Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo
cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu
mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha
ya matusi kwa askari wa usalama barabarani
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius
Wambura alithibitisha jana kukamatwa kwa Kibonde na kwamba walikuwa
wakiendelea kufanya uchunguzi wa tukio hilo.
Hata hivyo taarifa zilizopatikana jana jioni zilidai kuwa Kidonde aliachiwa kwa dhamana wakati uchunguzi ukiendelea.
Kumbe kweli kwanini walidanganya Tangazo?? Huyo Kibonde nae ana maisha ya drama sana. Ushamba umemjaa kama sio motto wa Upanga.
ReplyDeletepole kaka kibonde ndio maswahibu hayo, samehaneni, ondoeni chuki, kuna kukosa na kukosewa, its traffci case not big deal, and ulikuwa tingasi
ReplyDeleteWe anony hapo juu unaesema its a traffic case no big deal,je angeua?ungesema no big deal?we are talkin about life here na unasema not a big deal,duuu hii ni hatar km kila mtu akifikiria km wewe bs ajali hazitaisha.
Deletepole ya nn wakati anadharau serikali kisa yy maharufu wachasheria ichukue mkondo wake kama amekosa basi sheria hii uhusike kama hana kosa achiwe
ReplyDeleteTatizo ni bia za bure kwa kujiona ni maarufu. Vya bure siyo dili.
ReplyDeleteGud,teach him a lesson,atasimulia mbona unafkiri lockup mchezo.next time atakua mwangalifu zaidi pia atapunguza dharau kwa askari wetu.Gud job jeshi la police.
ReplyDeleteanadharau sio kidogo, anajifanya kila kitu anajua hata ukimsikiliza kwny kipindi chake na sio mara moja anagombana barabaran hata siku wanatoka dodoma kwny tamasha alikamatwa
ReplyDeleteKadhalilika na meno yake mengi kama mhindi wa songea!
ReplyDeletemungu amtagulie akuna binadamu mkamilifu hata wew unayemsema vibaya una makosa yako pia
ReplyDelete