Karrueche Tran ambaye amekuwa na mapenzi ya kimulimuli na Chris Brown kwa muda mrefu, ametoa tamko ambalo linaongeza hisia kuwa huenda tetesi za ukaribu wa Rihanna na Chris Brown zikawa za kweli.
Karruche ametoa tamko lake rasmi wakati akijibu swali la shabiki mmoja na kueleza kuwa Chris sio wake
Kwa urembo tu Karueche ni
ReplyDeletemrembo sana hapo Rihanna atasubiri s aaaaaa na tu ila ndo hivyo tena kwenye mapenzi kila shetani na mbuyu wake na mbuyu wa Chris Brown ni Rihanna