Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete Usiku wa Agosti 2 2014,alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot iliyopo jijini Washington DC Baada ya hotuba yake,Rais Kikwete aliruhusu maswali kutoka kwa Watanzania hao.
Miongoni mwa maswali hayo ni yale yaliyotaka uthibitisho wa Rais juu ya taarifa aliyowahi kuitoa Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa kuhusu madai ya Ridhiwan Kikwete kukamatwa na madawa ya klulevya China.
Rais ametoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo,yapo maswali mengi mengine ambayo Rais ameulizwa,Ripota wa Nguvu wa millardayo.com aliyepo nchini Marekani Mubelwa Bandio karekodi kila kitu na hiki ndicho kilichotokea.
Hizi ni dakika 30 za maswali hayo na majibu,
Bonyeza play kusikiliza
Sasa hayo ndio aina ya maswali waliyoyauliza Watanzania waishio ughaibuni. Hiyo pekee ina reflect jinsi gani watanzania wa majuuuu walivyokuwa mamburulaaazzz. Wako so less informative. Ni wababaishaji mno. Ukiyasikiliza kwa makini hayo maswali ni kama vile yameulizwa na watu ambao hawakujiandaa na maswali na hata kama walijiandaa na maswali bado aina ya maswali waliyoyauliza ni so weak ama dhaifu sio aina ya maswali ambayo tungeyategemea kuulizwa na watu wanaojifanya ni wasomi halafu eti wasomi wenyewe wanaishi majuuu/ughaibuni. Kwa kweli ni aibu, actually maswali waliyoyauliza bado wao wenyewe wangeweza kufanya research ya kutosha na kujipatia majibu kuliko ule muda waliopoteza na Mtukufu Rais. Sasa watu ni lazima muwajue watanzania wanaoishi ughaibuni ya kuwa ni watu wa hovyo hovyo na pia hawana agenda yoyote ya maana zaidi ya majungu na kusengenyana. Wengi wao elimu zao ni za kuunga unga na wale wanaojisema wanazo elimu basi elimu zao haziwasaidiii kitu. Hao ndio watanzania wa ughaibuni. Ni aibu kubwa. Jamani ni bora kurudi pale nyumbani Tanzania na kushika majembe na kuanza kulima kuliko kajishaua na maisha ya ughaibuni ambayo basically hayawasaidii kitu chochote zaidi ya kudhalilika.
ReplyDeleteHalafu pia Serikali ya Tanzania kwa kuelewa ubabaishaji wa watanzania waliopo ughaibuni bado haionyeshi kushtuka sana na uwepo wao. Yaani wawepo ama wasiwepo, wachangie ama wasichangie maendeleo ya pale Tanzania kimsingi bado nchi itaendelea kuwepo na maendeleo yataonekana. Hicho kitu ni hatari sana kwa Diaspora ya watanzania ughaibuni hasa pale inapofikia Serikali ya pale nyumbani kutoshtushwa na uwepo wenu. Lakini hayo mambo yote yanasababishwa na watanzania wenyewe wa ughaibuni kwa kutokuwa na upendo miongoni mwao na pia kutoaminiana. Sasa hilo wakae wakilijua na ni kwamba imekula kwao. Rudini nyumbani muje mushike majembe mulime.
ReplyDeleteMaswali waliyoyauliza yako na full of speculations and assumptions rather than the facts. Yaani walishindwa kuyafanyia hayo maswali research ya kuotosha kabla hawajayauliza???? Aibuuuuu. Hawo ndio watanzania waishio ughaibuni ni so mburulazzzzz asiwadanganye mtu.
ReplyDeleteMaswali waliyoyauliza yako na full of speculations and assumptions rather than the facts. Yaani walishindwa kuyafanyia hayo maswali research ya kutosha ili kupata ukweli wake kabla hawajayauliza???? Aibuuuuu. Hawo ndio watanzania waishio ughaibuni ni so mburulazzzzz asiwadanganye mtu.
ReplyDeleteWilliam malecela njoo uchukue wanao New York acha kuwaita wenzio mburula.
ReplyDeleteWilliam malecela njoo uchukue wanao New York acha kuwaita wenzio mburula.
ReplyDeleteLe mutuz acha roho ya kwanini
ReplyDeleteHammna ushirikiano... mlimuacha mwenzenu aliefia huko mwez march mait yake ichomwe moto wote mlimkimbia kumtolea mchango wa mwili wake kuletwa huku..naogopa sana.. vjui mnaishi vipi
ReplyDeleteUKITAKA KUJUA IMAGE YA RAIS WETU ANAVYO ONEKANA NA WATZ NJE , SI VINGINEVYO ZADI YA KUWA NI DRUG DILLA...
ReplyDelete