Imevuja Eti Kumbe Ney wa Mitego Ndio Mdudu kwenye Ndoa ya Wema Sepetu na Diamond

IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.

Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto ya kuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa Mdogomdogo.

Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema: “Kuna mifano mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri aache.”

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eeeh jamani,Ushauri wa kijinga.Siwema unapoteza muda wako bure,Nay hakuoi hata,
    utautwa mchuma mpaka auchoke muziki

    ReplyDelete
  2. Ney siajabu anamtaka wema hana jipya!! Celebrities wangapi wameoa na kuolewa bado wako vizuri. Uzuri wote wako kwenye entertainment industry! Ney mwanga tu hana lolote!! Eti asioe. siajabu anamaagano yake huko. Kwani kina Psquare wameoa wamebadilika? Tiwa Savage mwanamuziki ameolewa na bado anakiki. Wanaume wa kibongo bwana kujifanya wanajua kila kitu utadhani kawahi kuoa!

    ReplyDelete
  3. Hata kama sio kumuoa wema. Kuoa haihusu. iNATEGEMEA na foundation unayomwekea mwanamke. hawa hollywood actors kibao wameoa na bado wako focused! Sometimes watu wanaropoka kwajili ya kutokua na exposure ya kimaisha na kuzungukwa na watu wenye fikra fupi! Inamaana izo hela anazohangaikia watarithi ndugu zake hatokua na familia yake!

    ReplyDelete
  4. SIWEMA , WEMA AAH KUNA NAMNA YA MAJINA HAYO KWA NEY, LAKINI NEY INAWEZEKA KABISA SI WEMA ANADANGANYWA NA ILE MIMBA MWE

    ReplyDelete
  5. unasubiriwa uzae mamii mimi nilishakwambia hiyo company si ya kuoa- haya unaonaaaa kaa chonjo mdogo wangu siwema nilikwambia kula pesa kama inalika hapo,

    ReplyDelete
  6. hilo mbwa nalo linaongea nini halielewi hata mana ya mapenzi diamond kalifanya lijulikane nalo likafie huko sura mbaya kufa halitaki nalo linakua na harakati za maisha for what halina mbele wala nyuma akale bangi huko ya kwake yamemshindaa ya wema atayaweza mbwa huyooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Diamond na Ney nami ana sura mbaya?

      Delete
  7. Diamond we mbulula kweli unajifanya wewe ndo jay z?kuja Na bodyguard (baunsa)mwanzainahuuuu?Eti Wema ndo Beyonce.msonyo

    ReplyDelete
  8. MWACHENI DANGOTE WA WAWASANII NA ONYINYE WAKE WAJIRUSHE JAMANI

    ReplyDelete
  9. ILA WEMA MDOGO WANGU NA HUYO COACHER WA SIMBA VIPI?

    ReplyDelete
  10. Wacheni movie iendeyeeeeeeeeee halo halo

    ReplyDelete
  11. Maraa bangi
    Maraa pombe
    Ndio muziki Gani.

    ReplyDelete
  12. Diamond nae kaona kuwa kuoa Wema ni kujitafutia
    matatizo ndio maana akasema yeye hafikirii kuoa.
    Mkwewe( mama Diamond) anamwita Wema Mchizi wangu,hebu jamani mliolewa mama
    mkwe wako akuite mchizi,inaingia akilini?Hapa ndoa tutasubiri sana.Ni kuzini kwenda mbele,akimchoka Wema anatafuta mwingine kama sio kurudi kwa Jokate.Toka pepo la uzinzi kwa Diamond,toka,toka,toka,toka.
    akic

    ReplyDelete
  13. Wema sio wife material kwa hali yeyote
    1.ni mtu mzima anayeng'ang'ania utoto na usichana Kila mwaka hadi kina lulu wamemkuta.
    2.ana elimu ya ngumbaro la Kila siku anajifanya hajui kiswahili wakati shule yake ya ngumbaro tu kama Sisi.
    3.kisha olewa na jumbe na kuachika hivyo ni ngumu kwa mtoto kama diamond kuoa mke wa mtu na mwenye list ndefu ya wanaume tena hadharani kama kanumba,blue,tid (akamtungia wimbo wa demu kicheche), chaz baba to mention few. Ni aibu kwa maadili yetu kwa mtoto wa kill bora wa kiume lakini wema ni sifa
    3.sio life fighter ni goal keeper mzuri bila kulazimishwa na kanumba movie asingecheza kwani ni tegemezi kwa asili
    4 . diamond angekuwa rafiki, ndugu ningemshauri kwamba wema si demu wa kuoa .nani anaweza kubadili mtu wake aoe msichana kama wema

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu huooooo,dai Ni mkubwa kwa Wema,kwakuwa wivu umekujaa aulioni Hilo,Wema na joketi wote Ni under 30,wamepata u miss 2006.utakunywa sumu bible kwa wivu

      Delete
  14. Sana atapita nae wapi kila mtu kashamfunua

    ReplyDelete
  15. 10; 33
    Issue kubwa ni kuwa mama Ubaya aka mama huruma aka wema sepetu sio wife material kwa hali yeyote
    Wewe u naweza kubali kaka aoe mke kama huyo aliyewavulia na anayewavulia chupi wanaume tena kwa matangazo kwenye media zote.
    Toka 2006 hadi leo ni chamvi la wageni kasababisha kocha wa simba sc kimeota

    ReplyDelete
  16. JAMVI LA WAGENI WA JUU- INTERNATIONAL RECEPTIONIST

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad