1.Ukiona umejipiga ‘selfie’ au hata picha yoyote ukaiweka kwenye facebook na
kutag watu mia ukapata ‘likes’ mbili tu ni dalili ya wazi kuwa we mbayaaa.
2.Ukiona wakaka wanapenda sana kampani yako lakini kila mara wanakuuliza ushauri juu ya kuwapata wadada wengine , ujue wewe ni mbaya, maana wanajiona kama vile wanaongea na mwanaume mwenzao
3.Ukiwa na wasichana wenzio halafu
mnataka kupiga picha ya pamoja ukona wanang’ang’ania wewe ndio uwapige
picha ni dalili ya wazi hawataki uwaharibie picha yao kwa sura yako mbaya.
4.Jina lako instagram na facebook pia ni dalili tosha kuwa na wewe unajijua ni mbaya, majina kama sexydiva, sweetylicious, cutebaby na kadhalika, ni nja ya kisaikolojia ya wabaya kutaka kuonekana wazuri.
5.Ukiona utafiti huu umekuudhi na una ulaani hiyo ndio dalili ya ukweli kuwa wewe mbayaaaaa
haaaaaahaaaaaa
ReplyDeleteLol Admin umeua Leo khaaa, naww pia mbaya vile vile
ReplyDeleteuuumbaji wa mwenyezi mungu utukuzwe uzur na ubaya yote ni mipango ya mungu..............acha izo admin unakufuru bhana.
ReplyDeletehiyo ni kufuru,kwani wabaya tumejiumba?mijitu mingine,kuna dada mmoja alikuwa anajishaua mi mzuri mi mzuri ,wakamwagia tindikali usoni.
Deleteuyu admin vipi mbaya wewe,mim navyojua akuna mbaya duniani isipikuwa ni mtu tu anavyojiweka ebu eshimu uumbaji wa mungu wew kumbuka kabla ujafa ujaumbika
ReplyDeleteNa wewe weka picha yako tukuone kama ni mzuri, mkundu wako unatoa uarisho, kantangazeeee
ReplyDeleteUkweli mtupuuuuj
ReplyDeletenimesoma
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete