Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara.
Siku chache zilizopita Diamond na Wema Sepetu walikuwa mada kubwa baada ya mashabiki wa Wema kuanzisha kampeni yenye hashtag #BringbackOurWema, wakimtaka Diamond amrudishe kwenye chart yake Wema ambaye walidai amejikita kwenye mapenzi zaidi hivi sasa.
acha awachambe mapenzi uwa ayaingiliwi hata mim nilikipenda sana
ReplyDeleteLv for rever
ReplyDeleteAta aweke vijembe vya tarabu, still bring back our Wema, asimfanye ndondocha wake bure, mtu mwenyewe hata haeleweki, kwanza huyo Domo mwenyewe ni sukari ya warembo tu, kila akikaa anawaza Sukari. au a.k.a Ngono, atoke na mrembo yupi, andikwe kwenye magazeti azidi kupewa antesion, akiona hmmm kuko ziii anarudi kwa Wema, kwa kuwa wema ana funny wengi, azidi mfanya ndondocha wake
ReplyDeleteInakuuma eeeeeh! or ndugu yake wema ww? maana wema mwenyewe kesharidhika na alivyo ktk mapnzi yao...Acheni kuingilia mapenzi ya watu hayawahusu,fanyeni yenu..
DeleteDomo! Domo!
ReplyDeleteKumbuka kuwa wewe ni kutoka familia masikini sana
.Ishi maisha yako na fanya maamuzi ukifikiri miaka ijayo kwani kipato cha muziki hasa wa kibongo akitabiliki
Na mama ubaya ni mtu wa showoff na matumizi makubwa nawe huna chanzo cha uhakika cha mapato
Wivuuuuuuu,ushaachwa tuliza mkundu,wema na dai foreverrrr
DeleteHata Mimi nilishangaa haters tu na mashabiki uchwara ndo wawafanye muachane?kwani mnamshauri wema kwani wema Ana miaka 15?ebu waacheni na maisha Yao amtumie,asimtumie,inahuuuu?mshweeeee!!!
ReplyDeleteYamewashuka shuuuuuuuuuuuuu dai na wema mlikuwa mwasubili waachane?bado mtasubiri sana
ReplyDeleteHaki ya naniiiii hawa watoto wanaoendana tuwaacheeee,majungu yooote tuliyoyaandika,Yani nilimchamba wema mpaka vidole vyauma kuandika,nikajua dai atambwaga.mschweeeee
ReplyDeleteDaah! Kama umelishwa usembe. Enhe, endeleaa na ututajia kundi lako lina watu wangapi na mtapata nini wakiachana? 'WANA WIVU HAO HAO HAO, WACHONGANISHI HAO HAO HAO'........mdogo mdogo ni sshhiiddaarrhh!
DeleteDai ata akimwacha wema kubanjuana kuko palepale,they have something in common na ni mabest,oa au olewa na best friend wako mtadumu
ReplyDeletejamani diamondi na wema ndo habari ya mjini ebu tuwaache wapendane ban
ReplyDeletedai na wema ndo tanzania wengne makapiii wote sijui kina lulu wauzaa kumaa hamna kituuuuu
ReplyDeleteJamani mtake msitake hawa watu wanapendana pia wanapendezana mpaka nahisi labda waliumbiwa wawe pamoja. Wawaache miaka elfu!!!!!!!!!!
ReplyDeleteDomo! Domo!
ReplyDeleteKumbuka kuwa wewe ni kutoka familia masikini sana.
Ishi maisha yako na fanya maamuzi ukifikiri miaka ijayo kwani kipato cha muziki hasa wa kibongo akitabiliki
Na mama ubaya ni mtu wa showoff na matumizi makubwa nawe huna chanzo cha uhakika cha mapato
Huyo mama ubaya sio wife material hata Yusuph Bakhresa hawezi thubutu pamoja na uhakika wa kipato kwake
Ndoa sio swala la mzaha eti ulidhishe so called team wema
Kweli masikini akumbuki alikotoka hivyo bila juu zako binafsi huyo mama ubaya hangekung'ang'ania Kumbuka yeye ujiweka kwa watu wakipata mafanikio kama ilivyo kuwa kwa tid kanumba blue chaz baba etc.
