Kasulu: Majambazi Wameteka Gari na Kuilipua Kwa Bomu.

Wajambazi wakiwa na bomu wamiteka gari inayosafirisha abiria toka kigadye/kilelema kuja kasulu na kuilipua kwa bomu. Inasadikika baada ya dereva kusimamishwa na dereva kutotii amri, majambazi wameamua kuirushia bomu. watu watatu wamefariki hapo hapo. Kumbuka kijiji kiko karibu na mpaka wa burundi

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad