Baada ya mashabiki wa mwanadada Wema "kumjia juu mwanamuziki Diamond Platnumz" kuhusu tuhuma za yeye kumtumia mwanadada huyu kimwili zaidi bila kumuendeleza, hatimaye raisi huyu wa kundi la WCB ameamua nay eye kufunguka haya mazito juu ya kauli hizo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao ule maarufu wa kijamii Diamond ameandika haya..
“Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe...
Mimi kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi. Waswahili wanasema Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng'ombe wake Kwenye Maji safi....ila yeye ng'ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!! Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi zako kwanza!... leo hii mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa nilipo!....Mxieeeeeeeew!" Diamond
fyuuuuu! kila siku nyie tu!
ReplyDeletenimeipenda hiyo diamond!!!!! mwanaume wa kweli hujiamin.
ReplyDeleteila hii post mim.mwenyee ilichefua japo alituambia kama.tumechefukwa tulambe ndimu ukihisoma hih.post kwa makini utaelewa huo ujumbe ni wakumkandamiza wema na.kama.kumzalilisha pia dai amezoea sana kumzalilisha wema bt wema.kazi yake ni kufuta machozi na kumrudia tena dai yani.mim.mpaka na muonea huruma sana.wema mbona wanaume wengi tu hapa mjini kiukweli mim hii capo nilikuwa na.ipenda san ila kwa alichofanya dai jana ku post vile mim nigekuwa wema na achana nae tu
ReplyDeleteWivu huo
DeleteNdo mkome kumfatafata kijana wawatu kutwa Diamond kamuaribu Wema aaribiwe ye hana akili punguani mmoja uvivu ndo unamuaribu na starehe mwanamke gani alale mchana kutwa usiku anakesha nimefurahi sana Diamond alivo washushua msokua nakazi kazi kushinda Inta mxieeeeeeew kalambeni ndimu......
DeleteNamkome kukomeka kumfatilia Diamond,nyie mnashiba kwa kumbeba Wema sasa anayekulisheni mnamchafua,nguruwe nyie!
Deletemimi toka alivyoandika jana ukumaa wake huyu domo kubwa km chai jaba nimemwona kuma kweli anajisikia ana nini sasa kingereza cheneyewe kafundishwa na wema bila wema hata mashabiki watapungua mkundu huyo..anajifanya mjanja nimemchukia sana mbwa mkubwa huyu hana mana..sasa hapo alikua anawajibu mashabiki au alikua anamtukana wema...aise wema km wewe unajitambua hii kuku domo achana nayo mimi ni team wema lkn kwa hili kaleta ukuma wa kukufanya wewe huna mana inaonekana wema wewe unapewa pesa lkn hujui kuzitumia hili chai jaba linaropoka halina hata aibuu...lione na miguu yake kama supoku za baiskeli
ReplyDeleteKiingereza kitu gani kama si lugha tuu kama kimakonde!We punguani nini mbona wewe kiswahili chenyewe kinakupiga changa na bado unakula ukiwa mgongoni kwa Wema!Acha uhayauni mwana hizaya wewe pamoja na wenzako eti mwajiita timuwema,pambaafu zenu,yaani nawachukia nyie!
Deletekingereza ni lugha tu ,hata wanyasa wana 50/50 kwenye matamshi yao.
Deletetatizo ni huyo wema mwenyewe kazidi sana kumshobokea huyo domo ndio maana anahifikia hatua hiyo, hebu ajaribu kumuacha aone kama ataropoka hayo maneno yake,ulimbukeni wa dada yetu ndio kitu kinachomcost..
ReplyDeletedomo nae yupo sahihi coz huyo wema hawezekani hata apate nini ana pepo huyo manager wake amemshindwa hana anachofanya.tatizo lake wema ulimbukeni..
