Nashindwa niamini au nisiamini nabaki nikiduwaa na kushangaa kwani Nondo /jembe niiliyoitegemea imeshaingia shubiri, karubuniwa na tu hako kakiti ka uenyekiti wa bunge la katiba?
Yaani mpaka sasa macho yangu hayaamini yule aliyekuwa mkombozi mtetezi wa wanyonge kipindi kile alichokuwa SPIKA WA BUNGE alikuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya Tanzania na jamii kwa ujumla ndo huyu leo yu tena kwenye UENYEKITI wa KATIBA na anafanya yasiyostahili mbele ya macho ya Watanzania
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.

Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Ukistaajabu ya mussa utaona ya firauni,labda kaadiwa kitu babu wa watu
ReplyDeleteNdani ya ccm hakuna tena mtetezi wa wanyonge.Kuna wachumia tumbo na wasakatonge kama Sitta tu na si vinginevyo
ReplyDeleteANGALIZO : Tanzania ina wasomi wengi wa vyeti tu kuliko wasomi walioelimika kichwani...
ReplyDeleteccm chenga tu bored tutaonana mwakani kwenye uchaguzi TANGANYIKA IS BACK
ReplyDelete