Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aeleze sababu za kuwa na kesi nyingi, huku akihusishwa na matukio mbalimbali ya uhalifu nchini.
Pia mahakama hiyo imeamuru vyombo vya dola kuacha kuwazuia wafuasi wake kuingia mahakamani kusikiliza kesi zake, na kushauri kama wana wasiwasi nao, waweke mashine za ukaguzi katika mlango wa kuingilia mahakamani hapo.
Mwenendo huo wa Sheikh Ponda ulihojiwa mahakamani hapo na Jaji Augustine Shangwa juzi kabla ya kuanza kusikiliza rufaa yake ya kupinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, iliyomtia hatiani katika kesi ya jinai, mwaka 2012.
“Sheikh Ponda, sijui ni kwa nini una kesi nyingi kiasi hiki. Kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi (Kisutu) una kesi, Mahakama Kuu una kesi. Nani yuko nyuma ya kesi zako? Je! Serikali inakuchukia?” alihoji Jaji Shangwa.
Licha kumhoji Sheikh Ponda maswali hayo, alimweleza kuwa kama atakuwa na jambo la kuzungumza, atampa nafasi siku nyingine rufaa yake itakapotajwa. Pia Jaji Shangwa alimshauri apunguze mapambano.
“Ikiwezekana uyapunguze (mapambano) maana dunia hii si ya kupambana nayo,” alisema Jaji Shangwa na kusisitiza kuwa lazima ajiulize kwa nini ana kesi nyingi.
Jaji Shangwa aliendelea kusema: “Jambo likitokea Zanzibar, wewe umo; likitokea Morogoro umo; likitokea Dar es Salaam umo. Bahati mbaya kuna kikundi cha Uamsho kinadaiwa kulipua mabomu na kuua watu, nasikia na wewe unatajwa kuhusishwa.”
Acheni kumcngizia mamae zenu nyooooo
ReplyDeleteWhy yeye tu?asingiziwe kwa nini?kama ni udini wako wangapi?unatakiwa ujiulize sio kukurupuka kwa matusi hayasaidiii.
Deleteinaelekea na wewe ni mmoja wa ponda maana umeshaingiza na matusi juu.
DeleteAcheni umbururs hakuna cha udini wala nn serikali ya wazushi iliyopo madarakaniu ina agenda ya siri na huyo jamaa.
Deleteswali kwa nini yeye tu kila liibukapo jambo?
Deletewewe ndio mbulula.
m.mungu atakusaidia..ISHALLAH
ReplyDeleteMungu husaidia wenye nafsi safi,arudi kwenye mstari unaotakiwa na waislam,vinginevyo Mungu atamueleleza.
Deletendio maana kila leo anahusishwa kwa mabaya.
Mimi ni muislam lakini uislam hauendi kama Shehe Ponda afanyavyo.
umeongea vizuri sana
DeleteHana lolote kaongea utumbo hajui kinachoendelea
Deleteapigwe tu, afungwe na aozee jela, mwisho anyongwe. najua jasho na povu lazima liwatoke akina fulani, mtu mzee anaacha kulima bustani ya nyanya analumbana lumbana mtaani, atashindana na dunia huyu? aiache iendelee kuzunguka kama alivyoikuta, au ahamie uarabuni ili akapate haki anazotaka. hawa wazee wa kahawa ni shiidaaa!!!
ReplyDeleteacha usengerema
DeleteHii ni dunia tu mengi huja na kupita, ni kheri kuchugua mazuri na kuachana na mabaya, ambayo, utavuruga watu washindwe elewana, ni kitu mbaya sana na matokeo yake, kama itatokea umwagaji damu, inakuwa juu ya mikono yako, kila pembe ya dunia ina matatizo yake na ufumbuzi wake, sasa inakuwa tatizo kwa wale wanaoshidwa kujielewa wala kuchanganua, lipi baya lipi zuri katika jamii, anayoishi
ReplyDeleteHawa uamsho nao wafungwe tu
ReplyDeleteMdau11:54 kwanza kuma la mamako pili yeye akinyongwa wewe utapata nn .kamlimishe bustani mamako na babako .well done ponda all yu pamoja nawe
ReplyDeletemwambie huyo 11:54 inawezekana anapelekewa moto.
DeleteMdau wa 12:25Am bora mama yangu ana hiyo K, wewe mama yako ana mkundu tu hiyo inamaana ulizaliwa matakoni ukasindikizwa na mavi.
ReplyDeletesidhani kama anamjua babake na mamake,
Deletehawa ndio wale wanakimbilia mitaani na kuwa machokoraa
wakiwa na miaka 4.wanapigwa miti mbele na nyuma
wakiwa wadogo,so wanaathirika kiakili.
kama alivyoathirika huyo ponda, tunashukuru kwa ufafanuzi, sasa tumeelewa kinachomfanya ponda awe hivyo, asante kwa kutujuza mdau 12:35 pm
Deletematuc ya nin jaman..km mna ubavu c mwende gaza mkaokoe wenzetu wanakufa kule bila hatia
ReplyDeleteHuko Gaza kuna wamakonde,wangonoi,wachaga,wapogoro,wahehe,..............Au?
Deletehivi huyo ponda ana Elimu kweli? Nina wasiwasi Sana, mbona waislamu wenzie wa hapa Tz waliosoma wanajitambua sasa yeye ana tatizo gani, hebu cheki kina Rostam, akina Bakhresa na wengineo, wanajitambua na dini wanaijua vilevile, sasa huyu mwenzetu ndio basi tena, kweli kuishi ni kuchagua
ReplyDelete