Ushindani kati ya Diamond na Ali Kiba ambao siku zote mimi nauita ‘ushindani usio rasmi’ huku wengine wakiutafsiri kama ‘beef’ umetengeneza mitazamo tofauti kati ya wadau wa muziki Tanzania.
Hivi karibuni, G-Lover alitoa mtazamo wake kuhusu tofauti iliyopo kati yao huku akimpa credit kila mmoja.
Akiongea na Fadhili Haule katika Sunrise ya 100.5 Times Fm, Nay wa Mitego yeye ameeleza jinsi asivyopenda kabisa malumbano yanayoendelea kudai kuwa angekuwa na uwezo angetembeza kipigo heavy.
“Ningekuwa na uwezo wa kuwapiga wote ambao yaani wanaendelea huu mchezo uliopo, nafikiri ningewapiga na ningewafunga ningekuwa na amri hiyo.” Nay wa Mitego ameiambia Sunrise.
“Coz unajua kuna watu wanatengeneza hivi vitu, wanataka kuwatia watu stress. Wanataka watu ifike time waje wauane. Kuna beef tunaona zinakuwaga beef tu za kawaida. Lakini huu mchezo wa Ali Kiba na Diamond ni Mchezo ambao naona kama watu wanaoufanya uwe serious sana. Mimi sipendi nachukia.” Ameongeza rapper huyo wa ‘Itafahamika’.
Amewashauri Ali Kiba na Diamond kuachana kabisa na kinachoendelezwa kati yao na kuendelea na muziki kwa kuwa itafikia hatua mbaya ambayo wataumizana na kushindwa kufanya muziki
Malumbano hayana msingi wowote,Ni kweli watu wanagombana lkn isifikie mahali sasa ndio ikawa kama kamtindo.Mnachogombania ni nn hasa?Hamna kazi za kufanya?
ReplyDeleteMnakuwa kma wanawake wa uswahilini huko ambao hawana kazi za kufanya I Hali nyie ni wanaume.Acheni ujinga.Fanyeni kazi muendelee na maisha yenu.
Mnapoteza mda wenu bure.Mnakuwa kma si wanaume.
nikwel malumbano,hayana mana,wao wafanye kaz,watu wenyewe ndo wataamua,inabid mmoja amdharau mwenzie akae kimya ni jibu tosha kwa mjinga
ReplyDelete2-PAC AND BIG HIYOO INAKUJA, SI WANAJIFANYA VICHWA NGUMU
ReplyDeleteHAKUNA KITU HAPO WOTE HAWA WANATAKA KIKI KUPITIA DIAMOND, KWANI UKIANGALIA KWA UNDANI SIKU ALI KIBA ALIPOTAKA KUTUO TUNYIMBO TWAKE TUBOVU AKAOMBA INTERVIEW IKAWA INAMUHUSU DOMO KWA KIASI KIKUBWA BAADA YA MUDA AKATOA NYIMBO, JUZI TU DUDUBAYA NAE KABLA HAJATOA NYIMBO YAKE AKAZUNGUMZI ETI BIFU LA DOMO, SA LEO HUYU NAE AMBAYE ALITOLEWA NA DOMO KWENYE COLLABLE YA MZIKI GANI ANALETA HADITHI ZILEZILE,HEBU KAENI NA DOMO VIZURI KWANI HANA TATIZO NA MTU,HUYU ALI NDO KABISA UKIONA ANAVYOTANGATANGA KWENYE MEDIA UTADHANI UNDERGRAUND KWANZA MTU MWENYEWE ANAVYOJIWEKA HADHI YA USTAA BADO SANA MARA ANAVAA T SHIRT ZA HOVYO HOVYO MARA ANAVA SHANGA SHINGONI ETI NAE ANATAKA KUJILINGANISHA NA DOMO,CHA MSINGI LABDA KUWENI VIZURI NA DOMO AMEISHAONA MWANGA KIDOGO ILI MSONGE MBELE, ILA KWA USHINDANI ALI HUMUWEZI DOMO KUMBUKA MWENZAKO ANA PESA SASA PIA KUNA WATU WENGI WANAPATA KIPATO KUPITIA YEYE SIFIKIRII WAKO TAYARI KUONA UNATAKA KUTIA KITUMBUA CHAO MCHANGA,WATU WANAWEZA KUSEMA KIBA ULICHEZEA MAISHA KIPINDI KILE NA BAHATI KURUDI MARA MBILI NI VIGUMU SO FANYAKAZI WATU WAONE NA SI LUTAFUTA HURUMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI
ReplyDeleteMdau hapo juu umesema kweli siku hizi msanii akita kutoa nyimbo eti anajidai yeye ni baba ushauri kuhusu bifu ya domo na kiba, hizo tekiniki zimepitwa na wakati kwani watu wanataka kazi na si maneno kwenye media,hivi kweli ndugu zangu huyu domo anavyojituma utaanzaje kumlinganisha na ali kiba?,utasiki ali kiba ana vocal nzuri sana,sasa wenye vocal ni wengi sana tembelea makanisani kwenye kwaya watu wana vocal za ajabu, nenda misikitini uone na madrasa kuna watu wanaimba kaswida za hatari so mziki siyo vocal tu ni mambo mengi sana ndo tukuite mwanamziki na si voko tu kwa hata PAKA wana voko nzuri sana je nao tuwaite wanamuzika? kwa kifupi ALI KIBA ULISHACHEZEA MAISHA SO USITAKE KUVURUGA WENZAKO,fanya kazi zingine muziki huwezi tena gemu kwa sasa ni gumu.
Deleteyania wadau hapo juu 100% kwa maoni yenu yanu .wasanii sas naona.wakitaka kuto vijibo vyao wanaogele kuhuusu huu ungovi wa diamomdi na ally k afu na uyu aliy k nae cku zote mboma ilo bifu alikumake handline kama kama c kupromote ivo vijimbo vyake kaza msuli wew alliy k na.ckutafuta.umaharufu kupitia mgogo wa diamondi
ReplyDeleteWadau wote hapo juu Hamjakosea hata kidogo..Hivi ww ALI KIBA mbona unajidhalilisha kila siku kwenye Interview kama si kutaka watu wakuonee huruma kitu gani...kama nyimbo umeshaachia acha zenyewe zijipe promo kam nyimbo nzuri itapigwa tu pumzika kaka historia haijirudii mara mbili...NDIO BASI TENA USHAARIBU
ReplyDeleteKweli kabisa..muda wa Ali k umekwisha sasa ivi ni Diamond. Ali kiba chance never come twece
ReplyDeleteyani mim uyu ally k mwenyewe ananikera na interview zake za kila day unaambiwa kibaya cha jitebeza kizuti cha jiuza ina maana na wew una uhakika na hayo masong yako ebu tafuta.menegement zuri ban.iga mfano wa diamond na ucmchukie kwan ukimchukia always utabaki na mauvu na.utashidwa ku
ReplyDeletepiga hatua ally k
chance ikirudi ni kufa.
ReplyDelete