ReplyDeleteukweli unauma
ReplyDeleteanatombwa huyo domo kuma mamaaake huyu domo. we wema achana nae huyo domo kwani hakuna wengne kuma ww! sasa mtu anakudhalilishaaa namna hyo. wakati wakawaida2" kulikuwa na wa2 maaaruf xana leo wako wap? wap? mr nice? domo muda wake utafika2. kuma huyu na domo lake kama jungu la pombe za kienyeji
ReplyDeleteKwanza huyo sepetu wenu kaisha hana hata radha ya mapenzi kitandani(Nimpende nani inajibu),na nyie mnayemshabikia wote mafala tuu tena hamna maana hata kidogo.mufilisi na sasa domo anahamia kwa..KJ
DeleteMimi kiukweli nakubaliana na domo, Wema sasa anatakiwa ajue kwamba amekua na anatakiwa kufanya kazi, mtu anapata mabwana wenye uwezo lakini yeye akili hizo hazipi kichwani anawaza matanuzi tuu, kuvaa na kadhalika. Ni wakati sasa afikirie kufana investments za maana kama kununua viwanja na kujenga na kuazisha biashara ya maana. Iga mfano wa Kimora wa US na onanini anafanya sasa na kampuni yake ya FAB, namfananisha naye sababu nayeye aliazia huko kama wema, Wema ana jina kubwa na anaweza kuiturn into a Big Brand abayo akainvest kwenye mavazi, viatu na mabiashara kibao!! tatizo yeye hata domo kasema ngombe anatakiwa afikishwe mtoni, suala la kunywa maji ni lake!! Wema changamka ukiwa kijana, uzee waja utategemea mabwana mpaka lini? hata huyo manager wake anashidwa kumshauri vizuri kwenye mabo ya investments!! tafuta consultant wa mabo hayo akupanue mawazo dunia hii huwezi jua kilakitu. Ungekua na akili za investment ungekua mbali ugekua unamiliki nyumba yako mwenyewe ila you are wasting money kwenye matanuzi.. Wala msikasirike domo amesema ukweli NA NI ISHARA TOSHA KWAMBA ANAMPENDA KWELI ni wakati wako wema kubadilika.. wanasema MTU MFUNDISHE KUVUA, USIMPE SAMAKI!!! Na wewe manager wake elieza nguvu kwenye kuturn jina wema into a big Brand name tuone wema anabadilika na kuwa mchapakazi! ukitaka kujua wema hayuko serious ile movie ya super star iko wapi mpaka leo??? Kwa kuazia hakikisha wema anapanuka kimawazo kwa kuorganise entrepreneurship course kwa ajili yake ili ajue jinsi gani jina lake linaweza kuwa A BIG BRAND na kuweza kumuingizia mshiko wa maana kwa miaka kibao huko mbele. WEMA its time to CHANGE!! take it or leave it!!! MAJUTO NI MJUKUU!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMdau nimekupata nikweli dai anampenda sana wema ila tatizo lp kwa wemamwenyewe wema badirikaaaa dada fanya kazi mapenzi yapo kila leo hii wema wakupewa pesa na daimond wakati ungekua mbali tuu kimaisha ok tufanye yameisha anza maisha mapya wewe daimond usiongee ukapitiliza kwani wema ni pumziko lako
ReplyDeleteMkalambe ndimu,hahahahhahahahahahah! Jamani! Mwee!
ReplyDeletemdau 11.17 am umemaliza kila kitu uko sahihi kabisa nimependa comments zako.
ReplyDeleteDomo si mkweli kwake hela ni kuingia tu kutoka kazi.hawezi kutoa mtaji kwa wema.pesa anayompa ni ya kustarehe tu,anategemea nini kama anampa 20000 au 50000.mfungulie biashara tuone kama hata tulia?hapo ndio utakua umejisafisha na kashfa hii ya kumtumia kimwili,wanawake ulio wapitia wote wanasema domo bahili vibaya.
ReplyDeletekwani wema aliporudiana na Domo si alikuwa ana kazi zake,domo alimzuia asiendeleze kazi zake?Hakuhitaji hata mtaji.Tukubali tu kwamba Wema anapenda sifa za kijinga,aonekane anapendana na Dai na kuamini kuwa anawaumiza waliwahi kutoka na Dai, wakati dunia ya sasa wanawake hatuko hivyo.Aige kwa akina Faraja kota,Nansy,Hoyce na wengine wengi waliopitia daraja hilo kama la wema wako vizuri na wengi wanatoa ushirikiano sana.