Jifunze ulaya wanawake wa showoff ni mabingwa wa kudai talaka ili wagawane mali na superstar alikichuja kama ilivyotokea kwa Tyson, Michael Jordan to mention few.
Be alerted and take care learn from others mistakes
Halima
DeleteWivu mchawiiiii weee,roho mbayaaaa
Deletehuyu atakua hallima bibi na penny msagaji mana wanaumwa roho zao na bado mambwaa ninyiii
DeleteWe kaa kimya we yako nani anayajua, we ulienae ni huby material au unafanywa tu. chukua time ayakuhusu wakishindwana wataachana si wewe kusema upumbavu wako.
Deleteww mdau hapo juu kwan wew ndo diamondi ebu acha watu wapendan kama unajiona umekuwa consular nenda kafanye counseling kwenye department ya watu wamajanga ya ukimwi uku atuutaki ushari wako wa kipremary siye
ReplyDeleteww mdau hapo juu kwan wew ndo diamondi ebu acha watu wapendan kama unajiona umekuwa consular nenda kafanye counseling kwenye department ya watu wamajanga ya ukimwi uku atuutaki ushari wako wa kipremary siye
ReplyDeleteDomo! Domo!
ReplyDeleteKumbuka kuwa wewe ni kutoka familia masikini sana.
Ishi maisha yako na fanya maamuzi ukifikiri miaka ijayo kwani kipato cha muziki hasa wa kibongo akitabiliki
Na mama ubaya ni mtu wa showoff na matumizi makubwa nawe huna chanzo cha uhakika cha mapato
Huyo mama ubaya sio wife material hata Yusuph Bakhresa hawezi thubutu pamoja na uhakika wa kipato kwake
Ndoa sio swala la mzaha eti ulidhishe so called team wema
Kweli masikini akumbuki alikotoka hivyo bila juu zako binafsi huyo mama ubaya hangekung'ang'ania
Kumbuka yeye ujiweka kwa watu wakipata mafanikio kama ilivyo kuwa kwa tid kanumba blue chaz baba etc.
Jifunze ulaya wanawake wa showoff ni mabingwa wa kudai talaka ili wagawane mali na superstar alikichuja kama ilivyotokea kwa Tyson, Michael Jordan to mention few.
Be alerted and lean from others mistakes
Diamond na Wema mnawapa pressure Bin Adam,duuuuuuu,kweli hii movie ingekuwa ni Big Brother show,mngekinyakulia Mamilion,maana mmeteka watu baraaaaa,Wema na dai ndo habari ya mujini.
DeleteNaimba wimbo Wa Omar kopa(rest in peace),wanataka kutuchonganisha wachawi....
ReplyDeleteHalima k anafanya kila njia amrudishe penny kwa dai ili wamchune vizuri,penny akihongwa hela wanafawana na binti kimwana.
ReplyDeleteJamani Jamani, Penny na Dai ni mtu na kaka'ke katika ukoo wao, walikuwa wanatiana bila kujua, hawatarudia tena kosa....
DeleteSorry,ni Wanagawana na sio wanafawana.
ReplyDeleteUna haraka mno.... haya tuma salamu kwa watu wa2, kisha uchague wimbo.
DeletePenny sasa hivi eti anadai kapata mchumba tajiriiii,Hana lolote anatafuta Kiki za kwenye mitandao na yeye apate usupa star Kama Wa Sepetu.
ReplyDeleteWema Hana u super star bali ni kahaba aliyekubuhu
ReplyDeleteSifa yake kubwa kugombea wanaume hana kazi zaidi ya umalaya hapa mjini