Jokate is Taken Jamani
Jokate Apost Instagram Ujumbe Wenye Utata Kuhusu Huyu Mwanaume
10
August 22, 2014
Katika Kupita Pita kutafuta Umbea wa Leo Udaku Special Nimekutana na Picha alizopost Jokate Akiwa na Mwanaume Mmoja Kutoka Kenya Anayejulikana Kwa Jina Nick Mutuma , Jokate Mwogelo Ameandika Katika Hiyo Picha Kuwa "Huyu Ananimaliza nampeleka kwa Babu wangu wa Kingoni" .
Jokate is Taken Jamani
Jokate is Taken Jamani
mhh tulia na huyo huyo, na uache kurukaruka, domo kawafanya hawa kina dada waende tafuta wanaume nje ya nchi!! sababu Tz mabwana wakishajua umegongwa na domo basi tayari ushajiharibia!!
ReplyDeleteDomo ni nouma Man..nataka nyota ya domo asee..duuuuuh
ReplyDeleteingia kwenye dini anayoabudu sasa hivi.
Deleteumeona eeeh,penny kahaha kutafuta bwana bongo kakosa hata wa kumdunga,anaishia kudungwa na chief K tu,sasa hivi na yeye anadai kapata bwana nchini Angola,ukishadungwa na Domo utasubiri sana kupata bwana Bongo labda nje ya nchi,domo mchawi nini?
ReplyDeletedomo kasha tagaza ndoa na.wema baada ya kwenda kupima na.mpezi wake na wamekutwa wote ni wazima ndoa itafanyika hivi karibuni uwanja wa taifa
ReplyDeleteNdoa ya Wema na Domo itafungwa pindi Mzee Sepetu atakapo fufuka, na Baba Domo atakapo mrudia Mama Domo.
ReplyDeletehahaaa
ReplyDeletecrush aah?!
ReplyDeleteme nadhani hapa bongo ukishapata pesa kidogo lazima uwe muangalifu sana na hawa kina dada!! duh!! huyu domo sijui kawala wangapi?, hao ambao hatuwajui wa chini ya meza, watakuwa wengi sana!!!
ReplyDeletec yupo na omy dimpoz..au inakuaje hapo cjaelewa bado
ReplyDelete