DeleteDuh hapo Domo katukana.nanukuu kama mngekua na akili{ hili ni tusi}
ReplyDeletemvueni chupi huyu kibwengu wallahi atakuwa na kuma huko chini au hanithi, dume la mbegu huwezi kubishana na wanawake
ReplyDeletetumewachoka hao kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
ReplyDeleteanachotakiwa kufanya wema baada ya kuona ujumbe wake huo ni kubadilika, inawezekana domo anamwambia sana mpaka ameamua kusema kwenye mtandao huenda ikamgusa na akabadilika.domo yupo sahihi kabisa wema huu ndo wakati wako.badilika
ReplyDeleteDai hii ndo style yako yakumtoka wema, unavyosema hata kuigiza umuigizie hapo unakosea mwanangu, mnatakiwa muigize wewe dai pamoja na wema. kwani tatizo liko wapi? Mbona mwenzio anajitolea sana kukusuport?!!.
DeleteNa hata baadhi ya watu naona si wafuatiliaji sana wa wema kwani kucheza na kukatika kwenye show za dai hajaanza hivi karibuni ni kawaida yake hata kabla hawaja achana na penny kuchukua ukanda.
Dai keshaanza kulewa sifa kuwaona mashabiki wa wema hawana akili hicho ni kiburi. mashabiki wa wema wana mchango mkubwa sana kwake asitafute sababu za kumwacha wema. DAI ELEWA KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA - ANGALIAAAAAAA!!!!!!!!
NYINYI WOTE MSIWE UPANDE MOJA MWANGALIE MANENO YA DIOMOND MYASOME VIZULI WEMA INAWEZIKANA ATAKI KUFANYA KAZI KWASABU AMEZOEYA KUPOWA HELA NA WANA UME AMBAE WANA MPITIA NAKUMACHA SASA YEYE KUFANYA KAZI HAWEZI AMEZOWEYA HELA ZA KULALWA APEWE LAKINI ZAKUFANYA KAZI HAWEZI ,WEWE ANGALIA HANA ATA KIWANJA WALA CHOO WEMA NDIO WAKUWA HANA HATA NYUMBA LAKINI HANA KWASABU AMEZOWEYA KUPATA HELA KILA SIKU NA MNAVOJUWA HELA ZAUMALAYA HAZIKAE BADA YAMUDA ZINAPOTEYA MIMI NAMUSHAULI KAMA DIOMOND ANAWEZA PUMPA HELA ZA BYASHARA ANGEFANYA UMALAYA UNA MUDA SIO SIKU ZTTE UTAFANYA UMALAYA
ReplyDeleteMmmmmh,Dangoteeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteNaona umeamua kupasua jipu,lakini ingependeza kama ungeongea nae, ukamshirikisha na meneja wake na si kuandika kama hivi,naona kama umezidi kumshusha thamani bhana!
NYIE TEAM WEMA NDIO MLIOMTIBUA VUZI DAI KWA KUANZA KUMLUSHIA LAWAMA KWAMBA HAMJALI WEMA NA ANAMTUMIA KWA FAIDA YAKE SASA MLITAKA DAI AKAE KIMYA WAKATI MNACHONGA AS IF MNAUJUA UKWELI...SASA UKWELI NDIO NA SIKU ZOTE UKWELI UNAUMA SHAURI ZENU MMEYATAKA WENYEWE MMEZE AU MTEME MTAJIJU MBONA PENNY ALIVYOKUWA NA DAI HAKUACHA UTANGAZAJI KISA DAI ANA ELA WEMA KAZOEA DEZO SUBILI NYAPU ISHUKE NDIO ATAISOMA NAMBA KSIMI CHAKE MSHAURINI ATUMIE FURSA ALIYOIPATA SIO KILA SIKU MABIA KM DAI ALIVYOMUIMBIA KATIKA NYIMBO YA TUNASHINDWA KUELEWANA...AMKENI NYIE TEAM MAVUZI WEMA
ReplyDeletemsameheni yuko kwenye HEDHI huyo Dangote wa MBAGALA
ReplyDeletewema fanya kazi..huoni mamiss wenzio? ..unadharirika sasa..rudi kwa bi.mkubwa uombe msamaha
ReplyDeleteila kwa upande mwingine wema anamoyo wavkumsapot sans dai. ila tatizo lake anajisahau kufanya yake . anachokifanya yeye nkujenga kwa mwenzake kwake anajiahau akili yake bado anahtaj msaada
ReplyDelete