Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita kuwa ndoa yao haipo tena, Gardner Amesema kuwa watu wanaunganisha unganisha matukio na kutunga yao ila si kweli kwamba wameachana...
Si mara ya kwanza kwa mastaa hao kudaiwa kutibuana kwani walisharipotiwa kutaka kutengana lakini mara nyingi huwa wanakaa chini na kuyamaliza kimyakimya.
Wewe umezidi umbeya.tuwekee na ya kwako tu-comment.
ReplyDeleteHahahahaha na kwel aweke yake tuyachambue
ReplyDeletenimeipenda ya mdau wa kwanza, utakuta yake ndo hataa hayatatuliki
ReplyDeleteNdoa taasisi ya kinafiki! Hata ukitobolewa jicho mbele za kadamnasi utasema umepata ajali ya bodaboda!
ReplyDeletekila lakheri bidada..ila mzalie g katoto jamani
ReplyDeleteMmmh kila la kheri ndoa yenu idumu ila G punguza kuchepuka...hakuna jipya wazuri wengi huwezi kuwamaliza wote rizika na ulie nae..ukishikwa shikamana my kaka..
ReplyDelete