina mr nice na dudu baya yamebaki majina tu hawana kitu chochote kile cha kusema waliwahi kuwa na hela Big up kwako wauweeeeeee
ReplyDeleteADMIN NIMEWAONA LADY JD NA SALAMA JABIL WANAHAMASISHA AKIBASACCOS NAO WAMEINGA KWENYE UTAPELI AU WATU WANATUMIA MAJINA YAO VIBAYA?BOT HAWAIJUI AKIBASACCOS MY GOD............
ReplyDeletedudubaya ameishia kuhifadhiwa na wanawake,mara afukuzwe mara huku mara kule
ReplyDeleteDudu baya limebaki jina tu. Nakwao kisesa MWANZA ameshakimbia kwasababu ya aibu.
ReplyDeleteAlichezea maisha, na bado atahifadhiwa sana laana ya baba yake.
big up sana diamond wew akili zipo ata kama.ujafika chuo kikuu kwani akili.za maisha zipo sana big.up to u chibu
ReplyDeletedaimond noma alikiba akalale
ReplyDeleteFofofo
ReplyDeleteYaani kwa kujipa promo tulisikia kanunua mtaa wa kijitonyama acha kudanganya watu angehamia kwanza kwake akamaliza nyumba wenye pesa tunawaona yeye anapesa ya kubadilisha mboga toeni umbea
ReplyDeletemmmmmh mdu hapo juu mbona kama wivu umekukaba sana eti ana ela ya kubadilisha mbogo wakat mim mwenyewe nipo nae mtaa mmoja maeneo ya tegeta kashusha nyumba mtaa mzima akuna na maeno ya uku kwetu ni maboc tu acha kusema eti ana ela yakubadili mboga au mpaka aje akusaidie kujega yako ndo uamini zipo
ReplyDelete