Habibu Mchange Akana Tuhuma za Kuhusika Kulipua Helkopta iliyombeba Myika na Slaa

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwenda zk Kuma wewe! Huna lolote nyie watu wa CCM kweli wauaji na wezi wakubwa wa mali za uma, tuachie CHADEMA yetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. andika point zako acha kuandika matusi hiyo k**a unayoitaja humu ndio iliyokuweka duniani sasa inahusikaje na watu CCM na CHADEMA. Kama huna cha kuandika kaa kimya kama wengine

      Delete
  2. Kweli uyu jamaa msenge uyu CCM inampa nn mtu ka huyu? Asee waTz acheni ukuma ccm ni takataka eti kumanyoko zao ccm

    ReplyDelete
  3. bwege hili fisadi kubwa, halina maana eende akamwambie basha wake huko aliyempa hela!

    ReplyDelete
  4. vyama vyote sio mnajali tu matumbo yenu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad