Diva Loveness na Waandaji Wengine wa Events Hapa Mjini Wapewa Soma-Instagram Party Ndio Chanzo
6Udaku SpecialAugust 05, 2014
Baada ya Instagram Party Iliyofanyika Hapa Dar weekend Hii iliyopita kuwa na Mafanikio makubwa , Kina Diva na Waandaji wengine wa Events Wapewa Somo ..Jisomee Mwenyewe hapa Chini:
Hizo events haziwasaidiii na wala hazitawasaidia lolote watanzania. Hayo ni majanga na hasa katika hiki kizazi kilichopo sasa. Pigeni vita kwa nguvu hizo events ambazo hazina tija yoyote kwenu. Kuna mambo muhimu na ya maana ambayo watanzania wanatakiwa kuyatilia maanani kuliko hizo events. Msidanganyike hizo events ni mfumo mwingine wa ufisadi. Walichonacho wanajaribu kuwarubuni wasiokuwanacho na kuwanyanga'anya. Sasa imagine kama hiyo sijui IGParty ni kiasi gani cha hela mlichopoteza kwa kuwanufaisha watu wachache wenye dhamira za ufisadi. Jamani watanzania fungukeni macho. Kama mnaweza kuwanufaisha watu wachache kwa hizo mbinu za ufisadi kwa nini msijinufaishe nyinyi wenyewe kwa mambo kama vile Elimu, Miundo mbinu na Utawala wa kisheria na ulio bora kuliko kukesha mkiilaumu serikali dah ni balaaaaa
Wewe unayejiita siju "usipojipangantakupanga" hebu jaribu kuwaelimisha wananchi wenzako kwa mambo yatakayowaletea tija katika maisha kuliko kuwapanga wananchi na hizo events zenye mfumo wa ufisadi.
Hizo events zinawadanganya vijana ili kuwaonyesha kuwa maisha yako sawa wakati ni uongo. Kuna matatizo chungu mzima yanayotakiwa kutafutiwa ufumbuzi kama matatizo ya elimu bora na ajira. Haya matatizo yanatakiwa yawe addressed rather than kuwadanganya na hizo events zisizokuwa na tija katika maisha yao. Huko ni kuwapotezea malengo yao ya baadae. Akili inapumzika kwa kitu gani cha maana ulichokifanya kwa kutumia hiyo akili??? Elimu yenyewe ndio hiyo kama tunavyoiona na ajira hakuna. Watu wako vijiweni zaidi na kwenye ma blog acha zako weweee.
Na pia ni lazima uelewe hizo events zinawanufaisha watu wachache na familia zao, lakini wengi wao wanabakia kama watu masikini tuu na waliokata tamaaa. Wabongo amkeni chamgamsheni Bongo zenu. Acheni mara moja kwenda kwenye hizo events zisizokuwa na tija.
Hivii tuacheni maskhara.. kasema hapo cjui diver anaandaaga event kwa ajili ya kuchangisha watoto yatima.. mbona ni wizi wa waziwazi huu, badala kukusanya hao wachangiaji eneo la tukio mfano kituo cha watoto yatima unaenda kufanya party kwenye kumbi za starehe?? Wote cc tunapenda starehe ndo ujana tena tunajichanganya sana viwanja ila achen kutumia kitu kama hicho watoto yatima na makundi mengine kwa lengo la kujikusanyia kipato binafs na kujirusha ni dhambi sana.. kueni na hofu na mungu jamani!!!
Hizo events haziwasaidiii na wala hazitawasaidia lolote watanzania. Hayo ni majanga na hasa katika hiki kizazi kilichopo sasa. Pigeni vita kwa nguvu hizo events ambazo hazina tija yoyote kwenu. Kuna mambo muhimu na ya maana ambayo watanzania wanatakiwa kuyatilia maanani kuliko hizo events. Msidanganyike hizo events ni mfumo mwingine wa ufisadi. Walichonacho wanajaribu kuwarubuni wasiokuwanacho na kuwanyanga'anya. Sasa imagine kama hiyo sijui IGParty ni kiasi gani cha hela mlichopoteza kwa kuwanufaisha watu wachache wenye dhamira za ufisadi. Jamani watanzania fungukeni macho. Kama mnaweza kuwanufaisha watu wachache kwa hizo mbinu za ufisadi kwa nini msijinufaishe nyinyi wenyewe kwa mambo kama vile Elimu, Miundo mbinu na Utawala wa kisheria na ulio bora kuliko kukesha mkiilaumu serikali dah ni balaaaaa
ReplyDeleteWewe unayejiita siju "usipojipangantakupanga" hebu jaribu kuwaelimisha wananchi wenzako kwa mambo yatakayowaletea tija katika maisha kuliko kuwapanga wananchi na hizo events zenye mfumo wa ufisadi.
ReplyDeleteHata akili sometimes inahitaji kupumzika hiyo ni njia ya kure fresh akili ndo maana c kila cku
ReplyDeleteHizo events zinawadanganya vijana ili kuwaonyesha kuwa maisha yako sawa wakati ni uongo. Kuna matatizo chungu mzima yanayotakiwa kutafutiwa ufumbuzi kama matatizo ya elimu bora na ajira. Haya matatizo yanatakiwa yawe addressed rather than kuwadanganya na hizo events zisizokuwa na tija katika maisha yao. Huko ni kuwapotezea malengo yao ya baadae. Akili inapumzika kwa kitu gani cha maana ulichokifanya kwa kutumia hiyo akili??? Elimu yenyewe ndio hiyo kama tunavyoiona na ajira hakuna. Watu wako vijiweni zaidi na kwenye ma blog acha zako weweee.
ReplyDeleteNa pia ni lazima uelewe hizo events zinawanufaisha watu wachache na familia zao, lakini wengi wao wanabakia kama watu masikini tuu na waliokata tamaaa. Wabongo amkeni chamgamsheni Bongo zenu. Acheni mara moja kwenda kwenye hizo events zisizokuwa na tija.
ReplyDeleteHivii tuacheni maskhara.. kasema hapo cjui diver anaandaaga event kwa ajili ya kuchangisha watoto yatima.. mbona ni wizi wa waziwazi huu, badala kukusanya hao wachangiaji eneo la tukio mfano kituo cha watoto yatima unaenda kufanya party kwenye kumbi za starehe?? Wote cc tunapenda starehe ndo ujana tena tunajichanganya sana viwanja ila achen kutumia kitu kama hicho watoto yatima na makundi mengine kwa lengo la kujikusanyia kipato binafs na kujirusha ni dhambi sana.. kueni na hofu na mungu jamani!!!
ReplyDelete